Chato kuna Trafic lights, kwanini miji mingine isiwekwe?

View attachment 274615
attachment.php

Hii ndio hali halisi ya CHATO Magufuli kaweka kwao taa za kuongozea magari akiwa waziri,Tujiulize kwa ubinafsi huu huyu mtu akiwa rais itakuwa je?

Ipo mikoa inamahitaji makubwa ya taa za kuongozea magari kama Morogoro, Dodoma, Iringa n.k.

Lakini cha kushangaza Dr Magufuli kapeleka taa hizi wilayani, Huu ni ubinafsi

Na nchi hii haitaji rais mbinafsi hata kidogo.Tunaitaji rais wa wananchi wote.

Lowassa akiwa waziri alishughulika na matatizo ya watz wote,Na huyo ndiye mtu anafaa kuliongoza taifa kwa sasa.

Kuna magari mangapi??
Wasukuma bana.
Amewarahishia wasukuma wakija dar wawe wamezoea.
 
Haya ni maajabu kama foleni ya magari kukutwa Samunge, enzi za kikombe cha babu!
 
Ujinga umeandikwa na wewe, unaongelea taa za barabarani kwa sababu zipo Chato!!

Nimekukumbusha Mrema kupeleka lami kilimanjaro kipindi akiwa waziri wa mambo ya ndani, au ulikuwa bado unaendesha ringi pembeni ya nyumba yenu?.

Nimekukumbusha Msuya kuweka lami na umeme kule upareni, au ulikuwa bado unatembea kwenye viuno vya Baba yako?.

Yaani awamu hii mtaumia sana mioyo yenu, kwa sababu mlichozoea kukiona wala hakitakuwa kikifanyika.
Endelea kupanic tu na uzidi kuonesha jinsi ubongo wako na wa kuku unavyofanana!
Cha ajabu ni kuwa unanitajia wanaccm walivyofanya huko awali kupendelea maeneo wanayotoka,huu si ujinga!Unahalalisha haramu kwa haramu,nonsense!Endelea kuivua ccm nguo,nani mwingine alipendelea alikozaliwa!Ohh yes,JK!Kajijengea lami mpaka barazani kwake!Kwahiyo hamna shida,kila kiongozi lazima apendelee alikozaliwa!!!!!!Thats how stupid u are
 
naona tunachaguliana jinsi ya kuona mambo.
mkuu naona unavunja divine supernatural law kwamba kila mwanadamu anahaki ya kuona anavyodhani ni sahihi bila kujali wengine wengi au wachache wanawaza nini juu ya hilo.(freedom of choice)...
Si umesema niwafahamishe na wengine wafikiri kama unavyofikiri wew
 
Endelea kupanic tu na uzidi kuonesha jinsi ubongo wako na wa kuku unavyofanana!
Cha ajabu ni kuwa unanitajia wanaccm walivyofanya huko awali kupendelea maeneo wanayotoka,huu si ujinga!Unahalalisha haramu kwa haramu,nonsense!Endelea kuivua ccm nguo,nani mwingine alipendelea alikozaliwa!Ohh yes,JK!Kajijengea lami mpaka barazani kwake!Kwahiyo hamna shida,kila kiongozi lazima apendelee alikozaliwa!!!!!!Thats how stupid u are
Wewe ndio stupid....unatumia nguvu kubwa kuandika kuhusu taa za barabarani za Chato, hujui kwamba Chato ni njia panda ya kwenda Bukoba, ambako ndio makao makuu ya Kagera.

Wewe unaandika ujinga kwa sababu sio kanda yako, huko Chato hakukuhusu, huwezi na uchungu na maendeleo ya wanachato, au watu wa kanda ya ziwa kwa ujumla wao.

Siivui nguo CCM, bali ndio ukweli wenyewe, na haya mambo hayapo Tanzania tu, afrika nzima na hata huko Marekani na Ulaya, watu huhakikisha maendeleo yanakuwepo katika miji waliyozaliwa.

TRA kuna kipindi ilikuwa imejaa watu kutoka kaskazini, kwa sababu tu ya ushemeji wao kwa BWM.

Lazima mjifunze kuiangalia nchi katika mtazamo wa kuipenda kwa ukubwa ilionao, na sio kuiangalia kwa mtazamo wa kupaona mlipozaliwa ndipo bora kuliko sehemu nyingine zilizobakia.

Nchi ni lazima ifunguke, ni lazima kila fursa ziweze kufikiwa na kila mwenye kutaka kuleta maendeleo.

Ondokana na haya mawazo ya kijinga ya kuongelea taa za barabarani as if mikoa mingine hazipo!!.
 
View attachment 274615
attachment.php

Hii ndio hali halisi ya CHATO Magufuli kaweka kwao taa za kuongozea magari akiwa waziri,Tujiulize kwa ubinafsi huu huyu mtu akiwa rais itakuwa je?

Ipo mikoa inamahitaji makubwa ya taa za kuongozea magari kama Morogoro, Dodoma, Iringa n.k.

Lakini cha kushangaza Dr Magufuli kapeleka taa hizi wilayani, Huu ni ubinafsi

Na nchi hii haitaji rais mbinafsi hata kidogo.Tunaitaji rais wa wananchi wote.

Lowassa akiwa waziri alishughulika na matatizo ya watz wote,Na huyo ndiye mtu anafaa kuliongoza taifa kwa sasa.
Hili ni bandiko la wakati wa kampeni za mwaka juzi. Lakini lazima mtu ajiulize, iwapo Mzee Lowassa asingepeleka maendeleo Monduli iwapo angechaguliwa kuwa rais.

Lowassa alifikia hatua ya kutafuta mvua za Thailand ili ziweze kuuondoa ukame wa Monduli, je kama angepewa urais asingehakikisha ule ukame unaondoka?.

Kuna dhambi gani kwa mtu kupeleka maendeleo nyumbani ulipozaliwa. Yaani mnataka JPM akutane na yale yale ya mwalimu JKN, ambaye barabara ilijengwa siku anakwenda kuzikwa??.
 
Hii ni kazi ya halmashauri kwa kutumia ushuru wanaokusanya kutoka maegesho ya magari katika stendi ya chato, muulizeni mnyika mapato ya stand ya ubungo kafanyia nini kwa wana ubungo?
Yanaenda sirikali kuu
 
Wewe ndio stupid....unatumia nguvu kubwa kuandika kuhusu taa za barabarani za Chato, hujui kwamba Chato ni njia panda ya kwenda Bukoba, ambako ndio makao makuu ya Kagera.

Wewe unaandika ujinga kwa sababu sio kanda yako, huko Chato hakukuhusu, huwezi na uchungu na maendeleo ya wanachato, au watu wa kanda ya ziwa kwa ujumla wao.

Siivui nguo CCM, bali ndio ukweli wenyewe, na haya mambo hayapo Tanzania tu, afrika nzima na hata huko Marekani na Ulaya, watu huhakikisha maendeleo yanakuwepo katika miji waliyozaliwa.

TRA kuna kipindi ilikuwa imejaa watu kutoka kaskazini, kwa sababu tu ya ushemeji wao kwa BWM.

Lazima mjifunze kuiangalia nchi katika mtazamo wa kuipenda kwa ukubwa ilionao, na sio kuiangalia kwa mtazamo wa kupaona mlipozaliwa ndipo bora kuliko sehemu nyingine zilizobakia.

Nchi ni lazima ifunguke, ni lazima kila fursa ziweze kufikiwa na kila mwenye kutaka kuleta maendeleo.

Ondokana na haya mawazo ya kijinga ya kuongelea taa za barabarani as if mikoa mingine hazipo!!.
Sio taa za barabarani tu,international airport inajengwa pale!Ukiangalia sehemu potential iliyostahili airport ukanda ule ni Geita!Geita imechangamka kimaendeleo kuliko chato!Lakini hawana airport hata ya vumbi,hawana hata traffic lights!Geita hawana jengo la TRA zuri na kubwa kama lililojengwa chato!Geita ingekuwa sehemu mahsusi kujenga uwanja wa ndege ila sio chato!
Kama huwezi kuliona hili basi una tatizo!Mimi mwenyewe natokea kanda ya ziwa,so dont jump into conclusions hapa!
Mtoto mjinga hasara kwa mama yake!
 
Wewe mnafiki tu, hutokei kanda ya ziwa. Lengo lako ni kusambaza spirit mbaya kutumia uzi wako huu.

Geita hawana mbunge wao wa kuwapigania mpaka wakapata maendeleo wakati wana mgodi wenye dhahabu nyingi kuliko hata ule wa Bulyanhulu?.

Maendeleo sio kitu cha kupingwa kwa kutumia hoja nyepesi ya taa na jengo la TRA. Hata uwanja wa ndege kujengwa Chato sio dhambi pia, kuna anayekatazwa kujenga uwanja wa ndege iwapo eneo lipo na sababu ipo?.
 
Hebu jisome tena,are u sane kweli?Nimeshaona hapa najenga hoja na mtu anayetapatapa tu!Kwamba anayetaka uwanja wa ndege Geita ajenge mwenyewe???This is too low!Ngoja nikuambie tu,hata kahama haina international airport,unakuja kakola yote mpaka unafika geita hakuna uwanja wa ndege!Ukanda wote huo wanatumia uwanja wa Mwanza!Ingekuwa economical kama uwanja ungejengwa kahama au Geita lakini si Chato,huo ndio ukweli!Hakuna mtu atakayetoka Geita au kakola aende chato kupanda ndege,wataenda mwanza!Hii inamaanisha wataopanda ndege ni wakazi wa chato tu!Tusishangae ndege ikawa inatua mara 1 kwa miezi 6!
Hata kama una mapenzi na JPM,wakati mwingine mseme ukweli tu!Jambo hilo sio economical!Tumedump pesa tu!
By the way,mimi ni mzaliwa wa kanda ya ziwa,kama unadhani kila anayetoka kanda ya ziwa anasupport chochote hata ujinga basi umeingia cha kike,sio mimi!
 
Narudia kukwambia kuwa wewe ni mnafiki tu. Kuna upande mwingine wa kanda ya ziwa, watautumia uwanja huo wa ndege.

Maendeleo ni changamoto za miaka mingi, kumbuka kuwa huko kakola kunakotoka dhahabu ya bulyanhulu barabara zake ni za vumbi. Uwanja wa ndege upo mgodini kwa sababu maalum. Ina maana kushindwa kupatikana maendeleo kwa eneo hilo tangu enzi hizo ndio kigezo cha kuzuia uwanja wa Chato usijengwe?.

Hakuna kitu kinachokuja burebure tu, lazima gharama ziwepo. Na hayo maendeleo yatakayokuja baadae kwenye kanda yetu ya ziwa, lazima kutakuwa na gharama zake pia.

Mkuu unataka kumbembesha mzigo wote rais, hata kwa kutokupatikana maendeleo kwa miaka mingi katika ukanda huo!!?.

Nimekushangaa kuongelea taa za barabarani pia, sio uwanja peke yake ambao ni mada ya uzi hii.
 
Ndio uniambie ukanda gani huo watatumia uwanja huo?Hebu jaribu kuangalia ramani kidogo ikiwemo ramani ya barabara namna ya kufika chato kutoka sehemu mbali za kanda ya ziwa!Angalia pia possibility ya mtu kutopandia ndege mwanza na aende all the way to chato kupanda ndege!Tukubaliane tu jambo hilo limepelekwa kiupendeleo kama ulivyomaanisha awali kwa kusema hata akina Mrema na Msuya walijenga kwao,na sio for economical reasons!Waziri wa fedha alishindwa kuainisha bungeni ni vipi uwanja huo utakuwa na economic impact,najua ulimiss that part wabunge walipohoji!Hakukuwa na maelezo ya economic impact ya uwanja huo!
Traffic lights zinatakiwa ziwepo kwenye barabara zetu,lakini je kipaumbele ni kipi?Nadhani kipaumbele ni sehemu ambazo zina uhitaji wa haraka wa huduma hiyo!Huko chato hizo traffic light wala hata hawazitumii,unaweza toka nyumbani kwako mpaka unakoenda usipishane na gari,hizo traffic light zilikuwa na uharaka gani wa kuwekwa huko wakati kuna maeneo yana uhitaji mkubwa???
TRA,watuambie wanakusanya kiasi gani kwa mwaka mpaka wanahitaji ofisi kubwa na ya kifahari namna ile!Kaangalie ofisi za TRA mbezi zilivyo!!
Kupanga ni kuchagua,sisi tumechagua chato!
 
Wewe ndio stupid....unatumia nguvu kubwa kuandika kuhusu taa za barabarani za Chato, hujui kwamba Chato ni njia panda ya kwenda Bukoba, ambako ndio makao makuu ya Kagera.

Wewe unaandika ujinga kwa sababu sio kanda yako, huko Chato hakukuhusu, huwezi na uchungu na maendeleo ya wanachato, au watu wa kanda ya ziwa kwa ujumla wao.

Siivui nguo CCM, bali ndio ukweli wenyewe, na haya mambo hayapo Tanzania tu, afrika nzima na hata huko Marekani na Ulaya, watu huhakikisha maendeleo yanakuwepo katika miji waliyozaliwa.

TRA kuna kipindi ilikuwa imejaa watu kutoka kaskazini, kwa sababu tu ya ushemeji wao kwa BWM.

Lazima mjifunze kuiangalia nchi katika mtazamo wa kuipenda kwa ukubwa ilionao, na sio kuiangalia kwa mtazamo wa kupaona mlipozaliwa ndipo bora kuliko sehemu nyingine zilizobakia.

Nchi ni lazima ifunguke, ni lazima kila fursa ziweze kufikiwa na kila mwenye kutaka kuleta maendeleo.

Ondokana na haya mawazo ya kijinga ya kuongelea taa za barabarani as if mikoa mingine hazipo!!.
Achana nao hao walizoea kuona maendeleo yanaenda kaskazini tu. Kwanza taa hizo ziliwekwa na Mh. Mbunge kwa pesa zake sasa inawauma nini. Mbona moshi kuna rami hadi vijijini wakati kuna barabara za Tanroad za mikoa mingine hazina rami?? Acheni ubaguzi nyinyi watu wa kaskazini???!!!
 
Ndio uniambie ukanda gani huo watatumia uwanja huo?Hebu jaribu kuangalia ramani kidogo ikiwemo ramani ya barabara namna ya kufika chato kutoka sehemu mbali za kanda ya ziwa!Angalia pia possibility ya mtu kutopandia ndege mwanza na aende all the way to chato kupanda ndege!Tukubaliane tu jambo hilo limepelekwa kiupendeleo kama ulivyomaanisha awali kwa kusema hata akina Mrema na Msuya walijenga kwao,na sio for economical reasons!Waziri wa fedha alishindwa kuainisha bungeni ni vipi uwanja huo utakuwa na economic impact,najua ulimiss that part wabunge walipohoji!Hakukuwa na maelezo ya economic impact ya uwanja huo!
Traffic lights zinatakiwa ziwepo kwenye barabara zetu,lakini je kipaumbele ni kipi?Nadhani kipaumbele ni sehemu ambazo zina uhitaji wa haraka wa huduma hiyo!Huko chato hizo traffic light wala hata hawazitumii,unaweza toka nyumbani kwako mpaka unakoenda usipishane na gari,hizo traffic light zilikuwa na uharaka gani wa kuwekwa huko wakati kuna maeneo yana uhitaji mkubwa???
TRA,watuambie wanakusanya kiasi gani kwa mwaka mpaka wanahitaji ofisi kubwa na ya kifahari namna ile!Kaangalie ofisi za TRA mbezi zilivyo!!
Kupanga ni kuchagua,sisi tumechagua chato!
Wewe inakuuma nini?? Mlizoea maendeleo yaende kwenu tu kaskazini?? Kwenu kuna viwanja vitatu eneo moja Arusha, KIA na Moshi mbona hatukulalamika acheni wivu wa kijinga!!
 
View attachment 274615
attachment.php

Hii ndio hali halisi ya CHATO Magufuli kaweka kwao taa za kuongozea magari akiwa waziri,Tujiulize kwa ubinafsi huu huyu mtu akiwa rais itakuwa je?

Ipo mikoa inamahitaji makubwa ya taa za kuongozea magari kama Morogoro, Dodoma, Iringa n.k.

Lakini cha kushangaza Dr Magufuli kapeleka taa hizi wilayani, Huu ni ubinafsi

Na nchi hii haitaji rais mbinafsi hata kidogo.Tunaitaji rais wa wananchi wote.

Lowassa akiwa waziri alishughulika na matatizo ya watz wote,Na huyo ndiye mtu anafaa kuliongoza taifa kwa sasa.
Panadol inanihusu.
Hivi lile jengo la bunge lilojengwa urambo na samweli sita huwa linatumika kwa vikao vya angalau kamati za bunge kama sio bunge lenyewe?
 
Wewe inakuuma nini?? Mlizoea maendeleo yaende kwenu tu kaskazini?? Kwenu kuna viwanja vitatu eneo moja Arusha, KIA na Moshi mbona hatukulalamika acheni wivu wa kijinga!!
Siwezi kujadili hoja na mtu mpumbavu wa kiwango chako!Tafuta mjinga mwenzako mjadiliane!
 
View attachment 274615
attachment.php

Hii ndio hali halisi ya CHATO Magufuli kaweka kwao taa za kuongozea magari akiwa waziri,Tujiulize kwa ubinafsi huu huyu mtu akiwa rais itakuwa je?

Ipo mikoa inamahitaji makubwa ya taa za kuongozea magari kama Morogoro, Dodoma, Iringa n.k.

Lakini cha kushangaza Dr Magufuli kapeleka taa hizi wilayani, Huu ni ubinafsi

Na nchi hii haitaji rais mbinafsi hata kidogo.Tunaitaji rais wa wananchi wote.

Lowassa akiwa waziri alishughulika na matatizo ya watz wote,Na huyo ndiye mtu anafaa kuliongoza taifa kwa sasa.
Dah.... Nikisoma nyuzi Kama hizi huwa nasikia raha sana [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji87]
 
Back
Top Bottom