Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nadhani wewe unachoamini ni kuwa mtu akishinda humu ndiye anajua kuchambua mpira,lakini turudi kwenye post yako niliyo kuquote kweli kama sio ukanjanja wa mpira unaweza kusema Chelsea si chochote na haina uwezo wa kuchukua kikombe
baada ya kusoma post nikaona wewe ni walewale waliokuja na mbio za mwenge,siwezi kukujibu kwa nondo maana post ilikaa kimipashopasho na mimi nikakujibu kimipashopasho.Mdau mwenzangu hata kama Chelsea huipendi embu jaribu kutumia hata akili kidogo uongee uhalisia na sio mipasho
wewe huna hoja ni ubishi wa kikanjanja

"It's very clear that what the home team are trying to do is influence the referee," Martinez told BBC Sport.

"You don't want to believe that that decision is given because of the reaction of the players. It's something that we constantly see here. We have to allow the authorities to look into it.
"Ivanovic's behaviour is wrong. He grabs McCarthy around his neck in a very forceful manner, then puts his head against him. James McCarthy doesn't react a single bit.
"If you want to be on top of the law, that's a red card and we got nothing out of that moment."

Mourinho cut short his BBC interview when asked about Chelsea's discipline.

When pressed on the latest flashpoint in a post-match interview with BBC Sport's Jonathan Pearce, Mourinho decided to walk out, telling Pearce: "Sorry, see you tomorrow."
He later conducted a short interview with Pearce in which the subject was avoided, but reacted angrily once again when the Ivanovic incident was raised during a news conference with other media.

link BBC Sport - Roberto Martinez: Chelsea players 'try to sway referees'
 
Wakuu kwa offside trick lile goli la matic lilikuwa halali japo lilikataliwa...ni kweli ivanovic alikuwa offside na akaugusa mpira but ulikuwa umeguswa tayari na defender wa everton everton n thus offside ilikuwa imevunjwa or imekuwa cleared na kitendo cha beki kuugusa...ninyi mna hoja gani kuhusu movie ile na ipi inaifanya iwe offside?

kwa kweli you are right. mpira ulimgusa mchezaji wa Everton kabla ya kumfikia Ivanovic. Lile ni goli halali...basi tu! ingekuwa Man U, City au Liverpool thats a clear goal!!!
 
nakubaliana na Mikel Obi kabisa!!

Obi Michael Afunguka kuhusu nani mkali kikosini Chelsea:

‘I'll go for Willian and Eden Hazard,' he said. ‘They're both very quick and technical. It's very difficult to get the ball off them. Willian is just too quick, he has quick feet. He waits for you to make the first move and when you do, he's gone. 'Hazard doesn't run around much in training, but you just give him the ball and let him do what he does. What you can do sometimes is just kick them!'
 
kwa kweli you are right. mpira ulimgusa mchezaji wa Everton kabla ya kumfikia Ivanovic. Lile ni goli halali...basi tu! ingekuwa Man U, City au Liverpool thats a clear goal!!!
Mchezaji mbili za Chelsea zilikuwa tayari offside kabla na baada ya "Lile goli halali". Aliyefunga lile goli alifunga baada ya mshika kibendera kumtanabahisha mwamuzi kuwa kuna waoteaji wawili wa Chelsea wakinyemelea kufanya umafia.

Halikuwa goli halali.
Na Lile bao la Wiliam ni kwa hisani ya mwamuzi kwa kumpa mchezaji wa Timu pinzani kadi nyekundu kutokana na wachezaji wa Chelsea kumzunguka, kumtisha na kumtekenya mwamuzi.

Kwa kifupi inaitwa kubebwa.
 
"Courtois played consecutive matches, against Liverpool, Manchester City and Aston Villa, games where he needed to be very focused. Every detail is so important, even when he doesn't touch the ball, the focus must be permanent and I think a goalkeeper can also be tired. The tiredness isn't just physical, it's also from your nervous system."

"Petr has been working really well and hard. In every training session I was getting the feeling his condition was magnificent. Tonight he was the best option for the team, also in terms of leadership. John Terry was ill this morning and he was probably out of the game until the last minute, so I thought I needed Petr's personality and capacity to communicate at the back. The decision was good."

-Jose Mourinho; source: Chelsea FC
 
Obi Michael Afunguka kuhusu nani mkali kikosini Chelsea:

‘I’ll go for Willian and Eden Hazard,’ he said. ‘They’re both very quick and technical. It’s very difficult to get the ball off them. Willian is just too quick, he has quick feet. He waits for you to make the first move and when you do, he’s gone. ‘Hazard doesn’t run around much in training, but you just give him the ball and let him do what he does. What you can do sometimes is just kick them!’

Hapa alielezea most skillful player sio mkali though hao ni wakali ndio
 
Wakuu,

Eden hazard kasaini a new 5 and a half year deal...atakuwa anachukua paundi 200,000 per week...what a good news!!!!
 
- The deal is worth a huge £57million over the course of five and a half years

Eden Hazard has signed a new £200,000-per-week contract at Chelsea to keep him at Stamford Bridge until 2020.

The Belgian playmaker, who has continued the form that saw him voted last season's PFA Young Player of the Year, expressed his delight to be staying at Stamford Bridge.

The deal is worth a huge £57million over the course of five-and-a-half years and makes Hazard the first player to commit his future to the Premier League since Sky Sports announced £5.136billion TV rights deal.

Eden Hazard, with Chelsea director Marina Granovskaia, has signed a new five-year contract with Chelsea

Hazard signs a new contract in the presence of club secretary David Barnard and Granovskaia

The 24-year-old poses inside Stamford Bridge after signing his new deal with the club

The Belgian playmaker has scored 13 goals in all competitions for Chelsea this season

'I am very happy to sign a new contract with Chelsea,' Hazard said. 'Since I came here in 2012 I have always felt good and the club has been very supportive to me.

'The manager has helped me improve a lot, the fans have been fantastic and I have an amazing understanding with my team-mates.

'I always try to give pleasure to the supporters with my style of play and it is nice to know they appreciate my work.

'I hope we can repay that support by winning lots of trophies, beginning with the Capital One Cup at Wembley, and after that, we can push hard towards the end of the season.'

Blues boss Jose Mourinho criticised Hazard in May last year, claiming 'he is not the kind of player ready to sacrifice himself 100 per cent for the team'.

The 24-year-old appears, however, to have earned the trust of his manager, having started every one of Chelsea's league matches in the current campaign.

'I am very happy that Eden has signed a new contract,' Mourinho said.

Hazard's new deal looks set to be worth worth a huge £57million over the course of five and a half years

Jose Mourinho had revealed that he wasn't concerned by the length of time Hazard's deal seemed to take

Mourinho criticised Hazard, claiming 'he is not the kind of player to sacrifice himself 100 per cent for the team'

'It shows he believes in the club's coaching staff and players to help him become the best player in the world.

'He is already a top player and his evolution has been fantastic. He is still very young and he can become the best.'

Hazard was named PFA Young Player of the Year and Chelsea's Player of the Year at the end of last season, having finished with 17 goals in all competitions.

He won the Europa League in his first campaign at Stamford Bridge and also helped Belgium reach the World Cup quarter-finals in Brazil last summer.

Hazard (left) was named PFA Young Player of the Year at the end of last season
 
Mchezaji mbili za Chelsea zilikuwa tayari offside kabla na baada ya "Lile goli halali". Aliyefunga lile goli alifunga baada ya mshika kibendera kumtanabahisha mwamuzi kuwa kuna waoteaji wawili wa Chelsea wakinyemelea kufanya umafia.

Halikuwa goli halali.
Na Lile bao la Wiliam ni kwa hisani ya mwamuzi kwa kumpa mchezaji wa Timu pinzani kadi nyekundu kutokana na wachezaji wa Chelsea kumzunguka, kumtisha na kumtekenya mwamuzi.

Kwa kifupi inaitwa kubebwa.

We ni punguani,

Ile penalt ya wazi tuliyonyimwa baada ya cuardado kupiga mpira na beki wa everton kuublock kwa mkono na kuupandisha juu(kuupiga juu) kwa mkono hukuona kuwa ni clear penalti...kocha wa everton kakomment kuwa red card kwa barry ilikuwa correct coz alicheza rafu inayostahili njanoa afu we punguani unakuja kubisha na kuona ilitolewa kwa kubebwa hapa..na kuclaim kuwa chelsea imebebwa?
 
yaani Mungu atusaidie tu tuchukue ubingwa mwaka huu ili mwakani tuongeze majembe machache kwa ajiri ya uefa . tukipata beki moja ya kati , kiungo mmoja na forwad wawili wakali yaani remy na drogba waondolewe .
 
Drogba anacheza bonanza tuh mkuu...na ni mpango wa kumweka karibu na mourinho ndo ulimfanya asajiliwe coz nasikia ana interest za kuja kuwa kocha tena mwenye success like special 1....so there iz a need kupata striker tena anaeweza kucheza kama second striker(no 10)...so nakubaliana na wewe on this drogba issue.

Lakini kwa upande wa remy mkuu nahisi ni mapema sana kudai "aondolewe",a guy hajapewa tym ya kutosha kucheza...game alizoanza ni chache sana...then trust me ana skillz za kutosha 4 a striker na ana target nzuri sana(compare total shots anazopiga na zinazokuwa on target,),hiz weakness ni kuwa hayuko physic sana kama costa na aguero na hawezi sana kuforce kwa kutumia mwili bt anapendelea kucheza mpira...i thnk aendelee kuwepo na kupewa nafasi inapobidi...the guy iz talented
 
Mchezaji mbili za Chelsea zilikuwa tayari offside kabla na baada ya "Lile goli halali". Aliyefunga lile goli alifunga baada ya mshika kibendera kumtanabahisha mwamuzi kuwa kuna waoteaji wawili wa Chelsea wakinyemelea kufanya umafia.

Halikuwa goli halali.
Na Lile bao la Wiliam ni kwa hisani ya mwamuzi kwa kumpa mchezaji wa Timu pinzani kadi nyekundu kutokana na wachezaji wa Chelsea kumzunguka, kumtisha na kumtekenya mwamuzi.

Kwa kifupi inaitwa kubebwa.[/blue]

yaani wewe ni mtoto! .......... unaandikaga vitu vya kitoto. unless ulichokiandika hapo ni utani!' kwani upo darasa la ngapi?!

Grand PA
 
Chelsea and Everton charged after Stamford Bridge incident

Both Chelsea and Everton have been charged by the Football Association after players from both teams were involved in an on-pitch incident. The clubs are charged with failing to ensure their players conducted themselves properly during the game. Chelsea defender Branislav Ivanovic will not face any further action over an incident involving Everton's James McCarthy in the 86th minute.
 
We ni punguani,

Ile penalt ya wazi tuliyonyimwa baada ya cuardado kupiga mpira na beki wa everton kuublock kwa mkono na kuupandisha juu(kuupiga juu) kwa mkono hukuona kuwa ni clear penalti...kocha wa everton kakomment kuwa red card kwa barry ilikuwa correct coz alicheza rafu inayostahili njanoa afu we punguani unakuja kubisha na kuona ilitolewa kwa kubebwa hapa..na kuclaim kuwa chelsea imebebwa?

We pia ni Punguani wa Chelsea?

Maana ya Punguani ni nini mossad Zero 3?

Beki wa Everton alianguka tu na mpira kumgonga mkononi, mpira ulifuata mkono na sio kuwa mkono ulifata mpira. Unataka apate adhabu mbili? Ile kuanguka tu ni adhabu tosha!!
 
yaani wewe ni mtoto! .......... unaandikaga vitu vya kitoto. unless ulichokiandika hapo ni utani!' kwani upo darasa la ngapi?!

Grand PA
Sijaanza shule bado. Nipo darasa minus zero.

Vitu vya kiutuuzima ulivyoandika wewe nitaweza kuvisoma kupitia links zipi?
Naomba hizo links, tafadhali mtu mzima. Mtu mzima wewe, au babu wewe upo darasa la ngapi kwani?
 
Chelsea and Everton charged after Stamford Bridge incident

Both Chelsea and Everton have been charged by the Football Association after players from both teams were involved in an on-pitch incident. The clubs are charged with failing to ensure their players conducted themselves properly during the game. Chelsea defender Branislav Ivanovic will not face any further action over an incident involving Everton's James McCarthy in the 86th minute.
Wameamua kuiweka kwenye mbeleko Chelsea na Mwanamieleka Ivanovic?

Huu utaratibu wa kuruhusu mafias kununua vilabu vya mpira, utaua kabisa soka kwa mtindo wa ugawaji wa bahasha.
 
hapo mpira ulifuata mkono au mkono ulifuata mpira? angalia vzr na.kama huoni vzr vaa miwana na utazame tena vzr hiyo picha

Hii picha ni photoshop. Jaribu tena. Picha ya uhalisia, jamaa anaanguka chini, anaonja ladha ya majani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom