Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Last edited by a moderator:
Ikianzishwa tuzo ya "domo", Mourinho atainyakuwa kiulaini kabisa.
Napendekeza iitwe "Domo award."
Karibu Darajani Juan Cuadrado - Kwa Kheri ya kuonana - Andre Schurrle (Most Likely)
![]()
Ameshasaini?
bado lakini leo zege halilali - kinachosababisa kusuasua ni ile club ya Wolfsburg - bado hawajatupatia fuba arrond pound 21m ili na sisi tutumie hilo hilo na cha juu kidogo ili kumnasa staa Cuadrado.Ameshasaini?
mpaka saa 8 hii Schurrle alishakubaliana maslahi binafsi na Wolfsburg. Lkn clubs bado zinapigana wao kwa wao. lazima hii deal itafikiwa ili kuwezesha deal ya Cuadrado kufikiwa pia. nadhani Wolfsburg wanaleta za kuleta kwa vile wanatujua tuna haraka ya kumsajili Cuadrado..mnajua tena mambo ya demand and supply!!! lakini kama tulivyo msishangae Cuadrado akaja, Salah akapelekwa Fiorentina na wakapewa cha juu kidogo na Schurrle akabaki vilevile!!!! its all about barganing skills and powers
Yes kaka, watatupenda tu!!Chelsea tutazidi kua watamu cuadrado
Karibu mkuu.....
Hongereni aisee naona mnaimarisha kiungo....jamaa yuko vzuri uyo sio haba
Ni kweli mkuu huyu jamaa atatusaidia sn.....ataongeza nguvu alafu pia naona Mou anataka kuongeza na beki pia ngoja tuone mpk kesho itakuaje...
BR naona na yeye anataka kusajili kidogo.....