mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,761
umeelewa...Msisahau kunigawia hata jero ya vocha ndugu zangu
umeelewa...Msisahau kunigawia hata jero ya vocha ndugu zangu
Unajikirupikia tu,Sasa ulitaka aweke taa za kuongozea miti barabarani !?
Hata kuandika hujui, utaandikaje "zamani" badala ya "jamani"!?
Pumba.fusana weye.
Kama ungekuwa na mawazo endelevu, Ungefanya kazi kwa bidii Nchi ipate Kodi taa za barabarani zikawekwa nchi nzima ndugu Hadi ikungi...Waste of resource.
Singida hakuna taa,Chato taa za nini?
[|i]Msisahau kunigawia hata jero ya vocha ndugu zangu
Shida iko wapi mkuu, mimi nimekuomba tu jero.umeelewa...
Hizo taa ziliwekwa na Mh. Mbunge wala si Serikali. Waambieni Wabunge wenu wawawekee taa na nyinyi kwenye majimbo yenu.Mnamwita Lisu mtetezi wa wezi kumbe na nyie ni watetezi wa majizi vile vile. Huu ni ubadhirifu, ni matumizi mabaya ya fedha za Umma kuweka kitu mahali kisipohtajika kwa kisingizio cha matumizi ya baadaye. Hiyo baadaye ni lini wakati kuna miji taa zinahtajika sasa?
Unajua maana ya kipaumbele?Majibu yetu ni mubashara kabisa, ukilinganisha na mada yenyewe.
Kawaida, taa za kuongozea Magari huwekwa barabarani, sasa iweje huyu alete thread Kama hiyo kwa kulalamika na Kama una akili uone kuwa kaleta jambo la msingi!?
Ni hali labda ya uchumi au wakandarasi ndiyo tatizo Ila barabara zinatakiwa kuwa na traffic light kila barabara inapokuwa constructed.
Huhitaji elimu ya chuo kikuu kujua hilo kuwa taa zinawekwa barabarani.
Any way, binafsi siyo sisiemu wala ukawa, I don't want to be a slave.
Mwambie akipitia lumumba kuchukua buku saba yake akuwekee jero pembeni kbsaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shida iko wapi mkuu, mimi nimekuomba tu jero.
Mambo ya taa yananihusu nini mkuu wakati mimi kipando changu ni cha asilia kabisa
hahahahaaaShida iko wapi mkuu, mimi nimekuomba tu jero.
Mambo ya taa yananihusu nini mkuu wakati mimi kipando changu ni cha asilia kabisa
Nafikiri hata madereva wenyewe hawasubiri ishara ya hizo taa,,,tugari tumojamojaZamani:Kwa juhudi za Mbunge wa Jimbo hilo, Dk. John Magufuli zimewekwa taa za kuongozea magari jimboni humo
Wahi kwa Mzee rugemalira.Msisahau kunigawia hata jero ya vocha ndugu zangu
Hilo la maji ndio jambo la kufanywa kwa muda huu na wala sio kuweka taa.Hoja zikikosa mnaibuka na vioja!!! So, mbona hamsemi barabara za lami mlizojenga kilimanjaro hadi vijijini wakati barabara ya Nyakanazi - KIGOMA hakuna???
Mbona hamsemi upelekwaji wa maji miji ya kahama toka ziwa Victoria wakati hapo CHATO, MAGU, GEITA nk watu wanaotizama ziwa wakiwa hawana maji??
CHATO sawasawa na dar, Arusha, mwanza ina haki ya kuletewa huduma za kijamii
Mi nilipita hapo chato kweli ni vitu vya ajabu magari yenyewe hakuna baada ya dk 10 ndio unaona gari linapita kwenye makutano taa za nini??? Miji kama bukoba hakuna!! Sijui walitumia kigezo gani kuziweka hizo taa huko. NdiO nakumbuka ule wimbo wa franco, MOBUTU SESEKOWaste of resource.
Singida hakuna taa,Chato taa za nini?
Kipando[emoji23] [emoji23]Shida iko wapi mkuu, mimi nimekuomba tu jero.
Mambo ya taa yananihusu nini mkuu wakati mimi kipando changu ni cha asilia kabisa
Kwa hiyo mnalipiza?basi mngelipiza kwa huduma za msingi kama maji na elimuHoja zikikosa mnaibuka na vioja!!! So, mbona hamsemi barabara za lami mlizojenga kilimanjaro hadi vijijini wakati barabara ya Nyakanazi - KIGOMA hakuna???
Mbona hamsemi upelekwaji wa maji miji ya kahama toka ziwa Victoria wakati hapo CHATO, MAGU, GEITA nk watu wanaotizama ziwa wakiwa hawana maji??
CHATO sawasawa na dar, Arusha, mwanza ina haki ya kuletewa huduma za kijamii
Unajua maana ya kipaumbele?
Hatua za kuangalia kitu ukifanye kipaumbele?