zacha
JF-Expert Member
- Feb 28, 2009
- 1,215
- 1,913
he will get a four-game ban instead of three...he shouldnt contest,its waste of time!
For you its wasting time but for Chelseafc is not, lets wait and see what "bunch of twatts" 'll do...!
he will get a four-game ban instead of three...he shouldnt contest,its waste of time!
It will be a surprise if he escapes punishment, but Costa, Mourinho and others at the club have been incensed by the charge and are determined to fight it. #Mail on line#
Km vyombo vya habari vinaandika hivi hii wanakua wanashinikiza hukumu moja kwa moja na ndio hapa Mourinho anapiga kelele kua kua kampeni mbaya dhidi yake....yani kwa uandishi huu ni hatari sn na hiki kitu kinachochewa na vyombo vya habari na wachambuzi wa soka. Ngoja tuone hio kesho ijumaa uamuzi wa mwisho.
mkuu kwa maana hiyo costa jumapili hatacheza ?? , lakini ukiangalia matukio yote mawili ni ya bahati mbaya kwa sababu alikuwa kwenye move hivyo haikuwa raisi kwake kuyaepuka .Hawa FA kama vile wana ajenda ya siri na chelsea

Hachezi kesho na Man City,pia ataikosa Everton na Aston Villa na sababu kakata rufaa na atashindwa hata Wembley hatakuwepo na Tots
Sio agenda ya siri bali ni kuweka nidham sawa tu!Huwezi fanya bahati mbaya za ina hiyo hiyo na za hatari twice
Bila Costa sahau kumfunga Man City!Drogba and Remy have no legs
Costa akicheza easily mnamfunga City!Ntuzu usilete utani wewe Costa ni mpambanaji haswa na anajua mno kutupia!
Drogba na Remy wamesahau kutupia
Hachezi kesho na Man City,pia ataikosa Everton na Aston Villa na sababu kakata rufaa na atashindwa hata Wembley hatakuwepo na Tots
Sio agenda ya siri bali ni kuweka nidham sawa tu!Huwezi fanya bahati mbaya za ina hiyo hiyo na za hatari twice
kusema ukweli sijaiona hii mechi wala hio stamping aliofanya Costa. Lakini katika watu wote wanaozungumzia ni watu wa Chelsea tu ndio wanaona Costa anaonewa hajafanya kosa. Hivi inawezekana kila mtu anaiuchukia Chelsea kiasi cha kusema Costa amefanya kosa wakati hajafanya??
RRONDO haitakiwi hata uwe na uzoefu wa EPL kama Ryan Giggs kujua kama hii hawezi kuponakwani washatoa hukumu?? akiwa guilty of violent conduct after his appeal,its a four-game ban....if not guilty he will play as the appeal will be judged before weekend.
Ok sio km watu WA Chelsea Tu ndo wanamtetea Costa. Hoja Ni kwamba Chelsea wanasimamia kua Ile ilikua ajali tu
Na kwamba vyombo vya habari ndio vimechochea sn hili swala mpk FA imesukumwa kuchukua kumfungia Costa. Sky Sport wanahusika ktk kurusha picha zikimuhusu Costa ktk kadhia hiyo Ili kuuaminisha umma kua Ni kweli Costa alidhamiria kucheza rafu

ni chelsea tu ndio wanaamini ile ilikuwa ajali.....wengine wote wanaona ni delibearate stamp to hurt an opponent....i guess everybody hates chelsea eeeh
Scholes feels Costa has only reacted to provocation from opposing players and has shown great restraint in not lashing out more often given the abuse he receives on the pitch.
"As for Diego Costa, I see it differently to the rest," he wrote in his-London Evening Standard-column.
"I thought his actions were at the lower end of the scale of dangerous and that he was under extreme provocation from Martin Skrtel, who has wound him up before this season.-
"My view of it was that Costa gets kicked a lot and actually his patience is to be admired in many, if not all, situations."
Costa kashindwa appeal lakini hawajamuongezea extra game ban....atafungiwa mechi tatu kuanzia ya kesho.
Diego Costa has lost his appeal against an FA violent conduct charge and has been given a three-match ban that will keep him out of Chelsea's clash with Manchester City.
The Chelsea striker will miss his side's top-of-the-table Premier League clash against City at Stamford Bridge on Saturday after losing his appeal at a Football Association hearing on Friday.
The Brazilian-born Spain striker has been given the ban after treading down on the ankle of Liverpool's Emre Can in the first half of the Capital One Cup semi-final, second leg, at the Bridge on Tuesday.