Chato kuna Trafic lights, kwanini miji mingine isiwekwe?

Mji mdogo Wa chato una traffic lights kuliko miji manispaa na baadhi ya majiji yenye magari na watu wengi hivi pale chato kuna nini?kwanini mataa hayo wasiyapeleke kwenye miji mikubwa kama morogoro moshi bukoba iringa na Dodoma ? Sijui kama yana msaada mkubwa kwa watu kama miji hiyo hapo juu?
 
mimi sijawahi kufika huko...natamani nifike kuona..
 
Mnataka aongee, mseme hali ya hewa imechafuka!
 
Mji mdogo Wa chato una traffic lights kuliko miji manispaa na baadhi ya majiji yenye magari na watu wengi hivi pale chato kuna nini?kwanini mataa hayo wasiyapeleke kwenye miji mikubwa kama morogoro moshi bukoba iringa na Dodoma ? Sijui kama yana msaada mkubwa kwa watu kama miji hiyo hapo juu?
Taa yenyewe iko moja na sijui kama inafanya kazi.
 
Wacha abalansi maendeleo,ilikuwa tu machi,kila lililozuri lilianzia kaskazini,kisha wanakuja hapa kuwatukana watu wanaotoka kanda zingine kama vile kwao hazikutumika pesa za watz wote. Safi sana rais kwenye hili nakupongeza,baada ya hapo nenda kaweke fly over kama 10 pale Mwanza,dadadadadadadadeeeek.
 
Mbona unashangaa Jambo la kawaida kaka? Nilifikiria umekutana na "Fly Over" Chato. Traffic lights ni suala la msingi na kiusalama barabarani,hata Kama wilaya nzima Ina gari mbili tu.
Misuse of resources,..
 
HAPA MMI NINGESHAURI MIJI YOTE YA WILAYA NA MIKOA IWEKWE TAA HIZO KWA VILE NI KWA AJILI YA USALAMA NA PIA SIKY HIZI ZINAFUNGIWA UMEME WA SOLA NA ZINZTEGENEZWA DIT KILE CHUO CHA KUFUNDISHIA WAHANDISI NA MAFUNDI HIVYO ZINAPATIKANA NCHINI NA KWA BEI NAFUU
 
Tatizo letu Watanzania ni walalamishi sana na huwa tunapenda kukurupuka bila kufanya utafiti binafsi. Ndio maana tumefika hapa tulipo. Wewe binafsi umeshafika hiyo sehemu husika na kuziona hizo Traffic Lights!? Umesema thread umeshapata Mhemko na kuona kwamba umeonewa. Ie: Kuna thread imo humu inazungumzia Serikali kuipa Voda ruzuku. Figure halisi ilikuwa ni $ 3.4 mil ...mleta mada akaandika $ 34 mil. Halafu hiyo hela imetokea kwa wahisani kusaidia sekta ya mawasiliano vijijini. Lakini Watanzania wenzangu tunapata jazba bila kufanya utafiti. Ndio maana siku hizi magonjwa Kama Presha na sukari yanatuangamiza sana.
Wewe ulikuwepo wakati wahisani wanatoa hayo masharti, maana na wewe tayari naona umehemuka
 
Mji mdogo Wa chato una traffic lights kuliko miji manispaa na baadhi ya majiji yenye magari na watu wengi hivi pale chato kuna nini?kwanini mataa hayo wasiyapeleke kwenye miji mikubwa kama morogoro moshi bukoba iringa na Dodoma ? Sijui kama yana msaada mkubwa kwa watu kama miji hiyo hapo juu?
Dodoma zipo mkuu
 
download.jpg

Zamani:Kwa juhudi za Mbunge wa Jimbo hilo, Dk. John Magufuli zimewekwa taa za kuongozea magari jimboni humo
 
unashangaa taa za barabarani kuwekwa barabarani.
Nilidhani Taa za kuongozea magari zimewekwa shambani au kwenye vichochoro za baiskeli...
 
Sasa ulitaka aweke taa za kuongozea miti!?
Pumba.fusa weye Sana.

Hata kuandika hujui, utaandikaje "zamani" badala ya "jamani"!?
Msisahau kunigawia hata jero ya vocha ndugu zangu

Back
Top Bottom