Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

RRONDO ndugu yangu kijana Ings kakusumbua jana sana lkn hongera kwa ushindi!

Huku majirani wetu wa Darajani wamempiga player-less Everton pia!Nao pia naqapa hongera

Tushazoea ushindi wa aina hio ila Chelsea wamefanya vizuri kushinda dk za mwishooo hata wapinzani wanakata tamaa
 
Duu. Wewe chilumendo lini umeanza kuwa mshabiki wa kabumbu?

Kama unajua mpira kweli andika kidogo kuhusu uwezo wako katika kuchambua kandanda. Baada ya hapo tunaweza kuanzisha ligi yetu.

Nadhani wewe unachoamini ni kuwa mtu akishinda humu ndiye anajua kuchambua mpira,lakini turudi kwenye post yako niliyo kuquote kweli kama sio ukanjanja wa mpira unaweza kusema Chelsea si chochote na haina uwezo wa kuchukua kikombe
baada ya kusoma post nikaona wewe ni walewale waliokuja na mbio za mwenge,siwezi kukujibu kwa nondo maana post ilikaa kimipashopasho na mimi nikakujibu kimipashopasho.Mdau mwenzangu hata kama Chelsea huipendi embu jaribu kutumia hata akili kidogo uongee uhalisia na sio mipasho
 
"In a lively opening period, Chelsea had a penalty appeal waved away when Naismith parried the ball with his arm."

kosa kama hilo opponents hawaliongelei na hawalikumbuki hata kidogo ila kosa.likifanywa na mchezaji wa chelsea lazima liwakae kichwan na kukaa wanalalamika kutwa nzima.....wanataka mchezaji wetu afungiwe.na FA naona mnataman hata kuoata namba za hao FA muwwambe kuwa chelsea wqfungiwe....mwaka huu wapinzani wetu mna kazi ya ziada...let chelsea play its game!!!...
 
2593F2F300000578-0-image-a-53_1423689530547.jpg
 
Binafsi bado namkubali sana Cech kuliko hata Courtois. Basi tu utu uzima na haja ya kutazama future. lkn huyu jamaa akiwa golini nakuwa na amani sana. nadhani ni kwa uzoefu mkubwa alionao. alipohojiwa baada ya game kuhusu hii save alisema alishaona mpira unavyokuja na jinsi watu walivyojipanga mbele yake. alishahisi Lukaku angeukuta ule mpira bila kikwazo cha beki yoyote so akawa kajiandaa am block vipi. na Mungu saidia ikawa kama alivyodhania!! Cech bwana. Bonge la kipa!
 
unajua binadamu sisi watu wa ajabu sana. hizi penalties tunazonyimwa sio makusudi. ni ile hali ambayo mtu anayekuona una uwezo anaamini hustahili vi favours vidogo vidogo. kwamba kwa uwezo wako lazima ututafanikiwa tu wala huitaji 'kubebwa' kwa aina yoyote. ndivyo waamuzi waonavyo ndani na nafasi zao. wanaona kwa mpira wenu na assets mlizonazo mtafunga tu goli anytime. so hamna haja ya kupewa pewa penalties as mtaonekana mnabebwa wakati hamsahili kubebwa bali mtashinda kwa merit.

nadhani kama penaties zote tungekuwa tunapewa, gap la points lingekuwa kubwa sana. Kila mechi kuna incidence ya sisi kustahili kupewa penalty lakini marefa wanapeta for reasons not understood. but iwe penalty isiwe, kombe la EPL letu mwaka huu.
 
l

Pia hata opponents wetu hawafil kuwa ile ni penalt kwa sababu.iliyoainishwa hapo juu kuwa chelsea haipaswi.kupewa penalt kwa asset ilizonazo....ni vema na ndo.maana hata.manager na.mashabiki wetu wako kimya kwa kuiamn team yetu kuwa haitateteleka
 
alipohojiwa baada ya game kuhusu hii save alisema alishaona mpira unavyokuja na jinsi watu walivyojipanga mbele yake. Alishahisi lukaku angeukuta ule mpira bila kikwazo cha beki yoyote so akawa kajiandaa am block vipi. Na mungu saidia ikawa kama alivyodhania!! Cech bwana. Bonge la kipa!

nadhani mtakuwa mmeshaielewa iq ya cech
 
PENALT......REFA ANASEMA HAPA.JAMA NI REAL PENALT . VIJANA WQ.MORINHO BILA KINYONGO WANQRIDHIKA NA MAAMUDHI YA REFA NA WANAENDRLEA KUPIGANA

ILIKUWA NI DAKIKA YA 89 MATIC ANAWEKA.MPIRA NYAVUNI LAKIN MWAMUZI WA PEMBENI ANASEMA HAPANA HIYO NI.OFFSIDE

VIJANA WA MORINHO PIA WANATIDHIA MAAMUZI HAYO NA KUENDELEA KULISAKAMA LANGO LA EVARTON.

NI DAKIKA YA 91/2 WILLIUM KWA MGUU WAKE WA KULIA ANAPIGA SHUTI KIMO CHA KUKU NA MPIRA UNAENDA MOJA KWA MOJA NYAVUN...na kujihakikishia point tatu darajan
 
Attachments

  • 1423741654504.jpg
    1423741654504.jpg
    63 KB · Views: 91
Wakuu kwa offside trick lile goli la matic lilikuwa halali japo lilikataliwa...ni kweli ivanovic alikuwa offside na akaugusa mpira but ulikuwa umeguswa tayari na defender wa everton everton n thus offside ilikuwa imevunjwa or imekuwa cleared na kitendo cha beki kuugusa...ninyi mna hoja gani kuhusu movie ile na ipi inaifanya iwe offside?
 
labda kama tutaweza kuipata hiyo reply kwa humu tuiangalie vizr tuone kama was clear offside or vinginevyo....na mkumbuke wangukuwa man vity lile goli lingekubaliwa na ile penalt wangepewa ......
 
Willian kiboko!

Willian ni mchezaji muhimu sana kwetu na kwa Maurinho. ni aina ya mchezaji ambaye Maurinho lazima ampende. dogo anajituma sana na wala halalamiki. anajua kukaba, anajua kuziba nafasi kufungua nafasi, kukimbiza counter attack na mambo kibao. kitu pekee ambacho kilikuwa kinamkimbia ni kufunga. amekuwa anapiga mashuti mazuri sana lakini yanatoka inchi chache tu ya goli au yanagonga besela. kwa ufupi hakuwa tu na bahati ya kufunga. Jana kama mlivyoona jinsi alivyoshangilia. ile shangilia sio tu ya kufunga goli la ushindi lililokuwa linaelekea kugoma kuja lakini ni kusherehekea kwisha kwa balaa lake la kushindwa kufunga. mpaka alianza kupoteza kujiamini kushuti golini akijihisi anapotezea wenzake nafasi za kufunga. lile goli la jana litakuwa limempa bonge ya relaxation ya moyo. sasa itakuwa ni kupunguza mabeki kwa kuchezesha miguu yake na kuwatoka na kuachia madongo yatakayokuwa yanaenda moja moja kwenye nyavu ndogo!!! tutaanza kuyaona hayo J4 ijayo Paris!!!!!
 
Obi Michael Afunguka kuhusu nani mkali kikosini Chelsea:

‘I’ll go for Willian and Eden Hazard,’ he said. ‘They’re both very quick and technical. It’s very difficult to get the ball off them. Willian is just too quick, he has quick feet. He waits for you to make the first move and when you do, he’s gone. ‘Hazard doesn’t run around much in training, but you just give him the ball and let him do what he does. What you can do sometimes is just kick them!’
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom