Umeliona hilo MTM mwaka huu tofauti na mwaka jana vigogo wenzetu walituonea ila mwaka huu tumelipa.
Chelsick acheni kununua marefa - bado mnaendeleza libeneke tu.
Mbona muko na tumbojoto? Acheni kuhesabu masaa, sisi mbona tuko kimya? Tunawaachia vijana wetu ili miguu yao ndio iongee, Good news kwenu ni Lampard na Drog wamepona ghafla (tulijuwa ni fiksi tu na wala sio majeruhi) Nyeti tuliyopata ni kwamba Chelsea watajitahidi kumkaba Fabregas (man-marking) ili kupunguza supply kwa forwards zetu, habari toka kambi ya Emirates ni kwamba kama kawa tutacheza 4-3-3 lakini midfields na wide players watakuwa wana-switch position all the time! tuone kama wazee wenu watahimili movenments za vijana wetu na ku-switch position kwa dakika 90! Mazee tafadhali musikose kurudi hapa baada ya mechi kesho!
Hahahahaha! Tumekamata mchumba!
Hahahaha mimi pombe itapanda baada ya game! Enjoy Mtanange
Hahahaha mimi pombe itapanda baada ya game! Enjoy Mtanange
Kwi kwi kwi kwi....anaona haya huyoooo kakaliwa vibaya...!Hii thread itakuwa majeruhi baada ya mechi
Chelsick acheni kununua marefa - bado mnaendeleza libeneke tu.
Tunapiga zingine 2 kipindi cha pili, Nadhani Mikel apumzike aingie Ballack amekuwa akipoteza sana mipira pale kati kati! Ashley Cole anawakomesha kweli Arsenal goli zote zimetokea kwake
Tunapiga zingine 2 kipindi cha pili, Nadhani Mikel apumzike aingie Ballack amekuwa akipoteza sana mipira pale kati kati! Ashley Cole anawakomesha kweli Arsenal goli zote zimetokea kwake
oya, mbona unatonesha watu vidonda?Kamata pombe mwana ukishangilia ushindi, mie nimezianza mechi ya Liverpool lakini usichelewe kazini kesho.
Sawa mumeshinda nami sina budi kuwapa hongera! anyway own goal, free-kick sio kwamba tulizidiwa kimpira,tulizidiwa zaidi kisaikolojia.
Mchungaji upo darajani nawe?
Darajani forever.. enzi za miaka mingi tangu kina Guulit, Vialli and before!
Kawaida yetu kushinda mtani, ndio maana tuko juu ya meza!Hii wiki hatutolala, Chelsea na Liverpool wameshinda mbona balaa mtaani hapa...watani hongereni sana.