CHAUMMA kimepata umaarufu ghafla

CHAUMMA kimepata umaarufu ghafla

Administer

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
2,633
Reaction score
2,378
Ni chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA. Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA. Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA. Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau siyo ubwabwa mweupe
 
Ni chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA.Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA.Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA.Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau siyo ubwabwa mweupe
umaarufu wa dhihaka, ....
 
Wape muda
 
NI KININI HICHO?
 
labda umaarufu kutoka kwa wanaFISIEMU
 
Ni chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA.Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA.Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA.Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau siyo ubwabwa mweupe
Hao watu wengi ni wangapi na ni kina nani. Au wewe ndo unajihesabu ni watu wengi
 
Ni chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA.Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA.Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA.Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau siyo ubwabwa mweupe
Zitto Kabwe amejitahidi sana pale ACT ya zambarao lakini hwapi?
 
Back
Top Bottom