majorbanks
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 228
- 66
We picking up..go go The Blues...!!
Thanks much mtani huu ni mwanzo tu kazi kwenu hapo kesho
ina maana na mm hujaniona?
Aisee!! Nimefurahi kukuona hapa,hongereni sana kwa game la leo.
Tunaondoka na point 3 bila matatizo....
Ahsante mamito, nina furaha sana maana hata mpira tuliumiliki hasa. Chelsea tunachanja ushindi mwingine tukiwa home.
Ila defense yenu haikuwa poa hasa kipindi cha kwanza.
Ila ni mechi ngumu pia
Kiukweli kipindi cha kwanza haikuwa powa. Thanks kwa Oscar na Diego Costa, kututoa kifua mbele. The special One ameliona hilo atalifanyia kazi.
Kesho nitakupa kampani dear.