Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hivi ni kwa nini chelsea huwa hawapati penalt? Nauliza tu maana mpaka sasa league zote cdhan km penalt tulizopata zinafika tano. Man city huyo aguero tu ana magoli ya penalt zaidi ya nane
 
EMT

Kwa kweli leo Chelsea wana haki kulalamika, mwamuzi ni kama alikua na 'agenda' binafsi against Chelsea, ile penalty aliyokataa sijui nayo tutasemaje.

Huyo jamaa aliye attempt kumvunja mguu Matic alishafanya faulo mbili 1st half, kwa Ivanovic na Zouma na hakupewa card yeyote, then ile ya Matic bado siamini jamaa hakupewa hata card ya njano

Mie sio mnazi wa Chelsea lakini I can understand Matic's reaction, tena yule dogo ashukuru huyo Matic ni mpole tu, angemfanyia vile mtu kama Diego au kule ligi ya kwetu, na yeye angekua hospital saa hizi.

Matic ni human being after all, ile haikua ordinary tackle, ilikua ni violent conduct inayoweza kumstaafisha mtu soka kabla ya muda wake.
 
Last edited by a moderator:
"The Campaign " inaendelea , Mou akisema watu wanamuonaga mwehu,
 
mourinho--four-crucial-moments.img.png
 
‘Don’t make me laugh because I’m not in the mood,’ said-Mourinho, when asked if-Matic-had overreacted following the challenge by Barnes.

‘A couple of weeks ago, when I was here after the Liverpool game in the Capital One Cup, I knew already what was going on with the television talking aboutDiego Costa’s crimes. Compare Diego’s crimes with what happened today.

‘I prefer to say that this game had four crucial moments – minutes 30, 33, 43 and 69 - this is the story of the game. It’s difficult for me to not say the truth. I’m making it easy for you because you can go home, look at those moments and you will know what I think about the game.

‘Minute 69 has a big relation to minute 30. Normally the player , if I can call him a player, who was involved in minute 69, and was also involved in minute 30, should be in the shower by minute 31. So there would be no minute 69 if the person in charge dealt with minute 30 in a proper way.

‘If this story, that started a couple of months ago, finished today, and we had 12 matches to play with an advantage of five points I would tell you we would be champions. But I don’t know if the story ends here or if there is more waiting for us.

‘I’m happy that I’m not stupid and I understood everything a couple of months ago.’

He was pleased the players who had b
 
We jamaa unaongeaga pumba tu humu kweli kwenye mchele na pumba zipo... Yani huwa huongei hali halisi, akili yako iko programmed kuongelea mieleka kweli we ni automatic pumbarizer
Jitayarishe kwa machungu ya kuukosa ubingwa.
Hujaona dalili bado?
 
Ntuzu kweli unajiaminisha kuwa Chelsea itachukua ubingwa?

Kwa mpira gani mnaoucheza zaidi ya kusukuma,mateke, kung-fu, mieleka na rugby?

Kupaki basi ndio ubora wa defense?

Kupiga mbio kwa William, Hazard, Ivanovic, Cahill na kudive ndio ushambuliaji?
Jamaa wanaudhi hasa, unawaona kabisa wanajitayarisha kujiangusha.

Kumzunguka mwamuzi ili aadhibu wachezaji wa timu pinzani au atoe maamuzi yanayoinufaisha Chelsea ndio ujanja?

Ninyi mjitayarishe kwa maumivu tu kama msimu uliopita.

Watu wengi humu wanakuona unapost utumbo tu na ninakushangaa unatetea utumbo kwa kuiponda chelsea wakati chelsea tangu ligi imeanza haijatoka kileleni mpk leo hii mwezi wa pili unaelekea kuisha na bado games 12 tu ligi iishe....kwanini hizo timu zinazocheza mpira mzuri zisiongoze ligi....we Nonda vp bhana badilika bhana sio kila wakati unapost utumbo tu....

Hebu kamata kwanza hii kutoka kwa Baba yenu.

Mourinho scoffed at the idea of Chelsea appealing against Matic's dismissal. "Have you ever seen Chelsea win an appeal?"
 
Kwa kweli leo Chelsea wana haki kulalamika, mwamuzi ni kama alikua na 'agenda' binafsi against Chelsea, ile penalty aliyokataa sijui nayo tutasemaje.
Huyo jamaa aliye attempt kumvunja mguu Matic alishafanya faulo mbili 1st half, kwa Ivanovic na Zouma na hakupewa card yeyote, then ile ya Matic bado siamini jamaa hakupewa hata card ya njano
Mie sio mnazi wa Chelsea lakini I can understand Matic's reaction, tena yule dogo ashukuru huyo Matic ni mpole tu, angemfanyia vile mtu kama Diego au kule ligi ya kwetu, na yeye angekua hospital saa hizi.
Matic ni human being after all, ile haikua ordinary tackle, ilikua ni violent conduct inayoweza kumstaafisha mtu soka kabla ya muda wake.

wahenga wanazidi kuunena ukweli
 
Kwa hiyo, cChelsea ishinde hata kama inacheza boring , boring games?
Sisi wingine ni wapenzi wa kabumbu bana sio wapenzi wa Timu.

Baba yupi huyo unaemzungumzia hapo?

Unataka anaefanya kosa afutiwe adhabu/ kosa kwa sababu tu amekata rufaa?

barnes-foul-on-matic.jpg
 
Kwa hiyo, cChelsea ishinde hata kama inacheza boring , boring games?
Sisi wingine ni wapenzi wa kabumbu bana sio wapenzi wa Timu.

Baba yupi huyo unaemzungumzia hapo?

Unataka anaefanya kosa afutiwe adhabu/ kosa kwa sababu tu amekata rufaa?

Wewe jamaa ni mshaniki wa team gan?
 
Matic ana haki ya kuchukua maamuzi na kwenda kumsukuma yule jamaa aliemchezea faulo mbaya kwasababu yule jamaa alikusudia kumvunja mguu Matic ingawa si sheria kulipiza baya juu ya baya lkn kutokana na hali ilivokua ata mimi ningemtwanga makonde yule jamaa......maana anataka kuniharibia maisha yangu.....
 
"An Ivanovic shot struck Michael Kightly's arm and Diego Costa was pushed by Jason Shackell as the home side had two penalty appeals rejected."
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom