Chato kuna Trafic lights, kwanini miji mingine isiwekwe?

Chato kuna Trafic lights, kwanini miji mingine isiwekwe?

Juhudi za mbunge ndo zilileta taa kwa nn mbunge wa eneo lako asifanye juu chin aweke traffic lights..? Mbunge wa chato unataka akuwekee jimbon kwako kishimundu wakati una mbunge wako.. Nonsense!
 
za kuongoza mifugo labda
maana gari moja likipita sasa hivi, lingine litapita baada ya lisaa
 
ushamba wa wasukuma ni za kupiga nazo picha izo.
 
Sasa ulitaka aweke taa za kuongozea miti barabarani !?

Hata kuandika hujui, utaandikaje "zamani" badala ya "jamani"!?

Pumba.fusana weye.
Anamaanisha zamani kama alivyoandika...ndio maana amesema mbunge
 
Majibu yetu ni mubashara kabisa, ukilinganisha na mada yenyewe.
Kawaida, taa za kuongozea Magari huwekwa barabarani, sasa iweje huyu alete thread Kama hiyo kwa kulalamika na Kama una akili uone kuwa kaleta jambo la msingi!?

Ni hali labda ya uchumi au wakandarasi ndiyo tatizo Ila barabara zinatakiwa kuwa na traffic light kila barabara inapokuwa constructed.

Huhitaji elimu ya chuo kikuu kujua hilo kuwa taa zinawekwa barabarani.

Any way, binafsi siyo sisiemu wala ukawa, I don't want to be a slave.

Taa za kuongoza magari huwekwa kwenye makutano ya barabara zenye magari mengi.
Elimu zetu zitumike kwa ufanisi.
 
View attachment 274615
attachment.php

Hii ndio hali halisi ya CHATO Magufuli kaweka kwao taa za kuongozea magari akiwa waziri,Tujiulize kwa ubinafsi huu huyu mtu akiwa rais itakuwa je?

Ipo mikoa inamahitaji makubwa ya taa za kuongozea magari kama Morogoro, Dodoma, Iringa n.k.

Lakini cha kushangaza Dr Magufuli kapeleka taa hizi wilayani, Huu ni ubinafsi

Na nchi hii haitaji rais mbinafsi hata kidogo.Tunaitaji rais wa wananchi wote.

Lowassa akiwa waziri alishughulika na matatizo ya watz wote,Na huyo ndiye mtu anafaa kuliongoza taifa kwa sasa.
Haya ni mawazo ya kimasikini sana, au labda tatizo umri unaweza kuwa bado ni mdogo.

Cleopa Msuya aliweka umeme na lami kwao upareni watu wakakaa kimya.

Huyo JPM kupeleka maendeleo kwao imeshakuwa nongwa!!. Acheni siasa nyepesi za chuki. Yatazameni maendeleo katika upana wake.

Kuna mtu kakatazwa kutafuta maendeleo kwa ajili ya sehemu alipozaliwa?.
 
Umekunywa maji ya kijani,huwezi ona uhalisia!Endelea tu kuwa msukule wa ccm
 
Sumaye na Lowasa walikuwa wanafanya mchongo kiwanja cha Songwe kijengwe Arusha licha ya uwepo wa KIA pale jirani.Kulikuwa na uvutano mkubwa na Mwandosya.Huo ndo upendeleo wa kijenga.Mnapga kelele kwenye miradi ya halmashauri??Alafu watu wengne hapa wanachanga taa za kuongezea magari na zile kuangaza barabara na mitaa!Kila jambo mnataka lipelekwe Moshi na Arusha?
Kwa akili zao finyu, sehemu zingine zote za nchi hii hazipaswi kuwa na maendeleo. Kuna ukabila wa kijinga sana kwenye baadhi ya vichwa vya Watanzania.
 
Umekunywa maji ya kijani,huwezi ona uhalisia!Endelea tu kuwa msukule wa ccm
Wewe ndio usioweza kuona uhalisia. Mnabaki kuishi kwa kukariri maisha. Badilikeni, ndio maana nimekupa mfano wa Mzee Msuya kuweka lami na umeme kule upareni, tena miaka ile ya 80.

Misukule ni nyinyi mnaotafuta sababu za kipuuzi kuanzisha thread zisizo na kichwa wala miguu.
 
Taa kitu gani wewe wacha watu wa chato wapate neema sio kzi rahisi kutoa kiongozi kama Rais wetu amefanya makubwa sana kwa Taifa letu. Acha chato kuwe kama Uraya. Chato ni shortcut ya kwenda bukoba so ni barabara muhimu sana kwa watu wa kanda ya ziwa. Kila siku watu wanampongeza rais na kumwombea kwa Mungu. Sikushangai wewe mwenye nia ovu ukawa wa shetani. Dunia inakushangaaaa
 
Unamtaja Lowassa kana kwamba unamzungumzia malaika fulani. Lowassa ana masoo kibao pale Ardhi, ana masoo kibao bandarini. Wewe kwa sababu ni mpambe mwenye umri mdogo huwezi kuyajua mengi.

Lipo soo la jengo lililoanguka pale Changombe miaka ile wakati JK ndio kwanza kaingia ikulu, najua kabisa huna taarifa nalo.

Tafuteni mawazo mapana ya kujengea hoja kwa ajili ya kuanzisha thread sio mnaandika upumbavu eti taa za barabarani. Badilika kijana.
 
Wewe ndio usioweza kuona uhalisia. Mnabaki kuishi kwa kukariri maisha. Badilikeni, ndio maana nimekupa mfano wa Mzee Msuya kuweka lami na umeme kule upareni, tena miaka ile ya 80.

Misukule ni nyinyi mnaotafuta sababu za kipuuzi kuanzisha thread zisizo na kichwa wala miguu.
Mleta mada aliona mbali,kama alikuwa waziri kapeleka traffic light kijijini,akiwa Rais itakuwaje???
Kweli amekuwa Rais na ndani ya muda mfupi:
-uwanja wa ndege wa kimataifa
-Mjengo wa haja wa TRA

Na hii ni bajeti ya pili tu,akifika bajeti ya nne tutaona mengi!
 
Mrema alipeleka lami kilimanjaro kipindi kile wakati JPM hata hajawa waziri wa ujenzi, kwenu hawezi kuongelewa kwa sababu anawahusu.

Acheni huu ujinga wa kulalamika hovyo kila siku, acheni gubu la kipuuzi. Kila zama zina mtu wake. Kubalini kuwa zama hizi ni za mtu mwingine ambaye hulka zake zipo tofauti kabisa na matarajio yenu.
 
Mleta mada aliona mbali,kama alikuwa waziri kapeleka traffic light kijijini,akiwa Rais itakuwaje???
Kweli amekuwa Rais na ndani ya muda mfupi:
-uwanja wa ndege wa kimataifa
-Mjengo wa haja wa TRA

Na hii ni bajeti ya pili tu,akifika bajeti ya nne tutaona mengi!
Kuna dhambi gani kupeleka vitu vya maendeleo kule kwao?. Kuna dhambi katika kuifungua kiuchumi kanda aliyozaliwa?. Mlikuwa mnataka kanda fulani fulani zibakie na maendeleo na nyingine ziwe wasindikizaji milele?.

Kuna ubaya gani Chato ikawa ndio kichocheo cha kanda yote ya ziwa kuinuka na kupaa kiuchumi?. Tanzania si yetu sote?, kwanini maendeleo yaegemee kwenye baadhi tu ya maeneo. Badilikeni kifikra.
 
Hapo ni njia panda ya kwenda bukoba kyaka hadi Uganda, magari hayakai yanafika yanashusha na kupanda yanaondoka, lakini ushuru unaingia,sasa mnyika na misongamano yote hiyo kashindwa kutumia mapato ya ndani kuwaletea wanaubungo maendeleo. kabla ya magufuli kama unataka kwenda bukoba ilibidi kuzungukia biharamulo akatengeneza shot cut ya kupitia chato hadi muleba sasa hivi ni safari ya masa saba mwanza bukoba. mbona mbowe kajengewa barabara ya lami wakati hamna hata basi moja linalokwenda hai zaidi ya noah (viford) na bodaboda.
Kaka Eddy hawa wamefura kwa sababu wanaona awamu ya tano inajikita katika kuyasambaza maendeleo nchi nzima. Viwanda vinajengwa Tanzania yote, wao walitaka tuendelee na ile ile status quo ya miaka yote.

Kama kununa watanuna sana tu, kama kuongea dharau mitandaoni wataongea sana tu. Lakini hawatuumizi vichwa sisi ambao tunaiangalia Tanzania kwa mapana yake.
 
Kuna dhambi gani kupeleka vitu vya maendeleo kule kwao?. Kuna dhambi katika kuifungua kiuchumi kanda aliyozaliwa?. Mlikuwa mnataka kanda fulani fulani zibakie na maendeleo na nyingine ziwe wasindikizaji milele?.

Kuna ubaya gani Chato ikawa ndio kichocheo cha kanda yote ya ziwa kuinuka na kupaa kiuchumi?. Tanzania si yetu sote?, kwanini maendeleo yaegemee kwenye baadhi tu ya maeneo. Badilikeni kifikra.
Hahahaaaa,endeleeni kutetea huu ujinga!Mwisho wa siku tutakuwa tumepoteza fedha kwa jambo lisilo na faida kiuchumi kwa miaka mingi!
 
Hahahaaaa,endeleeni kutetea huu ujinga!Mwisho wa siku tutakuwa tumepoteza fedha kwa jambo lisilo na faida kiuchumi kwa miaka mingi!
Ujinga umeandikwa na wewe, unaongelea taa za barabarani kwa sababu zipo Chato!!

Nimekukumbusha Mrema kupeleka lami kilimanjaro kipindi akiwa waziri wa mambo ya ndani, au ulikuwa bado unaendesha ringi pembeni ya nyumba yenu?.

Nimekukumbusha Msuya kuweka lami na umeme kule upareni, au ulikuwa bado unatembea kwenye viuno vya Baba yako?.

Yaani awamu hii mtaumia sana mioyo yenu, kwa sababu mlichozoea kukiona wala hakitakuwa kikifanyika.
 
Endelea kutumia akili za kushikiwa,kwa hilo sina shaka nalo na nimewafahamisha na wengine wanaokushangaa!
naona tunachaguliana jinsi ya kuona mambo.
mkuu naona unavunja divine supernatural law kwamba kila mwanadamu anahaki ya kuona anavyodhani ni sahihi bila kujali wengine wengi au wachache wanawaza nini juu ya hilo.(freedom of choice)...
 
Back
Top Bottom