Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea Fc haikuwa na Diego Costa na Maestro Febregas..
tulia Jose; hawa PSG ni wetu..

sisi ndo CHELSEA FC..

Luiz anaweza kuwa sababu yenu kuaga mashindano;
1.ana point to prove kwa Mourinho
2.akiamua kumkaba mtu kihuni anaweza kumuuzi striker yeyote, muulize Rooney au Cavani, hapo nadhani unajua nani akiguswa kidogo anawehuka kama mbogo

Last time mlibahatika kuendelea kwa away goal, na mlicheza match zote mbili bila kukabiliana na PSG's talisman 'Ibracadabra'
Team zote zikiwa full mziki itakua match nzuri sana lakini usiichukulie poa PSG hata siku moja plus 'Demba Ba won't be around this time'
 
'Long time no see' agosti 8
Muombe siku hiyo Matic na Fabregas wawepo uwanjani.........Diego Costaaaa...nah, labla Drogba
 
Last edited by a moderator:
Luiz anaweza kuwa sababu yenu kuaga mashindano;
1.ana point to prove kwa Mourinho
2.akiamua kumkaba mtu kihuni anaweza kumuuzi striker yeyote, muulize Rooney au Cavani, hapo nadhani unajua nani akiguswa kidogo anawehuka kama mbogo

Last time mlibahatika kuendelea kwa away goal, na mlicheza match zote mbili bila kukabiliana na PSG's talisman 'Ibracadabra'
Team zote zikiwa full mziki itakua match nzuri sana lakini usiichukulie poa PSG hata siku moja plus 'Demba Ba won't be around this time'

Tulifanya kosa kubwa msimu uliopita kwa kuruhusu kufungwa goli nyingi na PSG kwao hicho kitu safari Hii hakiwezi kutokea ata iweje! Maana Yale magoli yalipekea mchezo Wa marudiano kua mgumu!

Luis Namfahamu vzr sn Lkn anapaswa awe makini pia vinginevyo anaweza kupata kadi nyekundu!

Ni kweli timu zote zikiwa na Wachezaji wote mchezo Utakua mzuri sn!
 
PSG itakuwa timu ngumu sana kwetu kucheza nayo. ni wazuri sana na pia wana malengo makubwa ya kuwa timu kubwa ulaya. sio timu nyepesi kama say Schaelke au Shakhtar. Lakini kikubwa na kizuri kucheza na timu nzuri ni kuwa ukishinda unakuwa umekuwa a better timu. ingawa PSG ni wazuri lkn nna imani na chama letu kuvuka hatua hii. Namhurumia Luis. atakuwa ndiye njia yetu ya kupata mabao ya ghafla na haraka haraka na kujikuta akilaumiwa kwa kutoa magoli!!!! But over all sisi bado ni wazuri kuliko PSG. hatumhitaji Ba ili kuwatoa tena hawa jamaa, ingawa physique ya Ibramovic itakuwa changamoto kwa mabeki wetu wa kati
 
Luiz anaweza kuwa sababu yenu kuaga mashindano;
1.ana point to prove kwa Mourinho
2.akiamua kumkaba mtu kihuni anaweza kumuuzi striker yeyote, muulize Rooney au Cavani, hapo nadhani unajua nani akiguswa kidogo anawehuka kama mbogo

Last time mlibahatika kuendelea kwa away goal, na mlicheza match zote mbili bila kukabiliana na PSG's talisman 'Ibracadabra'
Team zote zikiwa full mziki itakua match nzuri sana lakini usiichukulie poa PSG hata siku moja plus 'Demba Ba won't be around this time'

tatizo la David Luiz ni kuwa huwa ana mechi zake. mechi kubwa anazikamiaga sana. najua mechi yetu ataikamia sana na kama ulivyosema to prove the point. hili linaweza kumcost kama alivyosema Ntuzu. kwa mikakati na movements za Hazard na Willian Luiz asipoangalia atatoa penati na kuiua timu yake.

Lkn wanazi wenzangu ni vizuri kuanza kuifuatilia PSG na uchezaji wake kwa karibu. najua mashushushu wa Maurinho wameshaanza kukusanya videos za michezo yake na uchezaji in detail wa kila mchezaji na udhaifu wao.
 
Last edited by a moderator:
The biggest obstacle for the Blues could end up being a busy schedule. Manchester United are surging up the Premier League table and look poised to challenge Chelsea, along with Manchester City, all season. Plus there will be FA Cup and Capital One Cup matches to deal with as well. If Mourinho can keep his side rested and healthy, they should be in great shape to make a run at the club's second Champions League title.

Chelsea vs. Paris Saint-Germain, Champions League draw: England and France, meeting once more - SBNation.com
 
Manumbu hivi watu wanataka Mourinho apumzishe vipi Kikosi chake? Aachie makombe mengine km FA au Capital One? Unajua mi sielewi vile?!!! Maana Ukiangalia ratiba ya michezo yote ya ktk makombe yote kuna nafasi ya Siku 3 hivi kitu ambacho kinatosha kabisa kupumzika kwa Mchezaji na kupanga mikakati!
 
Last edited by a moderator:
Alafu Hii December hakuna michezo ya FA Cup. Itakuwepo January. Na kuanzia sasa mpk january hakuna michezo ya Champions League! Itakuwepo mwezi Wa pili na Wa Tatu wakati Huo tayari Capital One cup itakua imekwisha! Sasa sijui hawa wanataka vipi?
 
nadhani mambo mengine watu wanaandika tu. si unajua mitandao nayo mtu anajiona anataka kuonekana kaandika kitu fulani! but on the real matter, tayari maurinho ana plan ya kupumzisha kikosi chake in place. nimesoma juzi hapa kuwa baada ya mechi ya kesho amewapa European based wachezaji wake siku 2 za mapumziko. warudi makwao na wakakae na familia zao. wataonana Cobham Ijumaa tayari kwa kujiandaa na mechi ya J3 ijayo. hii ni kwa vile baada ya hapo hakutakuwa na christmas za kukaa na familia hususan kwa wale wanaohitaji kusafiri. ambao hawatapata nafasi hii ni akina Oscar na Mikel ambao ingebidi wavuke Atlantic na Mediterranean kwenda makwao, nadhani hawa wote watapumzika huko huko Uingereza. akina Schurrle, Courtous etc wataenda zao Ujerumani, Ubelgiji nk.

hii yote ni mikakati ya kupumzika na kuwekana sawa.

Sijaangalia bado ratiba ya prekimier league na FA zimekaaje wakati wa hizo Champions League February. Inawezekana tukahitajika kucheza na Man U kabla ya kucheza na PSG, but kama nilivyosema sijaangalia bado
 
UEFA Youth League draw

THE FULL ROUND OF 16 DRAW IS:

Benfica v Liverpool
Ajax v Roma
Atletico Madrid v Arsenal
Real Madrid v Porto
Shakthar Donestk v Olympiacos
Anderlecht v Barcelona
Manchester City v Schalke
Chelsea v Zenit St. Petersburg

-

QUARTER-FINALS

Ajax or Roma v Manchester City or Schalke
Chelsea or Zenit St. Petersburg v Atletico Madrid or Arsenal
Benfica or Liverpool v Shakthar Donestk or Olympiacos
Anderlecht or Barcelona v Real Madrid or Porto

-

SEMI-FINALS

Ajax or Roma or Manchester City or Schalke v Chelsea or Zenit St. Petersburg or Atletico Madrid or Arsenal

Anderlecht or Barcelona or Real Madrid or Porto v Benfica or Liverpool or Shakthar Donestk or Olympiacos

The semi-finals and final are to be played over four days in April in Nyon, Switzerland.
 
nadhani mambo mengine watu wanaandika tu. si unajua mitandao nayo mtu anajiona anataka kuonekana kaandika kitu fulani! but on the real matter, tayari maurinho ana plan ya kupumzisha kikosi chake in place. nimesoma juzi hapa kuwa baada ya mechi ya kesho amewapa European based wachezaji wake siku 2 za mapumziko. warudi makwao na wakakae na familia zao. wataonana Cobham Ijumaa tayari kwa kujiandaa na mechi ya J3 ijayo. hii ni kwa vile baada ya hapo hakutakuwa na christmas za kukaa na familia hususan kwa wale wanaohitaji kusafiri. ambao hawatapata nafasi hii ni akina Oscar na Mikel ambao ingebidi wavuke Atlantic na Mediterranean kwenda makwao, nadhani hawa wote watapumzika huko huko Uingereza. akina Schurrle, Courtous etc wataenda zao Ujerumani, Ubelgiji nk.

hii yote ni mikakati ya kupumzika na kuwekana sawa.

Sijaangalia bado ratiba ya prekimier league na FA zimekaaje wakati wa hizo Champions League February. Inawezekana tukahitajika kucheza na Man U kabla ya kucheza na PSG, but kama nilivyosema sijaangalia bado

Ratiba ya EPL kwa mwezi Huo Wa pili hatutakutana na timu yoyote kubwa ya England baada ya mchezo wetu na Man Citu January 31 tutakutana na Aston Villa na Everton ndio tuvaane na PSG! Man Utd, Arsenal na Liverpool tutakutana nao kuanzia mwezi Wa Tatu mwishoni huko mpk Wa nne!

Kitu muhimu kwa timu yetu ni kutengeneza pesa tu! Wacha tushiriki mashindano yote Club ipate pesa!
 
So , do you agree that was a red card for Cahill?

And for that matter, aliamua kuwabeba?

that was a clear second yellow card ambayo ingesababisha Red card kwa Cahil, ila kama nilivyosema hapo juu, Chriss hawezi kuamua kuwabeba Chelsea , huyu refa amaetoa red cards nyingi against Chelsea ambazo zilikuwa controversial, sasa "nafikiri" alivyoona ile Dive roho yake ikasita kutoa Red card,na mpira ukaendelea, not necesary kila kila wakati Refa akifanya maamuzi mabaya anakuwa amedhamiria kuwaonea na kuwapendelea timu fulani.
Hatuwezi kukaa hapa kudiscuss mara ngapi Chelsea wamepata maamuzi yaliyowasaidia na mara ngapi wamepata maamuzi yaliyowagandamiza,sababu hata wewe najua umeshaona mechi nyingi tu kubwa za Chelsea ambazo ulihisi Refa alikuwa anapendelea timu pinzani(wengine mpaka waling'ata watu uwanjani na refa akapeta)
Thats Football , Unalaumu ila maamuzi dakika 90 ,You get over it and you move on.
 
Ni mwendo wa kuwanyoa, hao psg lazima wakae。。。
 
Attachments

  • 1418663387217.jpg
    1418663387217.jpg
    18.4 KB · Views: 65
Tulifanya kosa kubwa msimu uliopita kwa kuruhusu kufungwa goli nyingi na PSG kwao hicho kitu safari Hii hakiwezi kutokea ata iweje! Maana Yale magoli yalipekea mchezo Wa marudiano kua mgumu!

Luis Namfahamu vzr sn Lkn anapaswa awe makini pia vinginevyo anaweza kupata kadi nyekundu!

Ni kweli timu zote zikiwa na Wachezaji wote mchezo Utakua mzuri sn!

Luiz kupata kadi nyekundu lazima maana atakerwa tu Costa.
ila hii mechi na psg ngumu sana afadhali tungekutana na bayern hata
 
Ni kweli Hii ni mechi ngumu sn!

Hawa jamaa pale ktk beki za Kati wana David Luiz na Thiago Silva! Hawa ni raia Wa Brasil wote! Ni mabeki wazuri sn na wenye uzoefu mkubwa sn! Wamekua wakicheza pacha vzr sn ata ktk timu Yao ya taifa! Na Hii ilifanya mpk Dante Wa Munich kuanzia bench ktk timu yake ya taifa kutokana na hawa pacha kufanya vzr!

Uimara wao pia unajengwa na kiungo mkabaji Mwenye uzoefu mkubwa na mrefu kiumbile Huyu ni Thiago Motta. Huyu jamaa nae Yuko vzr ktk Hiyo nafasi Yake Na amepitia timu kubwa mbali mbali mpk hapo alipo!

Watu km Oscar,Fabregas na Matic ktk Huo mchezo wanatakiwa kufanya wawezavyo kuhakikisha viungo Wa Kati Wa PSG na hizo beki zao zinapata shida!
 
Mmepata mteremko CL kama nilivyochema shenzi taipu .... ... .. .... .. khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
that was a clear second yellow card ambayo ingesababisha Red card kwa Cahil, ila kama nilivyosema hapo juu, Chriss hawezi kuamua kuwabeba Chelsea , huyu refa amaetoa red cards nyingi against Chelsea ambazo zilikuwa controversial, sasa "nafikiri" alivyoona ile Dive roho yake ikasita kutoa Red card,na mpira ukaendelea, not necesary kila kila wakati Refa akifanya maamuzi mabaya anakuwa amedhamiria kuwaonea na kuwapendelea timu fulani.
Hatuwezi kukaa hapa kudiscuss mara ngapi Chelsea wamepata maamuzi yaliyowasaidia na mara ngapi wamepata maamuzi yaliyowagandamiza,sababu hata wewe najua umeshaona mechi nyingi tu kubwa za Chelsea ambazo ulihisi Refa alikuwa anapendelea timu pinzani(wengine mpaka waling'ata watu uwanjani na refa akapeta)
Thats Football , Unalaumu ila maamuzi dakika 90 ,You get over it and you move on.
Kalou

Uzuri wa hayo maandishi hapo ni kuwa umekiri refa aliwabeba katika hii mechi. Now we can move on.
Mourinho alipoulizwa habari za ku-dive za vijana wake, alisema kuwa wanamieleka na wanarugby wa Chelsea hawa-dive.
Niliipenda ile sarakasi(rugby move/dive) ya Willian. Na lipopewa "yellow" akawa anapepesa macho tu.
 
Nitafurahi kumuona Luis akicheza dhidi yetu!

Msimu uliopota PSG tuliwatoa na msimu huu tuna kila sababu za kuwatoa tena!

Ukiangalia game ambayo tulicheza kwao msimu uliopita utagundua ni Luiz huyuhuyu aliyesababisha sisi kufungwa magoli mawili ya kwanza.

Goli la kwanza kutokana na poor man marking

Goli la pili alijifunga mwenyewe...
 
Kalou

Uzuri wa hayo maandishi hapo ni kuwa umekiri refa aliwabeba katika hii mechi. Now we can move on.
Mourinho alipoulizwa habari za ku-dive za vijana wake, alisema kuwa wanamieleka na wanarugby wa Chelsea hawa-dive.
Niliipenda ile sarakasi(rugby move/dive) ya Willian. Na lipopewa "yellow" akawa anapepesa macho tu.

baada ya kuandika maelezo yote hayo umeamua ku highlight hapo tu, sometimes have an open mind ili uelewe zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom