![]()
Hii ndio hali halisi ya CHATO Magufuli kaweka kwao taa za kuongozea magari akiwa waziri,Tujiulize kwa ubinafsi huu huyu mtu akiwa rais itakuwa je?
Ipo mikoa inamahitaji makubwa ya taa za kuongozea magari kama Morogoro, Dodoma, Iringa n.k.
Lakini cha kushangaza Dr Magufuli kapeleka taa hizi wilayani, Huu ni ubinafsi
Na nchi hii haitaji rais mbinafsi hata kidogo.Tunaitaji rais wa wananchi wote.
Unaijua stendi ya Chato na idadi ya magari yanayopaki kwa siku? Kwa wasiofahamu Chato ni kijiji kilichopewa hadhi ya makao makuu ya wilaya kwa mabavu (hakikuwa na sifa hiyo) kwa ajili ya uswahiba wa magufuli na Mkapa nukta. Wakti mwingne unafika stendi hakuna gari hata moja unasubiri. Leta uwongo mwingne.
Mapato ya stand yaliliwa na kile kibabuHii ni kazi ya halmashauri kwa kutumia ushuru wanaokusanya kutoka maegesho ya magari katika stendi ya chato, muulizeni mnyika mapato ya stand ya ubungo kafanyia nini kwa wana ubungo?
Unaijua stendi ya Chato na idadi ya magari yanayopaki kwa siku? Kwa wasiofahamu Chato ni kijiji kilichopewa hadhi ya makao makuu ya wilaya kwa mabavu (hakikuwa na sifa hiyo) kwa ajili ya uswahiba wa magufuli na Mkapa nukta. Wakti mwingne unafika stendi hakuna gari hata moja unasubiri. Leta uwongo mwingne.
jingalao unahangaika...bila shaka wewe ni wale wa buku sabaMapato ya stand yaliliwa na kile kibabu
Unaijua stendi ya Chato na idadi ya magari yanayopaki kwa siku? Kwa wasiofahamu Chato ni kijiji kilichopewa hadhi ya makao makuu ya wilaya kwa mabavu (hakikuwa na sifa hiyo) kwa ajili ya uswahiba wa magufuli na Mkapa nukta. Wakti mwingne unafika stendi hakuna gari hata moja unasubiri. Leta uwongo mwingne.[/QUOTE Alafu kuna watu ni wapumbavu kupitiliza.Hv Chato ndo hawastahili taa?Sio Watanzania wale??Hamjui kuwa Chato ni njia kuu kuelekea nchi jirani?Ndo hayo havo kwa vile Rais wa TFF ni Muhaya basi wasiajiliwe Wahaya pale.Ni ujinga.
![]()
Hii ndio hali halisi ya CHATO Magufuli kaweka kwao taa za kuongozea magari akiwa waziri,Tujiulize kwa ubinafsi huu huyu mtu akiwa rais itakuwa je?
Ipo mikoa inamahitaji makubwa ya taa za kuongozea magari kama Morogoro, Dodoma, Iringa n.k.
Lakini cha kushangaza Dr Magufuli kapeleka taa hizi wilayani, Huu ni ubinafsi
Na nchi hii haitaji rais mbinafsi hata kidogo.Tunaitaji rais wa wananchi wote.
Lowassa akiwa waziri alishughulika na matatizo ya watz wote,Na huyo ndiye mtu anafaa kuliongoza taifa kwa sasa.
Hii ni kazi ya halmashauri kwa kutumia ushuru wanaokusanya kutoka maegesho ya magari katika stendi ya chato, muulizeni mnyika mapato ya stand ya ubungo kafanyia nini kwa wana ubungo?
Short cut???!!!Hapo ni njia panda ya kwenda bukoba kyaka hadi Uganda, magari hayakai yanafika yanashusha na kupanda yanaondoka, lakini ushuru unaingia,sasa mnyika na misongamano yote hiyo kashindwa kutumia mapato ya ndani kuwaletea wanaubungo maendeleo. kabla ya magufuli kama unataka kwenda bukoba ilibidi kuzungukia biharamulo akatengeneza shot cut ya kupitia chato hadi muleba sasa hivi ni safari ya masa saba mwanza bukoba. mbona mbowe kajengewa barabara ya lami wakati hamna hata basi moja linalokwenda hai zaidi ya noah (viford) na bodaboda.