Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kalou ndugu yangu kwema hapa?Naona kijiwe kimepoa sana!Chukulieni 5-3 ya Tots kama changamoto tu na si zaidi ya hapo!
Ntuzu haina haja ya kusononeka hadi leo kwa kipigo kile,ndiyo soka kaka

Heri ya mwaka mpya wana Darajani wote

Ahanste sana kwa kututakia heri ya mwaka mpya.
 
Sijui kama tutaweza kumng'oa Messi,ikitokea hivo itakuwa poa sana kwa ajili ya UEFA
 
Kalou ndugu yangu kwema hapa?Naona kijiwe kimepoa sana!Chukulieni 5-3 ya Tots kama changamoto tu na si zaidi ya hapo!
Ntuzu haina haja ya kusononeka hadi leo kwa kipigo kile,ndiyo soka kaka

Heri ya mwaka mpya wana Darajani wote

Mkuu mi nipo ila mambo kwa muda huu yamenibana sn kiasi naingia kwa jf mara chache sn

Asante mkuu kwa kututakia heri ya mwaka mpya. Nawe pia her ya mwaka mpya mkuu...............!
 
Last edited by a moderator:
si kweli ni media tu hizo, ila zinaweza kuwa na ushawishi fulani

Milion £ 260 ndiyo bei ya Messi ambayo ni zaidi ya mishahara ya wachezaji wote wa Westham!

Hamna wa kutoa bei hii hapa duniani,tutaishia kwenye milion 100 na kidogo huko
 
sio mshahara tu....unaweza hata kununua timu kabisa ya EPL!
 
Kwa hili nakuunga mkono RRONDO

Team kama Leic au Burnley kweli huwezi inunua kwa mtaji huu?Jus a question

na change inabaki....hapo chini kuna values za 2012 at least zitatoa picha kidogo...

Markham-table-1-values.jpg
 
wana blues wenzangu hivi dili ya messi ni ya kweli coz kila media issue ni messi

mwanzoni ilikuwa ngumu kwa upande wa chelsea maana dau la jamaa lipo juu sana,leo nasoma sport news seems chelsea wamekubali hiyo dili kwahiyo wanasikiliza upande wa jamaa
 
Nahisi hasira na usongo mkali darajani...na hata humu jukwaani. darajani nahisi kuna hii hali:

1. Hasira za kukisahau kipigo cha Tottenham. hasira hizi zitaisha kama kitatolewa kipigo cha mbwa mwizi.

2. Nahisi kipigo hiki kitatolewa kwa Newcastle wiki endi hii

3. Nahisi pia hasira za kulipiza nuksi waliyotuanzishia hawa Newcastle kwao St. James Park. Na hili ukijumlisha na Namba 1 na namba 2 hapo juu, inahamasisha hasira ya kuwapiga Newcastle zaidi ya hizo bao 5 tulizopigwa sisi tena bila majibu!

4. Nahisi pia kuna presha kwa wachezaji kujituma zaidi ili wasije wakakatwa pindi uvumi wa ujio wa Messi utakapokuwa kweli. sitashangaa kuwaona watu kama Schurrle na Salah wakijituma zaidi na kujikakamua zaidi kulinda namba zao au kutengeneza opportunities za kuchukuliwa na timu kubwa pindi watakapoonekana kutolewa

5. Nahisi pia tutataka kutoa onyo kwa game ijayo na Man City kuwa kudondoka kwetu kwa hvi karibuni kumefikia kikomo na tunataka kufungua tena gap la point lililokuwepo awali, hususan kwa vile mechi na Man City iko tu jirani.

Wadau Ntuzu kalou Viol Mentor na wengineo mnasemaje? Karibuni tuijadili timu yetu na mikakati yetu. tuachane kubishana na wanaotucheka. hao watatucheka tu siku zote tufungwapo. ila hatutawaona tushindapo
 
Our team is the most complete team pale EPL,
Kila team nzuri ina siku mbaya, Madrid, Barcelona, Bayern munich,Man UTD (siwezi kuitaja arsenal hapa)
We had a bad day against Totnhm, hao wote wanaotubeza huku tumewapiga gap kubwa naona ni kelele tu,
MESSI hawezi kuja anytime soon,
way foward ni kukaza zaidi, makombe 2 msimu huu ndio target ya saizi yetu
 
Last edited by a moderator:
Kama abromovich aliweza kutumia million £80 kwa ck akiwa ufukweni na rafiki zaje atashindwaje kumleta messi darajani?

Kwa ck alitumia million £80
 
Siku hizi kuna Financial Fear Play, lazima club itumie pesa kadri inavyotengeneza
 
Sasa kama mwenye time unatumia kiac hicho kwa ck swali ni je yeye anaingiza kiac gan kwa ck?
 
Siku hizi kuna Financial Fear Play, lazima club itumie pesa kadri inavyotengeneza

Khe khe khe khe ke khe khe heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee pesa za wizi tu hizo ngoja JK aanze kuwadai walipe kodi ya hizo pesa za wizi khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

The cash point is open ... .
 
_80004839_panic_button.jpg

Mesi signs a contract with Chelsick to cost them .5 of a billion

Pesa za wizi tu hizo ngoja JK aanze kuwadai walipe kodi ya hizo pesa za wizi khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

The cash point is open ... . khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee panic!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom