Chato kuna Trafic lights, kwanini miji mingine isiwekwe?

Chato kuna Trafic lights, kwanini miji mingine isiwekwe?

Magufuli mfi jaji wa ras ili mali kaenda mighorota ya mama yake kwa kodi zetu sasa a napereka mengi wa tra chato ikiwa wilaya maskini mno taa za barabarani ni kuwafurahisha ndugu zake waendelee kumchagua
We kiazi kweli unataka asijenge hata nyumba kukuogopa we kiaz koko kwani mshahara wake wa zaidi ya milion thelathini unategemea afanyie nn ?
 
We kiazi kweli unataka asijenge hata nyumba kukuogopa we kiaz koko kwani mshahara wake wa zaidi ya milion thelathini unategemea afanyie nn ?
Kumbe alisema analipwa million 9 alikuwa anadanganya?
 
..wangeweka 4-WAY STOP SIGN.

..kuweka traffic lights ktk eneo hilo ni kutumia vibaya fedha za maendeleo.

NB.

..vipi Airport ya Mwanza uliyokuwa unaipigia kelele ujenzi wake kusuasua?

..Je ni kweli fedha zimeelekezwa kujenga International airport kijijini kwa mtukufu badala ya Mwanza?
Airport ya Mwanza inaendelea na ujenzi as i reply to your comment, mkandarasi amerudi site, barabara ya kurukia ndege imesharefushwa tayari, control tower ndio wanamalizia, ukisoma budget ya mwaka huu uwanja umetengewa zaidi ya Billion 25 ili kuanza ujenzi wa terminal building. So yes, ujenzi unaendelea vizuri sana,.
 
Hizo taa kwa ufinyu wa akili zenu ni wapi zinastahili kukaa? inamaana chato ipo Uganda au Kenya? na pia hizo taa ni bei gani? hayo ni mawazo na fikra za kipumbavu kabisa.
 
Screenshot_2017-06-26-21-43-50.png
 
Jengeni hoja za msingi kwani chato Sio sehemu ya Tanzania kiasi cha kuhoji hadi uwepo wa taa za barabarani
 
Back
Top Bottom