dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Na tunda pia! 😆😆Ni chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA.Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA.Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA.Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau siyo ubwabwa mweupe