Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mmepata mteremko CL kama nilivyochema shenzi taipu .... ... .. .... .. khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

tulimazia wa kwanza kwenye group, ilikuwa ni lazima tupangwe na mshindi wa pili ...
sometimes unanipa mashaka kama huwa unaelewa hivi vitu au unaandaika tu,
Babu Wenger hatokuja kushinda Champions League ,Professional loser
 
Ukiangalia game ambayo tulicheza kwao msimu uliopita utagundua ni Luiz huyuhuyu aliyesababisha sisi kufungwa magoli mawili ya kwanza.

Goli la kwanza kutokana na poor man marking

Goli la pili alijifunga mwenyewe...

Ni kweli Mentor Luis Huyu ndio aliefanya kufuzu kwetu kukawa kwa shida!
 
Last edited by a moderator:
baada ya kuandika maelezo yote hayo umeamua ku highlight hapo tu, sometimes have an open mind ili uelewe zaidi



kalou Huyo Nonda Nonda imemuathiri sn ndio maana wamuona anabwabwaja hovyo tu! Hawezi kukuelewa ata ufanyeje! Wewe uliamua kuandika vile km mtu Mwenye kuelewa Hiyo hoja ingeishia hapo! Na wala asingeleta Huo mjadala tena! Lkn kutokana na Nonda imemla uti Wa mgongo Basi anapoteza ufahamu! Ndio maana haelewi!
 
Last edited by a moderator:
Binafsi nadhani ile mechi ndio iliyo mark maamuzi ya kumuuza huyu jamaa. Maana alionekana haaminiki na anaweza kuigharimu sana timu. Ukichukulia pia kuwa hata zile mechi na timu ndogo ndogo akina crystal palace, Sunderland nk hakuwa anacheza kwa kujituma itakiwavyo.
 
Luiz anamakosa mengi sn uwanjani madogo madogo ingawa wakati mwingine anaweza akafanya makosa na wakati Huo Huo akapanda mbele na kufunga na kufuta makosa! Nafasi nzuri kwa Luiz ni kiungo mkabaji ndio maana Mourinho Alikua akimpanga hivyo hasa kutokana na aina Yake ya uchezaji na udhaifu alio nao wakati mwingine!
 
kwa mawazo tu hamjambo..



Km Luiz atakania Hiyo mechi anaweza kuighalimu timu yake kwa namna ingine pia. Ikiwemo kupewa kadi nyekundu au kujifunga, au kusababisha Penalty! Tunamfahamu Luiz vzr na Tunaifahamu nguvu ya ushambuliaji ya timu yetu kwa sasa kwamba ikoje! Hawa PSG ingawa ni wazuri Lkn kz wataipata!
 
kalou Huyo Nonda Nonda imemuathiri sn ndio maana wamuona anabwabwaja hovyo tu! Hawezi kukuelewa ata ufanyeje! Wewe uliamua kuandika vile km mtu Mwenye kuelewa Hiyo hoja ingeishia hapo! Na wala asingeleta Huo mjadala tena! Lkn kutokana na Nonda imemla uti Wa mgongo Basi anapoteza ufahamu! Ndio maana haelewi!

atakuwa amezoea kubishana kwenye vijiwe vya kahawa huyu si bure
 
Ukiangalia game ambayo tulicheza kwao msimu uliopita utagundua ni Luiz huyuhuyu aliyesababisha sisi kufungwa magoli mawili ya kwanza.

Goli la kwanza kutokana na poor man marking

Goli la pili alijifunga mwenyewe...

Ni kweli kabisa, unajua mkuu huyu Luiz kwa kujiamini na uhamasishaji yupo vizuri sana.

Ila ana makosa madogo madogo ambayo Mourinho alikuwa hayataki, kwanza akiwa na mpira anaupoteza kirahisi sana ( kitu ambacho beki au kiungo mkabaji hatakiwi kuwa hivyo)

Halafu kingine ana mawenge sana, anaweza kufanya kitu ukashangaa
 
Mentor katika ubora wake;

Luiz kitu gani?



Ukiangalia game ambayo tulicheza kwao msimu uliopita utagundua ni Luiz huyuhuyu aliyesababisha sisi kufungwa magoli mawili ya kwanza.

Goli la kwanza kutokana na poor man marking

Goli la pili alijifunga mwenyewe...
 
Watu wepesi sana wa kusahau; Brazil ilifungwa 7-1 beki alikuwa huyuhuyu Luiz





Ni kweli kabisa, unajua mkuu huyu Luiz kwa kujiamini na uhamasishaji yupo vizuri sana.

Ila ana makosa madogo madogo ambayo Mourinho alikuwa hayataki, kwanza akiwa na mpira anaupoteza kirahisi sana ( kitu ambacho beki au kiungo mkabaji hatakiwi kuwa hivyo)

Halafu kingine ana mawenge sana, anaweza kufanya kitu ukashangaa
 
kalou usipoteze muda kuhangaika na huyu Wacha1. achana nae apige kelele zake. ukibishana na punguani watu watashindwa kujua nani punguani kati yenu. mwache tu afanye upunguani wake. usibishane nae wala kumjibu chochote kwenye hizo pumba zake



tulimazia wa kwanza kwenye group, ilikuwa ni lazima tupangwe na mshindi wa pili ...
sometimes unanipa mashaka kama huwa unaelewa hivi vitu au unaandaika tu,
Babu Wenger hatokuja kushinda Champions League ,Professional loser
 
Last edited by a moderator:
Tuna mechi leo usiku ya robo fainali ya Capitol One Cup vs Derby County. Mechi muhimu sana kushinda; hawa vijana wa Derby ni wasumbufu sana hawa;..tuliwatoa kwenye FA msimu uliopita..lakini mechi itakuwa ngumu na nzuri kutazama..


huenda Salah ataanza leo pia.
 
MATCH PREVIEW

Derby manager Steve McClaren is under no illusions about the size of the task facing the Rams in their League Cup quarter-final with Chelsea.

Despite it being over 40 years since they met in the League Cup, a 2-0 FA Cup reverse on home soil in January is fresh in the memory for McClaren - who believes the Blues are a "complete team".

"Chelsea are better than last season and they weren't too bad then, were they? Jose knew there was something missing, he's got it sorted in the summer," said McClaren.

"Football is all about recruitment and he's done that very well. They've progressed. They are the complete team who can adapt to anything against any opponents. It's going to be a great night under lights in front of a full house."

While the history books paint a depressing picture for Derby - eight games without a win against Chelsea - the League Cup quarter-finals have been something of a recent stumbling block for the Blues. Three of their last four quarter-finals have ended in defeat, including last season's 2-1 reverse at Sunderland.

But defeat is a foreign concept for Jose Mourinho's side this season - their only loss coming against Newcastle on 6 December. The Portuguese has said Chelsea's European-based players will enjoy a two-day break after Tuesday's clash to have "a nice dinner with their families".

The Premier League leaders versus the Championship high-fliers - a tasty prospect.

MATCH FACTS
Head-to-head
•Chelsea won the last meeting between these sides 2-0 at Derby in last season's FA Cup third round.
•The Blues are unbeaten in their last eight matches with Derby (W7, D1), with an aggregate score of 25-4.
•Derby's last victory was a 3-1 home win in October 1999.
•It is over 42 years since these sides met in the League Cup, Chelsea winning a third-round replay 3-2 in October 1972.
Derby
•Derby have won four of their last six matches.
•They have twice reached the semi-finals of the League Cup, in 1968 and 2009.
•The Rams are the leading goalscorers in this year's League Cup (10 - along with Bournemouth and MK Dons)
•Chris Martin has scored five goals in his last six League Cup games.
•Johnny Russell has been involved in four goals (two goals, two assists) in Derby's four League Cup games this season.
Chelsea
•Chelsea have won the League Cup on four occasions, most recently in 2007.
•They were eliminated at this stage last season, losing 2-1 to eventual finalists Sunderland.
•The Blues have only lost one of their 26 matches this season (W19, D6, L1).
•Chelsea are unbeaten in their last 16 League Cup ties against lower-division opposition (W14, D2), a run that stretches back to a 1-0 home defeat to Huddersfield in 1999.
•Didier Drogba has scored seven goals in his last eight League Cup games.

BBC Sport - Derby County v Chelsea
 
Tuna mechi leo usiku ya robo fainali ya Capitol One Cup vs Derby County. Mechi muhimu sana kushinda; hawa vijana wa Derby ni wasumbufu sana hawa;..tuliwatoa kwenye FA msimu uliopita..lakini mechi itakuwa ngumu na nzuri kutazama..


huenda Salah ataanza leo pia.

nadhani pia Remy, Salah na Ramires wataanza
 
aisee huwezi kusema David Luiz ni mchezaji mbovu. hapo unakuwa sio mkweli kwenye nafasi yako. mchezaji mmbovu hawezi kupata first eleven ya Brazil. Mchezaji mmbovu huwezi kumuuza kwa pound 50M! na mchezaji mmbovu hawezi kuchezea Chelsea!!! Lakini lisemwalo ambalo lipo kwa wachezaji wote anyway ni kuwa Luiz ana udhaifu wake. na uzuri ni kuwa huo udhaifu wake tunaujua na tutautumia vizuri sana. kama alivyotucost mwaka jana kwa kuwapa hawa PSG goli 2 ambazo zilitupa kazi kubwa kuzigeuza, ndivyo atakavyoicost PSG this time around. only kwamba PSG hawatakuwa na uwezo wetu wa kuzigeuza hizo goli 2 (kama zitaishia kuwa 2 huenda zikazidi!!!)
 
Mkuu Manumbu nimfatilia Michael Carrick Wa Man Utd ktk mchezo wao na liver jamaa Yuko vzr! Amepora mipira mingi sn kutoka kwa Wachezaji Wa LFC! Yani ktk nafasi yake ya ukabaji Amefanya vzr! Kurudi kwa Huyu Carrick kumeifanya safu ya ulinzi ya Manu kua imara kidogo!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ntuzu Carrick ndiye anayeibeba Man U sasa hivi. Aiumia tena huyu jamaa, Man U wataanza tena kuyumba.

Kuna article nimeiona somewhere inamwongelea ngoja niitafute niimwage hapa chini.....just a moment. ok here it is

BBC Sport - Man Utd: 'Michael Carrick the catalyst for their return to form'


Man Utd: 'Michael Carrick the catalyst for their return to form'

Match of the Day 2 pundit and former Liverpool midfielder Didi Hamann expands on his TV analysis by explaining the part played by Michael Carrick in Manchester United's victory over Liverpool on Sunday, and the difference his return from injury has made to their turnaround in form.

David De Gea's saves will grab the headlines but Michael Carrick played a big part in Manchester United's 3-0 victory over Liverpool and it does not surprise me that they have now won all six games since he returned to their starting line-up after injury.

Carrick is probably used to playing well and seeing other players get the plaudits, but you can tell how much his team-mates value him.

United striker Robin van Persie said after Sunday's game that Carrick made the difference at the back because he was so confident on the ball and helped to calm the whole defence. That sums it up.

Manchester United midfielder Michael Carrick Carrick missed the start of the season with an ankle injury and only returned in November

Carrick sets the tempo on a regular basis for United, only he is usually operating in central midfield rather than at centre-back, as he was against Liverpool.

He has the attributes to play in both positions, though, and the only problem he gives United boss Louis van Gaal is that there is only one of him - at the moment Van Gaal would probably love to play him at the back and in midfield too.

A key role in United's new-look team

Carrick is very under-rated outside of Old Trafford but he clearly has a huge influence on United.

Sometimes, with players like him, you only realise how important they are when they don't play. I think his absence really showed that at the start of this season, especially with this United team being so uncertain at the back.

Now he is fit, he brings them the stability they were missing, partly through his passing ability which helps to set the team's tempo.

He helps keep the team ticking over by picking the right pass and spreading play like he did against Liverpool.

Carrick vs Liverpool

Man Utd midfielder Michael Carrick's touches vs Liverpool Carrick touched the ball 59 times, and made 52 passes with a completion rate of 90.4%

Carrick understands that, whether you are playing centre-back or central midfield, you have to react to what is happening on the pitch.

He is not a player who plays to the crowd by trying the spectacular, instead he plays for the team - which is why his team-mates appreciate him so much.

The way he plays, you know he is always available and ready for the ball. And, if you give it to him then, nine times out of 10, he will retain possession.

Carrick's main strengths are on the ball, but he can tackle too and he made a few vital challenges against Liverpool.

Yes, it probably suited him in the first half on Sunday that Liverpool boss Brendan Rodgers picked a side without a recognised centre-forward.

That still meant he had to deal with Reds forward Raheem Sterling, who is lightning quick. Carrick is not the fastest but he never looked out of position as the middle centre-back in a three-man back-line, which tells you about his awareness and positional sense.

Average position of touches by United's players vs Liverpool

Man Utd average formation vs Liverpool

He is the sort of player that you can rely on, and one that you always know what you are getting from.

I remember coming up against him when he came through at West Ham and then moved to Tottenham, and I have always rated him.

Many years ago, I thought England were making a mistake not building a team around him and he has gone on to become the best defensive midfielder that they have had in the last 15 years.

Yes, he has gone to major tournaments with England but he has only won 31 caps.

At 32 he is now nearing the end of his career, but I am surprised he was never given more of a chance on the international stage.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom