Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,979
- Thread starter
- #20,841
Umekuwa na "Domo-Mourinho".
Mkuu Manumbu; ungeelewa kwanza mwanzo wa mjadala; kabla ya kutoa hukumu tu.
respect!!!
argument ni kwamba PSG wako vizuri kuliko msimu uliopita tulipowatoa kwenye robo ya UCL.
Nimewaambia kwamba..msimu huu tuko vizuri pia kuliko msimu uliopita the Maestro Fabregas, Diego Costa, Filipe Luis etc...
iwe iwavyo tuko robo fainali ya UCL tayari...
CHELSEA FC - FOREVER BLUE
khe khe khe khe khekhe.....huwezi kulala bila kututaja na bado #TutaheshimianaTuMwakahuu
Capital One Cup ni la luver hilo..teh teh teh!!
Uende tu akakutibu huo ugonjwa wa "Domo-Mourinho". Mganga unae, U-Ntunzu unakusumbua kwa nini huendi haraka kwa huyo mganga.Aiseee njoo pm nikupe no ya simu kuna mganga mzuri sn huku kwetu gamboshi anajua kutibu haya makitu yanaitwa Nonda!
Uende tu akakutibu huo ugonjwa wa "Domo-Mourinho". Mganga unae, U-Ntunzu unakusumbua kwa nini huendi haraka kwa huyo mganga.
Huenda baada ya matibabu ukarudi na lugha ya ki-sportmanship na sio "Domo-Mourinho"
Haya usijicheleweshe, fanya haraka!
Nikukumbushe tu kuwa Chelsea inabebwa, lakini hakuna kikombe kwa msimu huu.
kaka ukiwa mtu wa mpira unaangalia na mipira ya wenzako. kulileta lile jukwaani hapa sio kwamba tunawa admire au tuna dhamira yoyote ile kwenu. hamna kitu. ni kuangalia tu mpira na kuona kitu kizuri kinachotokea kwa mwenzio. in any case wewe kutukuta mpaka msimu ujao tutakapoanza tena wote tukiwa na points 0. kwa msimu huu sahau kabisa. hata man city humkuti sembuse sisi

Nilipoona Hiyo post ya RRONDO nilibaki nacheka tu! Anyway najua anatutania! Lkn km Alikua amedhamiria Basi atakua na shida! Michezo au mpira hauko hivyo! Lazima uangalie ata nje ya timu yako Na km kuna vitu vzr huko nje lazima useme! Hiyo Ndio Fair!
shida gani??!! mimi mpira sichukulii serious kihiivyo....nipate stress na kutokwa povu kisa mtu kasema timu yangu mbovu au kocha wangu mbovu,never!! hata awe amesema uongo nitaenda nae hivyo hivyo......hapa naburudika tu ndio maana huwa nasema chochote....mimi sio mtaalam wa soka ni mtazamaji tu sijui chochote,ninachokiona kinaweza kuwa sahihi au potofu kulingana na maono yangu kwahio nikitoa maoni msitokwe povu jifunzeni kuvumilia watu kama sisi tena huyo Nonda anawavuruga na kuwachora tu msifikiri ni mjinga kama mnavyodhani.....nakusubiri kwa hamu kuna post humu nimeisoma kimya kimya umesema hamna point mtakayopoteza hadi jan 5 sijui!!!!
Hakuna anaetokwa na povu kwa lipi hasa? Mimi binafsi nilijua unatania tu na nimesema hivyo! Lkn inaonekana kumbe Ulikua hautanii kutokana na post Yako Hii!
Nonda anatuletea changamoto tu na hakuna anaemzuia Lkn haiitaji kutafuta maelezo mengi kumpiga kwasababu vihoja anavyosimamia ni dhaifu sn!
Nimeangalia ratiba mpk Hiyo January hakuna timu tishio mpk tudondoshe point!

Mtu anapoongea suala la "fact" kuhusu timu unayosupport ukaona anapotosha inafaa umjibu kwa fact, tatizo ni kwamba ukimjibu kwa fact anaona kama umechukia na kuanza kujifanya ilikuwa Joke tu..
Mganga wako amekutibu "Domo-Mourinho"? Inaonekana hivyo. Nimefarajika kusikia unapata changamoto.Hakuna anaetokwa na povu kwa lipi hasa? Mimi binafsi nilijua unatania tu na nimesema hivyo! Lkn inaonekana kumbe Ulikua hautanii kutokana na post Yako Hii!
Nonda anatuletea changamoto tu na hakuna anaemzuia Lkn haiitaji kutafuta maelezo mengi kumpiga kwasababu vihoja anavyosimamia ni dhaifu sn!
Nimeangalia ratiba mpk Hiyo January hakuna timu tishio mpk tudondoshe point!
Mganga wako amekutibu "Domo-Mourinho"? Inaonekana hivyo. Nimefarajika kusikia unapata changamoto.
Point?..sio point, mapointi, points mtadondosha nyingi tu na ubingwa mtausikia tu kupitia BBC tv, redio au Sky sports.
This is the kind of sportmanship language. Ntuzu mganga wako kweli anajua kuziganga Ntuzu zilizozeeka.Hahaaaaa Nonda bhana! Naona umegeuka kua mtabiri? I have marked your words today! I will come to remind you on January!
Ni kweli mkuu!
Mtu anapoongea suala la "fact" kuhusu timu unayosupport ukaona anapotosha inafaa umjibu kwa fact, tatizo ni kwamba ukimjibu kwa fact anaona kama umechukia na kuanza kujifanya ilikuwa Joke tu..