refa hayupo fair kabisa, mi naona hawa marefa wana ajenda ya siri na chelsea
Ntuzu Manumbu agosti 8 hii game jana nimeiangalia yote....kwa ule mziki wa stoke city timu ambayo inaweza kutoka mechi ya jana ni Chelsea tu....game ilikuwa tough and too physical lakini chelsea hilo haliwasumbui plus technical ability za akina fabregas,hazard,willian kweli mwaka huu kuwasimamisha chelsea ni kazi sana....mtu mmoja tu jana alikuwa anawakwamisha wenzie ni Mikel,naona Mourinho alimpanga ili kuimarisha ulinzi na physical presence kwenye kikosi chake..
ila hongereni mechi ya jana timu legelege haitoki pale...nafikiri tutaenda pale muda si mrefu ni shida!!!!

Sasa hivi Real Madrid tutawasikia wakimtaka Matic!
Ni kweli mkuu Ntuzu. Maurinho alijua asset pekee ya Stoke City ni maguvu physical game. So Akaamua aweke more physical team na yeye aoneshe kuwa anaweza kucheza physical mechi ikiruhusu. In fact kwa tunaomfatilia kwa karibu maurinho anabadili uchezaji kutokana na timu anayocheza nayo.