Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

hi-res-c34a9830c6cd08795b73742985762387_crop_exact.jpg
 
Hongereni sana wana chelsea wenzangu. ni weekend murua kabisa. wakati jamaa wanagugumia, sie waleeee 7 points clear. na bado J5 ijayo waleee 10 points gap!! hatutulii mpaka wakiri sisi ni mabingwa!!!
 
Chelsea First team: 1st
Chelsea U21 team: 1st
Chelsea U18 team: 1st
Chelsea Ladies team: 1st
DOMINATION.

Good. Ebu nitajie wachezaji watano tu ambao hizo U18 na U21 za rentboys iliwatoa na kutamba!
 
they like or not, we are on top, blues for life
Kama kawaida, wa mieleka wamebebwa. Mwamuzi alipeta baadhi ya fouls walizofanya Chelsea. Niseme tu sikuangalia mechi yote, lakini ule muda niliangalia na baadae kuangalia highlights nimeona wana-rugby wamebebwa.

Nilikuwa naangalia Atletico Madrid wakiiadhiri Real Madrid. 4-0.

Hata hivyo, hakuna kikombe wala ndoo kwa wanamieleka kwa msimu huu.
 
Dogo kaanza kazi leo.
 
Attachments

  • _80856027_josemourinho.jpg
    _80856027_josemourinho.jpg
    14.9 KB · Views: 113
FA wamekua wasikuvu kwa Jose Mou kuhusu kucheza game za EPL katikati ya wiki then unapata nafasi ya kutosha kujiandaa na game za Cahmpions League km ilivo kwa timu za Ujerumani zinazoshiriki UEFA.

Tunacheza tarehe 11 jumatano then weekend hii hatuna game yoyote mpk jumanne wiki ijayo tutakapokua Paris ktk Champions league. Safi sn, siku 6 za maandalizi ya kuivaa PSG.
 
Chelsea in all competitions this season —
Played - 37
Won - 26
Drawn - 8
Lost - 3
Goals scored - 85
Goals conceded - 32
7 hrs · Public
443 · Like · 2 Comments · Share · Unlike Page
 
FA wamekua wasikuvu kwa Jose Mou kuhusu kucheza game za EPL katikati ya wiki then unapata nafasi ya kutosha kujiandaa na game za Cahmpions League km ilivo kwa timu za Ujerumani zinazoshiriki UEFA.

Tunacheza tarehe 11 jumatano then weekend hii hatuna game yoyote mpk jumanne wiki ijayo tutakapokua Paris ktk Champions league. Safi sn, siku 6 za maandalizi ya kuivaa PSG.

mkuu sometimes unachekesha....hamchezi weekend ijayo kwasababu ni FA CUP weekend na nyinyi MMESHATOLEWA....mngekuwemo mngecheza weekend hio na ECL katikati ya wiki hio ndio ratiba ya timu zinazoshiriki makombe matatu au manne.

FA hawamsikilizi MOU wala LVG ratiba ya kila mwaka iko hivyo hivyo makocha watapiga kelele wala hawasikii.
 
FA wamekua wasikuvu kwa Jose Mou kuhusu kucheza game za EPL katikati ya wiki then unapata nafasi ya kutosha kujiandaa na game za Cahmpions League km ilivo kwa timu za Ujerumani zinazoshiriki UEFA.

Tunacheza tarehe 11 jumatano then weekend hii hatuna game yoyote mpk jumanne wiki ijayo tutakapokua Paris ktk Champions league. Safi sn, siku 6 za maandalizi ya kuivaa PSG.

hapo PSG Lazima tukamtoe jasho.
utabili wangu
PSG1-3CHLS.
 
Kama kawaida, wa mieleka wamebebwa. Mwamuzi alipeta baadhi ya fouls walizofanya Chelsea. Niseme tu sikuangalia mechi yote, lakini ule muda niliangalia na baadae kuangalia highlights nimeona wana-rugby wamebebwa.

Nilikuwa naangalia Atletico Madrid wakiiadhiri Real Madrid. 4-0.

Hata hivyo, hakuna kikombe wala ndoo kwa wanamieleka kwa msimu huu.

wafa maji hamkosi kutapatapa mna macho lakini hamuoni! Haya ngoja tukubaliane nawewe chelsea hachukui ubingwa bila shaka timu yako ndo itachukua hongera sana kwa ndoto zako za kimweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom