Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

CHELSEA'S FESTIVE FIXTURES
Dec 3: Tottenham (H)
Dec 6: Newcastle (A)
Dec 13: Hull (H)
Dec 22: Stoke (A)
Dec 26: West Ham (H)
Dec 28: Southampton (A)
Jan 1: Tottenham (A)
* Premier League fixtures onl
 
Kuna watu walimbeza sn Drogba na wengine wakaanza kudai kua hawezi kufikisha magoli ma4 msimu Huu Lkn tunaona anapiga magoli tu na kufanya astst pia, nini maoni yenu kuhusiana na hili wakuu....Njoo tupige story kidogo..!

Maoni yangu ni kuwa Drogba wa wakati ule siyo Drogba wa siku hizi.

Hata kama Drogba wa leo angekuwa Drogba wa enzi hizo, asingeweza kucheza kama enzi zake kwa sababu siku huzi Chelsea inacheza tofauti na ilivyokuwa inacheza enzi zake.

He can still be a good sub, ila kama Costa hayupo, I would prefer Remy.
 
Asante sn mkuu EMT kwa maoni yako mazuri!

Maoni yangu ni kuwa Drogba wa wakati ule siyo Drogba wa siku hizi.

Hata kama Drogba wa leo angekuwa Drogba wa enzi hizo, asingeweza kucheza kama enzi zake kwa sababu siku huzi Chelsea inacheza tofauti na ilivyokuwa inacheza enzi zake.

He can still be a good sub, ila kama Costa hayupo, I would prefer Remy.
 
Last edited by a moderator:
MTN nakubaliana na wewe kuhusu Remy na Drogba. na nadhani ndio pia akili ya Maurinho. Drogba ameshapita muda wake. na kwa sasa yupo tu ili kusimamia (so to speak) transition ya hawa strikers wapya kwenye timu. Nitashangaa kama kesho ataanza Drogba badala ya Remy. Remy ni future, kama alivyo Courtois golini badala ya Cech.

Mkuu kwa kesho Mpk sasa sijui nani ataanza. Lkn kwa kua tuko nyumbani tunatakiwa kushambulia sn basi kuna uwezekano mkubwa Lemy akaanza na Drogba akawa Sub! Lkn pia Drogba ni Fundi sn na hawa Spurs anawafahamu vzr sn kocha anaweza kumpanga hasa Km atapanga mfumo hawa wachezaji wengine Km kina Oscar Faby Willian ndio watafute magoli na kufunga Alafu Huyu Drogba awe bigman pale kuwasumbua tu na kuwachezesha wenzake!
 
Last edited by a moderator:
Usifikiri Km sunderland walipaki bus tukapata draw basi na spurs Itakua hivyo hivyo..!

Najua utakujajificha hapa usionekana baada ya kuona matokeo kwasababu draw yetu ya Sunderland ndio inakufanya uongee hivyo.

nitakuja tu coz najua draw ingine inakuja....
 
Tougher Chelsea built to last says Cahill

That stalemate at the Stadium of Light marked the first time Chelsea had failed to score this season and only the third time they had failed to take all three points from a league fixture in the current campaign.

But, rather than dwell on those rare negatives, England international Cahill took heart from the way Chelsea went toe to toe with fired-up Sunderland in a bruising battle.

The Blues refused to be intimidated by Sunderland's aggressive approach and Cahill believes that solidity and togetherness is a vast improvement on last season, when they occasionally tossed away points against inferior but committed opponents.

"I think we are a different side to last year, not just personnel, but mentally I think we are different," Cahill said.

.. View gallery
Tottenham Hotspur's Christian Eriksen (2nd L) takes …
Tottenham Hotspur's Christian Eriksen (2nd L) takes a freekick during their Premier League match …

"They made it a scrap, but we matched that and managed to play our football as well.

"When teams sit back and get back in that shape, it's very tough. We saw that last year and this was no different.

"But in these sorts of games, if you don't get the breakthrough, it's important we don't lose the game, and it's a point away from home."

http://sports.yahoo.com/news/tougher-chelsea-built-last-says-cahill-074730953--sow.html
 
Remmy is more Clinicall Than Drogbaaaa serious but I too appriciate our legend, The Man Of Great Niggts, Hope he pimp up spurs tonight
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom