Chato kuna Trafic lights, kwanini miji mingine isiwekwe?

Chato kuna Trafic lights, kwanini miji mingine isiwekwe?

Tatizo letu Watanzania ni walalamishi sana na huwa tunapenda kukurupuka bila kufanya utafiti binafsi. Ndio maana tumefika hapa tulipo. Wewe binafsi umeshafika hiyo sehemu husika na kuziona hizo Traffic Lights!? Umesema thread umeshapata Mhemko na kuona kwamba umeonewa. Ie: Kuna thread imo humu inazungumzia Serikali kuipa Voda ruzuku. Figure halisi ilikuwa ni $ 3.4 mil ...mleta mada akaandika $ 34 mil. Halafu hiyo hela imetokea kwa wahisani kusaidia sekta ya mawasiliano vijijini. Lakini Watanzania wenzangu tunapata jazba bila kufanya utafiti. Ndio maana siku hizi magonjwa Kama Presha na sukari yanatuangamiza sana.

mkuu. nimekunukuu WEWE uliesema tunahitaji traffic lights kwa usalama hata KAMA KUNA GARI MBILI!!!
sijapinga kuweka traffic lights huko chato au chatu sijui....nimekunukuu wewe uliesema hata gari mbili traffic lights zinatakiwa.
 
Mtazamo wa nani? Kwa hiyo na wewe hapo unaona sio Jambo la kawaida kwa traffic lights kuwa barabarani kuongoza magari na waenda kwa miguu kwa usalama!? Watanzania tuna safari Ndefu Sanaa.

Usalama hauanzii barabarani ewe stiff necked. . . . . hiyo dhana ya usalama unayokomaa nayo inabadilika kutokana na hierarchy of needs. . . . . .ueleweshwe vipi. Au pentuim one???!!
 
Kaka,
Tatizo linakuja katika kupokea msaada kutoka kwa wahisani. Kuna baadhi ya projects zinakuwa na vitu Kama hivyo ndani yake...inapokuja kwenye ukaguzi wa Miradi husika wahisani wasipokuta Yale yaliyokuwa kwenye makubaliano yametekelezwa kwa ufasaha ndio tarumbeta za UFISADI zinapoanza kusikika. Kwa hiyo inawezekana kabisa katika Plan ya huko Chato Traffic lights zilikuwa inclusive. Ni Kama unavyokuta Outdoors Lights kwenye mbuga za Wanyama na wakati kuna sehemu za MAKAZI ya binadamu hamna hata umeme.
Natumaini umenielewa.....

Neither vivid nor relevant, this example is. . . . . ..
 
What's TZ reality situation if I may ask you!?
Rural-Urban dichotomy has never indicated that traffic light is a need in rural development considering both populations, by that i mean density and pressure be it ya magari au ya watu. . . . .kama unabisha bisha tu. . .
 
mkuu. nimekunukuu WEWE uliesema tunahitaji traffic lights kwa usalama hata KAMA KUNA GARI MBILI!!!
sijapinga kuweka traffic lights huko chato au chatu sijui....nimekunukuu wewe uliesema hata gari mbili traffic lights zinatakiwa.
Basi sawa....msalimie shemeji hapo.
 
Usalama hauanzii barabarani ewe stiff necked. . . . . hiyo dhana ya usalama unayokomaa nayo inabadilika kutokana na hierarchy of needs. . . . . .ueleweshwe vipi. Au pentuim one???!!

There you go at your very best....using big words with an empty brain is a hell of a dangerous combo. I rest my case.
 
There you go at your very best....using big words with an empty brain is a hell of a dangerous combo. I rest my case.

Big words from an empty brain. . . . . .Is this a rhetoric or a mere contradiction??!!
Both you and the case of yours may rest. . . . .but the fact will remain
 
Magufuli kapeleka lami mpaka mlangoni kwake, wewe angalia alipokatisha ile kona lami toka geita ilipofika bwanga ikakata kona kuelekea buzirayombo na chato, Kwanini hajaunga ikaenda buziku na biharamulo? Jamaa anatazama kwao tu, hafai kabisa
 
ImageUploadedByJamiiForums1439124028.238700.jpg
attachment.php

Hii ndio hali halisi ya CHATO Magufuli kaweka kwao taa za kuongozea magari akiwa waziri,Tujiulize kwa ubinafsi huu huyu mtu akiwa rais itakuwa je?

Ipo mikoa inamahitaji makubwa ya taa za kuongozea magari kama Morogoro, Dodoma, Iringa n.k.

Lakini cha kushangaza Dr Magufuli kapeleka taa hizi wilayani, Huu ni ubinafsi

Na nchi hii haitaji rais mbinafsi hata kidogo.Tunaitaji rais wa wananchi wote.

Lowassa akiwa waziri alishughulika na matatizo ya watz wote,Na huyo ndiye mtu anafaa kuliongoza taifa kwa sasa.
 
kuna namna tutakavyofanya soon maana hii ni balaa sasa
 
View attachment 274615
Hii ndio hali halisi ya CHATO Magufuli kaweka kwao taa za kuongozea magari akiwa waziri,Tujiulize kwa ubinafsi huu huyu mtu akiwa rais itakuwa je?
Ipo mikoa inamahitaji makubwa ya taa za kuongozea magari kama Morogoro,Dodoma,Iringa n.k.
Lakini cha kushangaza Dr magufuli kapeleka taa hizi wilayani,Huu ni ubinafsi
Na nchi hii haitaji rais mbinafsi hata kidogo.Tunaitaji rais wa wananchi wote.

Kwani taa ni sh ngapi? Akiwa Rais ataipendelea Tz nzima. Chato ina hispital nzuri toka 2000's ina barabara ya lami toka 2000's. Anajitahidi sana mlikua mnamsema Membe kwa kushindwa kuleta maendeleo kwao.
 
attachment.php

Hii ndio hali halisi ya CHATO Magufuli kaweka kwao taa za kuongozea magari akiwa waziri,Tujiulize kwa ubinafsi huu huyu mtu akiwa rais itakuwa je?

Ipo mikoa inamahitaji makubwa ya taa za kuongozea magari kama Morogoro, Dodoma, Iringa n.k.

Lakini cha kushangaza Dr Magufuli kapeleka taa hizi wilayani, Huu ni ubinafsi

Na nchi hii haitaji rais mbinafsi hata kidogo.Tunaitaji rais wa wananchi wote.

Hii ni kazi ya halmashauri kwa kutumia ushuru wanaokusanya kutoka maegesho ya magari katika stendi ya chato, muulizeni mnyika mapato ya stand ya ubungo kafanyia nini kwa wana ubungo?
 
Huko ndio nasikia tetesi alibadili njia ya rami badala ya kupita ilipopangwa akaipitishia kwao.

Pa1 na hayo wananchi wa chato hawampendi anajifanya mungumtu anawatukana hovyo, Aliwaambia wanye mavi wapake barabara iwe lami, yani huyu mkurupukaji HAFAI. Subiri Lowassa akienda Chato ndio mtajionea mafuriko halisi.
 
Taa huwekwa kwa ajili ya kuongoza magari/ kuweka usawa katika matumizi ya barabara kuepusha ajali! ivo cdhan kama ni issue kuwekwa taa za brbrn wilayan! tulisha kalili taa hadi kwenye msongamano wenzetu hata kama gar mbili hupita! hata kijijini uweza kuweka taa za barabarani!
 
Kwani taa ni sh ngapi? Akiwa Rais ataipendelea Tz nzima. Chato ina hispital nzuri toka 2000's ina barabara ya lami toka 2000's. Anajitahidi sana mlikua mnamsema Membe kwa kushindwa kuleta maendeleo kwao.

Taa za barabarani haziwekwi kiholela. Kama wingi wa magari ni wakutosha ni halali kuweka taa hata kama JPM amependelea kata yake. Kama magari ni machache mhandisi alieshiriki kwenye mradi huo anatakiwa apigwe chini kwasababu si salama kwa watumiaji wa barabara.
 
Hii ni kazi ya halmashauri kwa kutumia ushuru wanaokusanya kutoka maegesho ya magari katika stendi ya chato, muulizeni mnyika mapato ya stand ya ubungo kafanyia nini kwa wana ubungo?

Unaijua stendi ya Chato na idadi ya magari yanayopaki kwa siku? Kwa wasiofahamu Chato ni kijiji kilichopewa hadhi ya makao makuu ya wilaya kwa mabavu (hakikuwa na sifa hiyo) kwa ajili ya uswahiba wa magufuli na Mkapa nukta. Wakti mwingne unafika stendi hakuna gari hata moja unasubiri. Leta uwongo mwingne.
 
sasa humo Chatu kwao kufuli Kuna msongamano wa Gari,Anglia vipaumbele we Gamba dogo
 
Back
Top Bottom