Chato kuna Trafic lights, kwanini miji mingine isiwekwe?

Chato kuna Trafic lights, kwanini miji mingine isiwekwe?

Nafikiri hata madereva wenyewe hawasubiri ishara ya hizo taa,,,tugari tumojamoja
Hahahaa mkuu hiyopicha ilipigwa weekend, nijumapili ndiomana huoni magarimengi jaribu kufuatilia siku za kazi utaona msongamano.

Acheni wivujamani japo duuh.....
 
Labda hujui road safety !?

Basi. tambua kuwa jambo mojawapo ni traffic lights

Mfano njoo, Ulaya, USA, Japan yaani barabara bila taa haiwezi kufunguliwa.

Kwa hiyo, taa za barabarani huwa siyo jambo la kuwekea kigugumizi bali ni lazima ziwepo mara tu ujenzi wa barabara unapoisha.

Taa za kuongozea Magari kwenye barabara yoyote ile ni sawa na samaki na maji havitenganishwi.
Mbona mnajifanya wajinga hivyo?Nenda sehemu zenye uhitaji kama utakuta hizo traffic lights
 
hahahahaaa
AKILI MBOVU ZANA KUDHANI KILA UNAETOFAUTIANA NAE ANALIPWA...
POOR MIND...
Unaijua Poor Mind?
Nakupa tu mfano mmoja, mingine utatafuta mwenyewe.
Poor mind ni ile inayoaamua kuweka taa sehemu ambayo haifaidishi watu wa eneo husika huku ukiacha vitu muhimu kama kuwasambazia maji kwa matumizi mbalimbali ya nyumbani na pia kwa kilimo cha umwagiliaji ili wananchi waweza kuzalisha zaidi mazao mbalimbali ya chakula na biashara, maana sehemu hiyo ina maeneo ya wazi mengi kwa ajili hiyo.

Kwa kufanya hivyo utaimarisha biashara ya hayo mazao katika sehemu hiyo ambapo itapelekea maendeleao kuwa makubwa na kufikia hatua ya kuwa mji ambapo baadae watu wakiwa wengi kwenda kuishi eneo hilo ndio itahitajika uwekaji wa taa za barabarani ili kurahisisha uendeshaji wa magari.

Sasa poor mind imefanya vice versa(kinyume nyume)
 
unashangaa taa za barabarani kuwekwa barabarani.
Nilidhani Taa za kuongozea magari zimewekwa shambani au kwenye vichochoro za baiskeli...
Safi sana mtetezi wa "uzalendo na na matumizi ya rasilimali za nchi". Mawazo kama haya ya kwako yatalisaidia sana taifa hili, na jambo jema ni kwamba awamu hii kumekuwepo na ongezeko kubwa la "wazalendo" kama wewe mnaotetea matumizi sahihi ya rasilimali za taifa! Anzisheni na kampeni ya kupafanya Chato kuwa makao makuu II
 
Labda hujui road safety !?

Basi. tambua kuwa jambo mojawapo ni traffic lights

Mfano njoo, Ulaya, USA, Japan yaani barabara bila taa haiwezi kufunguliwa.

Kwa hiyo, taa za barabarani huwa siyo jambo la kuwekea kigugumizi bali ni lazima ziwepo mara tu ujenzi wa barabara unapoisha.

Taa za kuongozea Magari kwenye barabara yoyote ile ni sawa na samaki na maji havitenganishwi.
Hahahahahahaaaaaaaaaaa.

Yaani unafananisha Chato na Ulaya, Japan...!
Mbona huifananishi na Bukoba, kama ingekuwa kila barabara ikikamika lazima iwekewe taa, Chato ingekuwa ya mwisho kabisa kuwekewa, maana kuna miji mingi mikubwa kuliko chato ambayo ipo tangu Uhuru.

Hapo kubali mshakosea, ili mjada uishe muweze kufikiria vizuri msije mkafanye kosa tena kama hilo ambalo hata mjinga analielewa.
 
Hahahaa mkuu hiyopicha ilipigwa weekend, nijumapili ndiomana huoni magarimengi jaribu kufuatilia siku za kazi utaona msongamano.

Acheni wivujamani japo duuh.....
Mkuu unanifurahisha sana.

Hahahaahahahaaaa
 
Hahahahahahaaaaaaaaaaa.

Yaani unafananisha Chato na Ulaya, Japan...!
Mbona huifananishi na Bukoba, kama ingekuwa kila barabara ikikamika lazima iwekewe taa, Chato ingekuwa ya mwisho kabisa kuwekewa, maana kuna miji mingi mikubwa kuliko chato ambayo ipo tangu Uhuru.

Hapo kubali mshakosea, ili mjada uishe muweze kufikiria vizuri msije mkafanye kosa tena kama hilo ambalo hata mjinga analielewa.

Huelewi concept yaani tatizo hujui logic.

Logic iko hivi
Kama 'A' ni bora na 'A' na 'B' ni marafiki , Basi 'C'akiwa rafiki wa 'B' naye ni bora.

Nimekuandikia hivyo maana naona akili yako bado ni ya kitoto sana.

Nimetoa mifano kuwa nchi Kama hizo barabara haiwezi kufunguliwa bila taa, ndiyo maana kama chato wameweka taa Basi wamezingatia international road safety.

Sasa akili yako kwa sababu imeisha wekewa akili za mgando na kila jambo ni kupinga kila uonalo utapinga tu.

Nikukumbushe, Mimi siyo sisiemu wala ukawa. I don't want to be a slave of politicians
 
Embu naomba kuuliza, taa kama hiyo inagharimu shilling ngapi?
 
Huelewi concept yaani tatizo hujui logic.

Logic iko hivi
Kama 'A' ni bora na 'A' na 'B' ni marafiki , Basi 'C'akiwa rafiki wa 'B' naye ni bora.

Nimekuandikia hivyo maana naona akili yako bado ni ya kitoto sana.

Nimetoa mifano kuwa nchi Kama hizo barabara haiwezi kufunguliwa bila taa, ndiyo maana kama chato wameweka taa Basi wamezingatia international road safety.

Sasa akili yako kwa sababu imeisha wekewa akili za mgando na kila jambo ni kupinga kila uonalo utapinga tu.

Nikukumbushe, Mimi siyo sisiemu wala ukawa. I don't want to be a slave of politicians

Aliyeelewa huo mfano anieleweshe na mimi!
Awamu hii mtafanya juu chini kutetea udhalimu wa hii serikali!
 
Hoja zikikosa mnaibuka na vioja!!! So, mbona hamsemi barabara za lami mlizojenga kilimanjaro hadi vijijini wakati barabara ya Nyakanazi - KIGOMA hakuna???

Mbona hamsemi upelekwaji wa maji miji ya kahama toka ziwa Victoria wakati hapo CHATO, MAGU, GEITA nk watu wanaotizama ziwa wakiwa hawana maji??

CHATO sawasawa na dar, Arusha, mwanza ina haki ya kuletewa huduma za kijamii
Kwa akili hizi,bora mkoloni arudi haina maana ya kuwa nchi huru.
 
Zamani:Kwa juhudi za Mbunge wa Jimbo hilo, Dk. John Magufuli zimewekwa taa za kuongozea magari jimboni humo
Tuacheni na sisi wa mkoani tuonage mataa ya kuongozea magari, haiwezekani kila siku tuyaone kwenye luninga tu
 
Back
Top Bottom