Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Terry mwenyewe ni zao la West Ham..ingawa hata kwa rentboys alikaa kwenye youth system..ila alianzia Upton Park.

Chelsea watakuwa mabingwa lkn MAJOGOO watakuwa wa PILI!Wazee wa pasi ndefu,Man City na Arsenal watagombea nafasi 2 zilizobaki
 
haya kwa wasiotutakia mema, kaeni mkao wa hofu. Maurinho yuko happy sana darajani na anatamani akae pale kwa miaka 10 zaidi!!!

"I would [like to stay for 10 years], for me the most important thing is to be happy."

"I like the club, I like the players, I like the fans, I like the Premier League a lot. In some moments I don't understand a few things, but that doesn't change my fantastic feeling about the Premier League. I'm very, very happy. If somebody tells me I'm going to make ten years at Chelsea, I would say yes."

"This season our first objective, is again, to finish top four or three, because three goes direct to Champions League. This is the first objective, but when you are doing as well as we are doing, in this moment we think that we can win the title."

Mourinho: 'I would say yes' to 10 years at Chelsea - We Ain't Got No History
 
_80948075_cuadrado_afp_hero.jpg
 
Madogo wamekutana pale mbele...wanapaka sana rangi hadi wanapoteza umakini wakati wa kufunga.

Kwangu mimi hiki ni kikosi bora kabisa...ukiongezea Fabrigas na Diego Costa...hakuna wa kutusumbua tena mpaka mwisho wa ligi.
 
anaesema chelsea tunabahatisha na aseme sasa..............
Umeangalia hii mechi ya leo kweli?
Sio kubahatisha tu, lakini na mbeleko juu. Unafikiri kwa nini mwamuzi alitoa kadi nyekundu kwa timu pinzani dakika za mwisho na kumwacha Mcheza mieleka Ivanovic aendelee kuwepo uwanjani? Kweli hukuona uhuni aliofanya Ivanovic ?

Sasa msubiri ndoo ile ya Segerea.
 
Cuadrado bado hajakuwa katika form, maoni yangu Willian awe anaanza kama kawaida na Cuadrado kubadilishana na Willian, tactics za leo Mou ku,uanzisha Willian katikati zingetugharimu sana, Kati waendelee kubaki oscar, fabregas
 
Umeangalia hii mechi ya leo kweli?
Sio kubahatisha tu, lakini na mbeleko juu. Unafikiri kwa nini mwamuzi alitoa kadi nyekundu kwa timu pinzani dakika za mwisho na kumwacha Mcheza mieleka Ivanovic aendelee kuwepo uwanjani? Kweli hukuona uhuni aliofanya Ivanovic ?

Sasa msubiri ndoo ile ya Segerea.

ivanovic hakufanya lolote baya lenye kutahili kupewa kadi.....hilo swali morinho kaulizw ana mwandihi baada ya mechi eti umejisikiaje kuona ivanovic anampiga mwenzake.....the spesho one amejibu kwa kifupi tu dont make me lough!

barry amestahili kadi ya pili ya njano kwa rafu mbaya dhidi ya kijana wetu mahili mwenyeheri willian.....ilikuwa rafu mbya kabisa.....sasa wee kama hujui mpira utaema refa kapendelea ...kocha wa evarton ameulizwa hivi punde tu nini maoni yake kuhusiana na kadi nyekundi kwa barry..amejibu kuwa kwa kawaida ukipewa kadi ya njano ya kwanza na kisha ukarudia kosa na kupewa kadi nyingine ya njano basi ni lazima upewe pia kadi nyekundu so kijana amestahili na hana cha kulalamika juu ya hilo kikubwa amesema ameuzwa na kipigo ch dakika za mwisho.......

sisi haooooo seven point clear at the top......mtakatifu wa paris ya ujeruman ajiandae next week
 
ivanovic hakufanya lolote baya lenye kutahili kupewa kadi.....hilo swali morinho kaulizw ana mwandihi baada ya mechi eti umejisikiaje kuona ivanovic anampiga mwenzake.....the spesho one amejibu kwa kifupi tu dont make me lough!

barry amestahili kadi ya pili ya njano kwa rafu mbaya dhidi ya kijana wetu mahili mwenyeheri willian.....ilikuwa rafu mbya kabisa.....sasa wee kama hujui mpira utaema refa kapendelea ...kocha wa evartona ameulizw ahivi punde tu nini maoni yake kuhusiana na kadi nyekundi kwa barry..amejikuwa kuwa kwa kawaida ukipewa kadi ya njano ya kwanza na kisha ukarudaia kosa na kupewa kadi nyingine ya njani basi ni lazima upewe pia kadi nyekundu so kijana amestahili.......

sisi haooooo seven point clear at the top......mtakatifu wa paris ya ujeruman ajiandae next week
Ndoto si kitu kibaya. Endelea na ndoto zako.

Ndoo pekee mtakayopata msimu huu ni ile ya Segerea.!!

Lini Mourinho amekubali kuwa wanamieleka wake wamefanya makosa? Una kumbu kumbu yoyote juu ya hilo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom