Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

​
_80951668_ivanovic2_reuters.jpg
 
Willian ni mchezaji muhimu sana kwetu na kwa Maurinho. ni aina ya mchezaji ambaye Maurinho lazima ampende. dogo anajituma sana na wala halalamiki. anajua kukaba, anajua kuziba nafasi kufungua nafasi, kukimbiza counter attack na mambo kibao. kitu pekee ambacho kilikuwa kinamkimbia ni kufunga. amekuwa anapiga mashuti mazuri sana lakini yanatoka inchi chache tu ya goli au yanagonga besela. kwa ufupi hakuwa tu na bahati ya kufunga. Jana kama mlivyoona jinsi alivyoshangilia. ile shangilia sio tu ya kufunga goli la ushindi lililokuwa linaelekea kugoma kuja lakini ni kusherehekea kwisha kwa balaa lake la kushindwa kufunga. mpaka alianza kupoteza kujiamini kushuti golini akijihisi anapotezea wenzake nafasi za kufunga. lile goli la jana litakuwa limempa bonge ya relaxation ya moyo. sasa itakuwa ni kupunguza mabeki kwa kuchezesha miguu yake na kuwatoka na kuachia madongo yatakayokuwa yanaenda moja moja kwenye nyavu ndogo!!! tutaanza kuyaona hayo J4 ijayo Paris!!!!!

Mbali ya kutokufunga pia Willian ana assist chache sn km 4 tangu msimu ulivoanza pamoja na kucheza kwake kote huko kitu ambacho kimekua kikmnyima raha ingawa ktk mambo km ya kukaba kucounter attack na yuko vzr lkn ktk hayo mawili alikua amepwaya kidogo.

Alafu ata huu ujio wa Cuadrado umemuamsha kidogo maana Cuadrado huko alikotoka ana assist nyingi na anapeleka sn mpira mbele pamoja na kukaba pia.


Lkn kufunga kwa jana golo huyu dogo kumpa nguvu na amani sn.
 
Wameamua kuiweka kwenye mbeleko Chelsea na Mwanamieleka Ivanovic?

Huu utaratibu wa kuruhusu mafias kununua vilabu vya mpira, utaua kabisa soka kwa mtindo wa ugawaji wa bahasha.

huyu kanjanja wa sport
 
Mchezaji mbili za Chelsea zilikuwa tayari offside kabla na baada ya "Lile goli halali". Aliyefunga lile goli alifunga baada ya mshika kibendera kumtanabahisha mwamuzi kuwa kuna waoteaji wawili wa Chelsea wakinyemelea kufanya umafia.

Halikuwa goli halali.
Na Lile bao la Wiliam ni kwa hisani ya mwamuzi kwa kumpa mchezaji wa Timu pinzani kadi nyekundu kutokana na wachezaji wa Chelsea kumzunguka, kumtisha na kumtekenya mwamuzi.

Kwa kifupi inaitwa kubebwa.

the best kanjanja ever
 
Tumemaliza ngebe za Madrid na PSG.

Wale wataalam wa kusajiri mchezaji yoyote yule wanayemtaka kwa gharama yoyote ile sasa tumewakata ngebe zao. Hazard ni Chelsea mpaka 2020.
B9pVW1ZIUAAnCNN.jpg
 
Chelsea and Everton charged after Stamford Bridge incident


Both Chelsea and Everton have been charged by the Football Association after players from both teams were involved in an on-pitch incident. The clubs are charged with failing to ensure their players conducted themselves properly during the game. Chelsea defender Branislav Ivanovic will not face any further action over an incident involving Everton's James McCarthy in the 86th minute.

Cc Nonda
 
Last edited by a moderator:
hajatuliza akili vizuri, but all that comes with experience, with time anaweza jitahidi kupunguza makosa, but kwa sasa ajifunze kwanza toka kwa cech

Nimeangalia morinho akihojiwa,kasema atamchezesha cech kwenye mechi zile kibwa mfano kukutana na lina Liverpool na man city halafu na uefa
 
Sijaanza shule bado. Nipo darasa minus zero.

Vitu vya kiutuuzima ulivyoandika wewe nitaweza kuvisoma kupitia links zipi?
Naomba hizo links, tafadhali mtu mzima. Mtu mzima wewe, au babu wewe upo darasa la ngapi kwani?

ukikua utaacha!' hivi huoni mashabiki wenzio wanaandika vitu vya kuponda chelsea lakin kw points, wewe full utoto ........... jishtukie!

Grand PA
 
Tumemaliza ngebe za Madrid na PSG.

Wale wataalam wa kusajiri mchezaji yoyote yule wanayemtaka kwa gharama yoyote ile sasa tumewakata ngebe zao. Hazard ni Chelsea mpaka 2020.
B9pVW1ZIUAAnCNN.jpg

Kama mkataba una buyout clause, bado anaweza kusajiliwa na hao wataalamu wa kusajili.
 
Nimeangalia morinho akihojiwa,kasema atamchezesha cech kwenye mechi zile kibwa mfano kukutana na lina Liverpool na man city halafu na uefa

uamuzi mzuri kwa timu , mpaka kotwa atakapo zoea mikiki mikiki ya tension za mechi kubwa zinazohitaji uzoefu na umakini
 
We pia ni Punguani wa Chelsea?

Maana ya Punguani ni nini mossad Zero 3?

Beki wa Everton alianguka tu na mpira kumgonga mkononi, mpira ulifuata mkono na sio kuwa mkono ulifata mpira. Unataka apate adhabu mbili? Ile kuanguka tu ni adhabu tosha!![/QUOTE


Uyo beki alieanguka mpira ukamfuata ni yupi?
 
We pia ni Punguani wa Chelsea?

Maana ya Punguani ni nini mossad Zero 3?

Beki wa Everton alianguka tu na mpira kumgonga mkononi, mpira ulifuata mkono na sio kuwa mkono ulifata mpira. Unataka apate adhabu mbili? Ile kuanguka tu ni adhabu tosha!![/QUOTE


Uyo beki alieanguka mpira ukamfuata ni yupi?

cc Nonda
 
Last edited by a moderator:
We ni punguani,

Ile penalt ya wazi tuliyonyimwa baada ya cuardado kupiga mpira na beki wa everton kuublock kwa mkono na kuupandisha juu(kuupiga juu) kwa mkono hukuona kuwa ni clear penalti...kocha wa everton kakomment kuwa red card kwa barry ilikuwa correct coz alicheza rafu inayostahili njanoa afu we punguani unakuja kubisha na kuona ilitolewa kwa kubebwa hapa..na kuclaim kuwa chelsea imebebwa?


Nyie mnaomjibu huyu pinguani na nyie mnaonekana mapunguani vile vile, huyu ni wakupuuzwa tu, ukikimbizana na chizi na wewe utaonekana chizi. Huyu mwacheni abwabwaje akichoka atatulia....mtu anaongea upuuzi kila siku na nyie bado mnahangaika nae!

Huyu ni shabiki anaetanguliza chuki, anasahau michezo ni burudani. Watu kama hawa mara nyingi hawana amani mioyoni mwao, muda wote wana stress! Wanadhani kubwabwaja kutaondoa stress zao, Mara nyingi mwisho wa watu kama hawa ni kujinyonga.


Mpuuzeni, mwacheni akafie mbali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom