Ntuzu jiandaeni kati ya games 3 hadi 9 bila beki wenu hodari Ivanovic
Ile headbutt FA kesho wanatangaza ajitetee!Headbutt ya kijinga kabisa na isiyo takiwa
Ntuzu jiandaeni kati ya games 3 hadi 9 bila beki wenu hodari Ivanovic
Ile headbutt FA kesho wanatangaza ajitetee!Headbutt ya kijinga kabisa na isiyo takiwa
Ndoto si kitu kibaya. Endelea na ndoto zako.
Ndoo pekee mtakayopata msimu huu ni ile ya Segerea.!!
Lini Mourinho amekubali kuwa wanamieleka wake wamefanya makosa? Una kumbu kumbu yoyote juu ya hilo?
The goal came moments after Chelsea's Branislav Ivanovic went unpunished for a clash with James McCarthy that followed Gareth Barry's red card.Ntuzu jiandaeni kati ya games 3 hadi 9 bila beki wenu hodari Ivanovic
Ile headbutt FA kesho wanatangaza ajitetee!Headbutt ya kijinga kabisa na isiyo takiwa
Wewe mpira huujui kama macho huoni hata picha angalia ,kumbe kwa akili yako ivanovic angetoka chese angefungwa
Tumezoea wamfungie ata game kumi. Bila Costa tumepata draw mchezo mmoja na kushinda miwili...
Focus yetu kwa sasa ni PSG hao FA wafanye wawezavyo.... Tuko na majeruhi wawili mpk sasa Lui na Obi kwa wastani timu iko vzr.
unajifanya mtaalam na unajua urefa kuliko refa alichezesha mpira pamoja na wasaidizi wake wote?
Nakuomba endelea kuwepo kule mnako ongea na wanawake hapa soka family ww hupawezi
Nakuomba endelea kuwepo kule mnako ongea na wanawake hapa soka family ww hupawezi
Ha ha ha ha mkuu acha kijana aingie jukwaa la wanaume tumpe za uso