Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Umeona sielewi kitu hapo au nimesema kutokana na ukweli ulivo? Maana ata nyie na wenzako sioni kujazana huku! Sasa km chelsea ndio mbabe wenu kwanini huwa mnapingana na sisi tukisema kombe tunachukua?

kuwa mbabe haina maana ushajihakikishia ubingwa ila mna nafasi kubwa ya kuchukua ubingwa
 
Mkuu wanakuwa wameibetia Chelsea sasa ikifungwa mkeka unachanika unajua kupitia Chelsea watu wanapiga sana hela?


Wanachanika na wao hahahahaaaaaa mambo ya kamari mkuu ni nouma.
 
RRONDO ndugu yangu hawa akina Ntuzu watakuwa mabingwa maana Man City utumbo mtupu

Wa pili tutakuwa sisi majogoo nyie mtashindana wenyewe

hivi nyie mko nafasi ya ngapi? maanake naona unajipangia tu kuwa wa pili wakati hata nafasi ya tani inakushinda
 
Last edited by a moderator:
BREAKING NEWS!!! FA Charged Chelsea for going 7points
clear at the top of the table.
 
Man City kapata Droo jana tena kachomoa goli dakika mbaya alafu Etihad lkn vyombo vya habari kwao sio HABARI hio viko kimya lkn hapo ingekua ni chelsea tungeona ata hii kurasa yetu inavojaliwa na Mburukenge.


Angalia Arsenal pia kapigwa na Spurs lkn imekua sio habari ata mburukenge hawako kule lkn ktk hii kurasa ya chelsea ni shida.

Kweli sisi ni kiboko yao.

Arsenal kufungwa ni kawaida, isiyokawaida ni pale inaposhinda. Timu ya Mr. Bean inafungwa bao 8 na wala Mr. Bean haombi radhi mashabiki maana yuko pale kutengeneza faida.
Teheteheteheeeee
 
Vifaa Vyetu vilivyoko kwenye Loan - angalia action zao wiki iliyopita:

LOAN HIGHLIGHTS

Christian Atsu - wa Ghana ni kifaa chetu, Shuuli yake wote mmeiona.
Mohamed Salah made his Fiorentina debut in their 3-2 win over Atalanta,
Oriol Romeu played the first hour in Stuttgart's 2-0 defeat to Bayern Munich.
Stipe Perica was a late substitute as Udinese were beaten 3-1 by Rafael Benitez's Napoli.
Marco van Ginkel was an unused sub as Milan suffered defeat by the same scoreline to Juventus.
Marko Marin started and played 67 minutes in Anderlecht's 2-0 win against Cercle Brugge.
Bertrand Traore, back in the Vitesse side following the Africa Cup of Nations.
Victor Moses played the full 90 minutes as Stoke earned a late 1-1 draw at Newcastle on Sunday.
Patrick Bamford was heading Middlesbrough in front against Charlton, with
Kenneth Omeruo also featuring at centre-back.
Tomas Kalas was an unused sub for Boro.
John Swift was instrumental in Swindon's 2-0 win over Barnsley in League One,
Alex Kiwomya was a sub for Barnsley,


Chelsea taifa kubwa - Mfalme wa soka kwa miaka mingi ijayo
 
Haters be very afraid!!!
 

Attachments

  • 1423505147789.jpg
    1423505147789.jpg
    54.9 KB · Views: 150
EPL This season...
Most Points - Chelsea
Most Goals Scored - Chelsea
Most Clean Sheets - Chelsea
Longest Unbeaten Run - Chelsea
Best Goal Difference - Chelsea
Best Home Record - Chelsea
Biggest away win - Chelsea
Top Scorer - Costa
Most Assists - Fabregas
Most Passes - Fabregas
Most Chances Created - Fabregas
Most Dribbles - Hazard
Most Tackles - Matic
 
kesho tunakipiga na Everton. Man City wanacheza na Stoy City. Natabiri by the end of the games za kesho, tutakuwa tumewaacha Man City kwa point sio chini ya 9. Tunawafrunga Everton na Man City anatoa tena draw!! Mpaka Yaya Toure arudi uwanjani ndio Man City wataanza tena kushinda. hilo gap la point 9 halitozibwa kamwe na Man City watajua na kuikumbuka birthday ya Yaya Toure kila mwaka!!!
 
Kikoosi cha kesho dhidi ya Everton ktk matazamio.
 

Attachments

  • Chelsea-XI-formation-tactics.png
    Chelsea-XI-formation-tactics.png
    6.8 KB · Views: 108
Mkuu uko obsessed , mpaka under 21..

Obsessed to rentboys? No way!

Kuna jamaa yenu aliandika kwamba timu yenu ya U21 inaongoza ligi ya U21, sasa mimi nimempa matokeo ya mechi ya jana.

I have many other things to get obsessed with. Rentboys is none of them chap.
 
Obsessed to rentboys? No way!

Kuna jamaa yenu aliandika kwamba timu yenu ya U21 inaongoza ligi ya U21, sasa mimi nimempa matokeo ya mechi ya jana.

I have many other things to get obsessed with. Rentboys is none of them chap.

Hiyo U 21 timu gani inaongoza ligi? inaoneka mfatiliaji sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom