Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea Vs Derby country (Capital One - quarter finals)

Time 22:45 EAT

Derby starting XI: Grant, Christie, Buxton, Keogh, Forsyth, Hughes, Mascarell, Bryson, Russell, Martin, Dawkins

Chelsea starting XI: Cech, Azpilicueta, Zouma, Terry, Filipe Luis, Mikel, Matic, Schurrle, Fabregas, Hazard, Drogba-
 
Dakika ya 42, Zouma aumia baada ya kugongana na goalkeeper Peter Cech ambaye alikuwa akiokoa mpira wa kona,
 
Dogo anaonekana kaumia sana. Tumwombee isiwe mbaya. But kwa kuwatazama wachezaji wetu haionekani kama ilikuwa nzuri
 
Tumeshinda Ushindi mzuri Lkn tumuombee Zouma baada ya kupata majeruhi! Na pia Drogba na yeye ameumia ingawa yaonekana sio sn Ngoja kesho tutapata taarifa Zaidi!
 
Jitahidini ndio kakombe mnakoweza kushinda maana kule kwenye kabati hakuna kitu kuna majina ya majambazi tu yaliyopora pesa kutoka Urusi Khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Babu Wenger hajawahi wala hatawahi kushinda Champions League, Professional Loser
 
atakuwa amezoea kubishana kwenye vijiwe vya kahawa huyu si bure
Leo pia .mmebebwa. waamuzi wanapeta wanamieleka wanapofanya rugby zao lakini upinzani unapata Red card. Baada ya kukomboa bao moja, wakati Derby wamepata mori na Chelsea kuanza panic , mwamuzi na msaidizi wake wakaamua kupunguza upinzani kwa Red Card.

Hii imekuwa kawaida sasa..Chelsea wanacheza na mtu 10 wao wakiwa 14.
 
Tumeshinda Ushindi mzuri Lkn tumuombee Zouma baada ya kupata majeruhi! Na pia Drogba na yeye ameumia ingawa yaonekana sio sn Ngoja kesho tutapata taarifa Zaidi!
Sio mmeshinda...mmepewa ushindi. Basi hata mnapocheza na Derby?
 
Kungekuwa na ushindi wa kupewa kusingekuwa na haja ya kwenda uwanjani
Wanamieleka na wanarugby wa Chelsea wanaenda uwanjani kutimiza formalities tu.
Angalia red card zinazopewa timu pinzani, maana yake nini?

..Jake Buxton was harshly sent off ....

Referee Jon Moss ruled that Buxton had committed a professional foul by dragging back Loic Remy, although there was no clear appeal from the striker - to the extent that it looked at first as if keeper Lee Grant had been penalised for handling the ball as he slid outside of his penalty area. BBC Sport - Derby County 1-3 Chelsea

Uliangalia hiyo mechi au umeamua kuandika tu?
 
kalou Huyo Nonda Nonda imemuathiri sn ndio maana wamuona anabwabwaja hovyo tu! Hawezi kukuelewa ata ufanyeje! Wewe uliamua kuandika vile km mtu Mwenye kuelewa Hiyo hoja ingeishia hapo! Na wala asingeleta Huo mjadala tena! Lkn kutokana na Nonda imemla uti Wa mgongo Basi anapoteza ufahamu! Ndio maana haelewi!
Umekuwa na "Domo-Mourinho".
 
Wanamieleka na wanarugby wa Chelsea wanaenda uwanjani kutimiza formalities tu.
Angalia red card zinazopewa timu pinzani, maana yake nini?

..Jake Buxton was harshly sent off ....

Referee Jon Moss ruled that Buxton had committed a professional foul by dragging back Loic Remy, although there was no clear appeal from the striker - to the extent that it looked at first as if keeper Lee Grant had been penalised for handling the ball as he slid outside of his penalty area. BBC Sport - Derby County 1-3 Chelsea

Uliangalia hiyo mechi au umeamua kuandika tu?

You are lying...!
 
Mkuu Manumbu nimfatilia Michael Carrick Wa Man Utd ktk mchezo wao na liver jamaa Yuko vzr! Amepora mipira mingi sn kutoka kwa Wachezaji Wa LFC! Yani ktk nafasi yake ya ukabaji Amefanya vzr! Kurudi kwa Huyu Carrick kumeifanya safu ya ulinzi ya Manu kua imara kidogo!

khe khe khe khe khekhe.....huwezi kulala bila kututaja na bado #TutaheshimianaTuMwakahuu
 
Chelsea 3 - 1 Derby County..

tumengia nusu fainali ya Capitol One Cup..

litakuwa taji la kwanza kabisa msimu huu; ..ha ha aaah

Eden Hazard, Filipe Luis, Andre Schurrle...

go Chelsea FC; ..
 
Mkuu Manumbu; ungeelewa kwanza mwanzo wa mjadala; kabla ya kutoa hukumu tu.

respect!!!

argument ni kwamba PSG wako vizuri kuliko msimu uliopita tulipowatoa kwenye robo ya UCL.
Nimewaambia kwamba..msimu huu tuko vizuri pia kuliko msimu uliopita the Maestro Fabregas, Diego Costa, Filipe Luis etc...

iwe iwavyo tuko robo fainali ya UCL tayari...

CHELSEA FC - FOREVER BLUE

aisee huwezi kusema David Luiz ni mchezaji mbovu. hapo unakuwa sio mkweli kwenye nafasi yako. mchezaji mmbovu hawezi kupata first eleven ya Brazil. Mchezaji mmbovu huwezi kumuuza kwa pound 50M! na mchezaji mmbovu hawezi kuchezea Chelsea!!! Lakini lisemwalo ambalo lipo kwa wachezaji wote anyway ni kuwa Luiz ana udhaifu wake. na uzuri ni kuwa huo udhaifu wake tunaujua na tutautumia vizuri sana. kama alivyotucost mwaka jana kwa kuwapa hawa PSG goli 2 ambazo zilitupa kazi kubwa kuzigeuza, ndivyo atakavyoicost PSG this time around. only kwamba PSG hawatakuwa na uwezo wetu wa kuzigeuza hizo goli 2 (kama zitaishia kuwa 2 huenda zikazidi!!!)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom