Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nahisi hasira na usongo mkali darajani...na hata humu jukwaani. darajani nahisi kuna hii hali:

1. Hasira za kukisahau kipigo cha Tottenham. hasira hizi zitaisha kama kitatolewa kipigo cha mbwa mwizi.

2. Nahisi kipigo hiki kitatolewa kwa Newcastle wiki endi hii

3. Nahisi pia hasira za kulipiza nuksi waliyotuanzishia hawa Newcastle kwao St. James Park. Na hili ukijumlisha na Namba 1 na namba 2 hapo juu, inahamasisha hasira ya kuwapiga Newcastle zaidi ya hizo bao 5 tulizopigwa sisi tena bila majibu!

4. Nahisi pia kuna presha kwa wachezaji kujituma zaidi ili wasije wakakatwa pindi uvumi wa ujio wa Messi utakapokuwa kweli. sitashangaa kuwaona watu kama Schurrle na Salah wakijituma zaidi na kujikakamua zaidi kulinda namba zao au kutengeneza opportunities za kuchukuliwa na timu kubwa pindi watakapoonekana kutolewa

5. Nahisi pia tutataka kutoa onyo kwa game ijayo na Man City kuwa kudondoka kwetu kwa hvi karibuni kumefikia kikomo na tunataka kufungua tena gap la point lililokuwepo awali, hususan kwa vile mechi na Man City iko tu jirani.

Wadau Ntuzu kalou Viol Mentor na wengineo mnasemaje? Karibuni tuijadili timu yetu na mikakati yetu. tuachane kubishana na wanaotucheka. hao watatucheka tu siku zote tufungwapo. ila hatutawaona tushindapo

Mkuu Manumbu nimekua tait sn kwa muda mfupi lkn soon nitakua na nafasi na kuweza kuingia humu mara kwa mara.

Kuhusu mchezo wetu na hao Newcastle kuwafunga hilo ni lazima watake wasitake.

pamoja sn mkuu
 
Last edited by a moderator:

hawa tutawapa funzo weekend hii
 
Naona yule mjaza server ambaye marinda yake yanatutia wasiwasi amekuja kwa kasi tena na vicheko vyake
 
Khe khe khe khe ke khe khe heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee pesa za wizi tu hizo ngoja JK aanze kuwadai walipe kodi ya hizo pesa za wizi khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

The cash point is open ... .

Nasikia yule mshambulaji wenu aliyeenda Inter Milan amefunguka sana kuhusu "ubora" wa Babu Wenger..
Bora atundige viatu kuliko kurudi kwa wabeba bunduki
 
Mkuu Manumbu nimekua tait sn kwa muda mfupi lkn soon nitakua na nafasi na kuweza kuingia humu mara kwa mara.

Kuhusu mchezo wetu na hao Newcastle kuwafunga hilo ni lazima watake wasitake.

pamoja sn mkuu

Personally huwa nafarijika sana kusikia mtu yuko busy kabanwa na kazi mpaka anakosa muda wa kufanya mambo mengine. kwa hilo nakupa hongera sana Mkuu Ntuzu. it is good to be busy kuliko idle kama yule jamaa mcheka cheka hivyo humu ndani!!
 
Last edited by a moderator:
Yule golikipa aliyepigwa magoli matano mfuto yuko kiti moto ... ... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Moureen amekuwa mnyonge kama kuku aliyenyeshewa na mvua.
 
Chelsea Football Club
Here's our team to play Newcastle today...
Petr Čech, Ivanovic, Zouma, Terry, Cesar
Azpilicueta , Cesc Fàbregas , Matic, Willian,
Oscar , Eden Hazard, Diego Costa.
Subs: Thibaut Courtois, Gary Cahill , Filipe Luis ,
Ramires , Mikel, Didier Drogba, Remy
 
Kweli tena defence ya Chelsea haiko poa Newcastle wakitulia watarudisha bao
 
:loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco:
 
Yule golikipa aliyepigwa magoli matano mfuto yuko kiti moto ... ... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Moureen amekuwa mnyonge kama kuku aliyenyeshewa na mvua.

Mind the Gap
 
By the time tunacheza nao Man City kutakuwa na gap la points sio chini ya 4. Tukiwapiga tutakuwa tumefungua gap la point 7. Wale wapenda kucheka tutawaona vicheko vyao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom