Chato kuna Trafic lights, kwanini miji mingine isiwekwe?

Chato kuna Trafic lights, kwanini miji mingine isiwekwe?

Hata ng'ombe zinastahili kuvuka kwa usalama , nyinyi madereva mkishalewa mnagonga mifugo ya watu bila huruma .
 
Wewe inakuuma nini?? Mlizoea maendeleo yaende kwenu tu kaskazini?? Kwenu kuna viwanja vitatu eneo moja Arusha, KIA na Moshi mbona hatukulalamika acheni wivu wa kijinga!!
Kaka UCD afadhali unisaidie katika mchango wa mawazo, yale maghorofa marefu ya New York na Ulaya yalijengwa miaka ile wakati treni zikiwa ni zile za kutumia kuni lakini waliojenga walitazama kesho na kesho kutwa.

Ukisema eti usiwe na miundo mbinu ya maendeleo kwa sababu ya kuitazama leo tu basi hao wana chato ya miaka 30 au 50 ijayo watamshangaa sana JPM kwa kufikia hadhi ya urais halafu akashindwa kuacha nyuma yake legacy itakayodumu.

Kaskazini wamefanya mengi sana ya kimaendeleo, na wakiwa kwenye michakato ya utafutaji wa maendeleo walikuwa tayari kabisa kuziba masikio ili wasisikie lawama kutoka kwa watu wa pande zingine za nchi hii. Sihamaishi siasa za ukanda, hapana, nachokifanya ni kuhamasisha wasomi wa nchi hii wazijenge sehemu walizozaliwa na kukulia, kwa faida ya vizazi vijavyo.

Hapa duniani tuna muda mchache sana.
 
Kwakweli ukisoma michango ya watu unajua kabisa IQ ya baadhi ya watanzania bado inatambaa kabisa na haijulikani itasimama lini, yani unajadili taa za barabarani kuwekwa chato? Ni kukosa exposure au ujinga, ? Ulaya taa za barabarani zipo hadi huko mnakokuita vijijini.
 
Chatto Kuna magari machache kuliko Singida huo ndio ukweli na hakuna hizo taa,
Anachojaribu kujenga jiji fulani hivi kama Mobutu alivyojaribu kwao Gbadolite au Boigny kwao Yamasoukro
Hawa madikteta waliofurumishwa madarakani na hayo majiji fake yalikufa

Historia nwalimu mzuri hata hili jiji tatajiwa ni upotevu wa kodi zetu bure
 
Chatto Kuna magari machache kuliko Singida huo ndio ukweli na hakuna hizo taa,
Anachojaribu kujenga jiji fulani hivi kama Mobutu alivyojaribu kwao Gbadolite au Boigny kwao Yamasoukro
Hawa madikteta walipofurumishwa madarakani na hayo majiji fake yalikufa

Historia mwalimu mzuri hata hili jiji tarajiwa ni upotevu wa kodi zetu bure
 
Taa huwekwa kwa ajili ya kuongoza magari/ kuweka usawa katika matumizi ya barabara kuepusha ajali! ivo cdhan kama ni issue kuwekwa taa za brbrn wilayan! tulisha kalili taa hadi kwenye msongamano wenzetu hata kama gar mbili hupita! hata kijijini uweza kuweka taa za barabarani!
Maoni yako ni yale mwandishi maarufu Shakespeare anayaita
CODSWALLOP
 
Kwakweli ukisoma michango ya watu unajua kabisa IQ ya baadhi ya watanzania bado inatambaa kabisa na haijulikani itasimama lini, yani unajadili taa za barabarani kuwekwa chato? Ni kukosa exposure au ujinga, ? Ulaya taa za barabarani zipo hadi huko mnakokuita vijijini.

..wangeweka 4-WAY STOP SIGN.

..kuweka traffic lights ktk eneo hilo ni kutumia vibaya fedha za maendeleo.

NB.

..vipi Airport ya Mwanza uliyokuwa unaipigia kelele ujenzi wake kusuasua?

..Je ni kweli fedha zimeelekezwa kujenga International airport kijijini kwa mtukufu badala ya Mwanza?
 
Vizuri sana kama wakuu wa mikoa na halmashauri za huko zinatenda kazi kwa kuendeleza wanaposismamia.

Sasa na wa huko kwenu wasukumeni watende hayo.
 
Huelewi concept yaani tatizo hujui logic.

Logic iko hivi
Kama 'A' ni bora na 'A' na 'B' ni marafiki , Basi 'C'akiwa rafiki wa 'B' naye ni bora.

Nimekuandikia hivyo maana naona akili yako bado ni ya kitoto sana.

Nimetoa mifano kuwa nchi Kama hizo barabara haiwezi kufunguliwa bila taa, ndiyo maana kama chato wameweka taa Basi wamezingatia international road safety.

Sasa akili yako kwa sababu imeisha wekewa akili za mgando na kila jambo ni kupinga kila uonalo utapinga tu.

Nikukumbushe, Mimi siyo sisiemu wala ukawa. I don't want to be a slave of politicians

this is luck of country priorities
 
..wangeweka 4-WAY STOP SIGN.

..kuweka traffic lights ktk eneo hilo ni kutumia vibaya fedha za maendeleo.

NB.

..vipi Airport ya Mwanza uliyokuwa unaipigia kelele ujenzi wake kusuasua?

..Je ni kweli fedha zimeelekezwa kujenga International airport kijijini kwa mtukufu badala ya Mwanza?
Mkuu, taa za barabaran zinasimamiwa na halmashauri ya mji. Serikali za mitaa chini ya baraza la madiwan ndio huamua kuweka taa barabaran na wala serikali kuu. Mkiwa na mbunge mzuri akasimamia mapato vizuri na makusanyo yakawa mazuri , kila halmashaur inaweza kufanya mambo mengi ambayo hayapo kwenye majimbo mengi.

Tatizo tunaendekeza rushwa na kujuana sehem zetu zote za kazi. Wenzetu wakifanikisha jambo tunaona ni upendeleo. Kwani taa za barabaran zinazotumia sola ni tsh ngapi. Au we unadhan taa zinatakiwa kuwa Dar tu.
 
Labda hujui road safety !?

Basi. tambua kuwa jambo mojawapo ni traffic lights

Mfano njoo, Ulaya, USA, Japan yaani barabara bila taa haiwezi kufunguliwa.

Kwa hiyo, taa za barabarani huwa siyo jambo la kuwekea kigugumizi bali ni lazima ziwepo mara tu ujenzi wa barabara unapoisha.

Taa za kuongozea Magari kwenye barabara yoyote ile ni sawa na samaki na maji havitenganishwi.
Hii mifano yenu ya Ulaya na USA, wakati mwingine muwe mnaiacha huko huko.. Changamoto za Ulaya na USA yako ni tofauti kabisa na huku Afrika. (Afrika) Bado tunamahitaji makubwa sana na changamoto ni zaidi ya hizo taa za barabarani. Mgawanyo wa rasilimali pamoja na matumizi ya pesa ya umma lazima yaende pahala ambapo kuna uhitaji mkubwa si sababu fulani katoka huko.
 
Mkuu, taa za barabaran zinasimamiwa na halmashauri ya mji. Serikali za mitaa chini ya baraza la madiwan ndio huamua kuweka taa barabaran na wala serikali kuu. Mkiwa na mbunge mzuri akasimamia mapato vizuri na makusanyo yakawa mazuri , kila halmashaur inaweza kufanya mambo mengi ambayo hayapo kwenye majimbo mengi.

Tatizo tunaendekeza rushwa na kujuana sehem zetu zote za kazi. Wenzetu wakifanikisha jambo tunaona ni upendeleo. Kwani taa za barabaran zinazotumia sola ni tsh ngapi. Au we unadhan taa zinatakiwa kuwa Dar tu.

..mbunge naye si ni mjumbe wa vikao vya maamuzi ktk eneo husika?

..na mbunge akiwa mkubwa-mkubwa basi ushauri wake huwa na nguvu ktk vikao hivyo.

..mimi naamini ktk maendeleo ya WATU. Siamini ktk maendeleo ya VITU.

..Bado sijashawishika kwamba traffic lights ni hitaji muhimu kwa wananchi wa kijiji cha Chato.
 
Magufuli mfi jaji wa ras ili mali kaenda mighorota ya mama yake kwa kodi zetu sasa a napereka mengi wa tra chato ikiwa wilaya maskini mno taa za barabarani ni kuwafurahisha ndugu zake waendelee kumchagua
 
TAA ZA KUONGOZEA MAGARI CHATO!!!!!KWA MAGARI GANI YALIYOPO??!!
 
Mkuu, taa za barabaran zinasimamiwa na halmashauri ya mji. Serikali za mitaa chini ya baraza la madiwan ndio huamua kuweka taa barabaran na wala serikali kuu. Mkiwa na mbunge mzuri akasimamia mapato vizuri na makusanyo yakawa mazuri , kila halmashaur inaweza kufanya mambo mengi ambayo hayapo kwenye majimbo mengi.

Tatizo tunaendekeza rushwa na kujuana sehem zetu zote za kazi. Wenzetu wakifanikisha jambo tunaona ni upendeleo. Kwani taa za barabaran zinazotumia sola ni tsh ngapi. Au we unadhan taa zinatakiwa kuwa Dar tu.
Bei yake ndogo hsta milioni thelathini haifiki tatizo ninaloona hapa ni wivu wa maendeleo na chuki binafsi..
 
Back
Top Bottom