Nyie mnaomjibu huyu pinguani na nyie mnaonekana mapunguani vile vile, huyu ni wakupuuzwa tu, ukikimbizana na chizi na wewe utaonekana chizi. Huyu mwacheni abwabwaje akichoka atatulia....mtu anaongea upuuzi kila siku na nyie bado mnahangaika nae!
Huyu ni shabiki anaetanguliza chuki, anasahau michezo ni burudani. Watu kama hawa mara nyingi hawana amani mioyoni mwao, muda wote wana stress! Wanadhani kubwabwaja kutaondoa stress zao, Mara nyingi mwisho wa watu kama hawa ni kujinyonga.
Mpuuzeni, mwacheni akafie mbali.
Umekunywa nini leo? Chibuku au mbege?
Ungekaa kimya tu badala ya kujianika kichizi chizi.
Usiende kujinyonga lakini. Bora piga chibuku yako upunguze stress!
Avatar yako, imenikumbusha kuwa naongea na maiti.