Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

akili za kushikiwa..

Chelsick vishabiki vyake vipotoshaji nambari moja. Hebu viulizeni mwaka huu vinatetea taji gani? Hakuna hata kajasiri kamoja kanakoweza kujibu hili swali halafu vinaganga njaa ati facts! facts my ass! khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na tajiri kaanza kupoteza pesa kule Urusi ... .... ndio wakome ubishi.
 
kuandika jina la timu huwezi na bado unataka kubishana?

This is the kind of sportmanship language. Ntuzu mganga wako kweli anajua kuziganga Ntuzu zilizozeeka.
Ni mganga huyo huyo aliyekwambia hutadondosha point?
Kwa hilo amekudanganya. Lol. te tehee hehteette tah tu teh haha h aaah.

Naomba unianzishie Jukwa la New Castel, mimi sielewi vipi unafungua jukwaa JF ili tupate jukwaa la kufurahia ushindi kwa kuifunga "Timu bora" duniani.
 
Aya sasa
 
Attachments

  • 1418968504259.jpg
    1418968504259.jpg
    39.4 KB · Views: 128
kuandika jina la timu huwezi na bado unataka kubishana?
Umefahamu au vipi? Timu ninayoishabikia ni Newcastle, timu iliyoifunga" timu bora" duniani.

Hii vipi umeipenda? Lete ubishani sasa.
 
CHELSEA’S MAJOR SEMI-FINALS
1911 FA Cup, 1915 FA Cup, 1920 FA
Cup, 1932 FA Cup, 1950 FA Cup, 1952
FA Cup, 1965 League Cup, 1965 FA
Cup, 1966 FA Cup, 1966 Inter-Cities
Fairs Cup, 1967 FA Cup, 1970 FA Cup,
1971 European Cup Winners’ Cup,
1972 League Cup, 1973 League Cup,
1985 League Cup, 1991 League Cup,
1994 FA Cup, 1995 European Cup
Winners’ Cup, 1996 FA Cup, 1997 FA
Cup, 1998 League Cup, 1998 European
Cup Winners’ Cup, 1999 European Cup
Winners’ Cup, 2000 FA Cup, 2002
League Cup, 2002 FA Cup, 2004 UEFA
Champions League, 2005 League Cup,
2005 UEFA Champions League, 2006
FA Cup, 2007 League Cup, 2007 FA
Cup, 2007 UEFA Champions League,
2008 League Cup, 2008 UEFA
Champions League, 2009 FA Cup,
2009 UEFA Champions League, 2010
FA Cup, 2012 FA Cup, 2012 UEFA
Champions League, 2012 FIFA Club
World Cup, 2013 League Cup, 2013 FA
Cup, 2013 UEFA Europa League, 2014
UEFA Champions League, 2015 League
Cup
 
Dogo anaendelea vizuri. Juzi Ijumaa Maurinho alisema, wote Courtios, Zouma na Drogba wako fit kiasi cha kucheza Jumatatu.
 
Chelsick vishabiki vyake vipotoshaji nambari moja. Hebu viulizeni mwaka huu vinatetea taji gani? Hakuna hata kajasiri kamoja kanakoweza kujibu hili swali halafu vinaganga njaa ati facts! facts my ass! khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na tajiri kaanza kupoteza pesa kule Urusi ... .... ndio wakome ubishi.

mkuu tatizo lako ni nini hasa kiasi kwamba hulali kwa ajili ya Chelsea,yaani hapakaliki bila chelsea
 
Hazijapotea zote nane, zimepotea tano tu pale tulipo-draw na Sunderland na kufungwa na Newcastle United.

Lakini kwa sasa tumelingana nao maana wao wamecheza mchezo mmoja zaidi yetu

kesho tukicheza michezo sawa na man city tunawawashia tena indicators
 
mkuu tatizo lako ni nini hasa kiasi kwamba hulali kwa ajili ya Chelsea,yaani hapakaliki bila chelsea

Nenda ukadraw na liva ndo uje huku, najua roho inakuuma sn unapoona vtu vya hazard unataman angekuwa firauni am sorry flamin, jitahidin kombe lenu la nafasi ya nne naona West Ham wanaliwania.
 
Nenda ukadraw na liva ndo uje huku, najua roho inakuuma sn unapoona vtu vya hazard unataman angekuwa firauni am sorry flamin, jitahidin kombe lenu la nafasi ya nne naona West Ham wanaliwania.

Mkuu hebu soma vizuri mtiririko wa nilochoandika naona kama umenijibu tu bila kusoma nilichoandika
 
Mkuu hebu soma vizuri mtiririko wa nilochoandika naona kama umenijibu tu bila kusoma nilichoandika

Sorry nilikuwa namjibu huyo wacha 1 mzee wa kucheka wakati timu yake nafasi ya sita
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom