Chatanda azua tena mvutano CCM, Chadema Arusha

Chatanda azua tena mvutano CCM, Chadema Arusha

KWANI UMESIKIA jASUSI ANACHAGUA KUWA DIWANI AU MBUNGE???YEYE TAYARI NI JASUSI NA ANAKULA KUTOKANA NA UJASUSI HAYAO YA UDIWANI NA UKUU WA NYUMBA KUMI HAUMUHUSU SANA YEYE KAZI YAKE INAMLISHA,FUNGUA UBONGO KWANI JOHN GARANG NI NANI ?YULE ALIYEMUUA CHACHA WANGWE ALIKUWA NANI KWENYE JAMII SI TAKATAKA TUU KWA ZUHURA AKBARI HAJI?

WA WAPI WEWE?? EMBU USIJE MJINI UTALETA SHIDA HAPA.

Mimi wa hapahapa mjini tena naujua mji kupita wewe pengine mmezidi kutengeneza conspiracy theory zisizo na msingi just kujenga chuki kwa watu msiowapenda. Wewe unawajua majasusi au unawasikia? Hebu tuondolee thread za kijinga kama hizi lete vitu vya maana otherwise kama unadata za maana ndio tudiscuss venginevyo naona kama mnamuandama dada asiye nahatia tu.
 


Jasusi gani anakuwa na mambo ya kijinga hivyo, Unataka kuniambia na kisomo chake hicho anakuja lilia udiwani wa kulazimisha huko Arusha? basi atakuwa ni punguani huyo dada ni juha nae.

Kwa mwana siasa makini hawezi kuja lazimishia huo udiwani wa kutaka kupiga kura kwani yeye sasa anatakiwa piga kura Tanga sasa CCM watuambie kama Chitanda ana haki kikatiba kupiga hiyo kura ya kumchagua diwani.

Yeye hapo alipo ni mbuge sidhani anahaki tena kuwa Katibu wa CCm huko Arusha, eg Dar mpaka sasa sijui kama ina mkuu wa mkoa na Lukuvi ndio kisha kuwa waziri je anastahili kuja kujibu hijo pale oficen kwa mkuu wa mkoa? nini maana ya ukaimu wa cheo fulani? CCM wasitake kuwafanya wana CCM wengini ni mapunguani wanachokifanya hao viongozi wa juu ndani ya CCM wasijifanye wao ndo wenye chama hicho wanaharibu kabisa kwa wale wano kipenda na kukifanya watu wakikimbie sababu ya maozo yao kama haya ya akina jasusi Chitanda

Ni aibu cham kinapisha matamko kila kukicha inamaaana hapo tayari chama kina mgawanyiko mkubwa sana ila wanajifanya hawauoni ila siku ikifika wasije kimbia

Asante mkuu wanafikiri wanaweza kuchezea taaluma za watu laiti ingelikuwa UWT inafanya kazi sawa sawa msingelikaa hapa JF kubwabwaja tu na kutusi viongozi wa nchi jamani tuwe critical thinkers tuchambue mambo kwa undani na sio kutengeneza chuki zisizo na mpango.
 
why don't we Rest her in Peace; inaudhi sana
 
jamani naombeni tu picha ya huyu mama/ baba mary chatanda kama ipo wadau plz am desperate!!!!

angalia usije ukaletewa picha ya babaa mwenye heshima serikalini ukawa sapraizd kama sio shocked. Si bure hata chenge hakuwa na jeuri hii.
 
Mbona huyo mama anapayuka hivyo?Kama viongozi wenyewe ndo hawa...ahhh hasara tupu!
 
Polisi,

Unaweza kutumia vifungu hivi ambavyo viko kwenye taarifa ya katibu ya bunge baada ya kuombwa ufafanuzi.

Kulikuwa na madai mawili Arusha. CCM walikuwa wanapinga mama wa viti maalum CHADEMA asipige kura kuchagua meya kwasababu alikuwa hajaapishwa bungeni. Nafikiri ni wale mama walioteuliwa mwisho wakati bunge linafungwa. CHADEMA wao walikuwa wanampinga Chatanda kwamba ni mbunge viti maalum Tanga.

Madai yote mawili yalitupwa. Mbunge kama hajaapishwa haruhusiwi kushiriki majadiliano bungeni lakini anaruhusiwa kutimiza majukumu yake mengine yote kama mbunge. Hivyo alikuwa na sifa ya kushiriki kuchagua meya. Hivyo hivyo hilo dai la Chadema nalo likatupwa kwa sababu ambazo nimezieleza hapo juu.

Taarifa yenyewe ni kama hapa chini:

Naibu Katibu wa Bunge Bw. Eliakim P. M. Mrema alitoa ufafanuzi kwa barua yake Kumb. Na. CEB.77/155/01/79 ya Desemba 17, 2010, akiarifu kuwa kwa mujibu wa Kanuni ya 23 na 30(4) ya Kanuni za Bunge (2007); Ibara ya 59(1) na 66(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; kifungu cha 44, 81 na 86A(6) cha Sheria ya Taifa ya uchaguzi Sura ya 343 na kifungu cha 24(1)(d) cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Miji) sura ya 288 na Sheria Na.13 ya mwaka 2006, wabunge hao wawili ni wajumbe halali wa Halmashauri ya Manispaa ya Arusha baada ya kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi na kupangiwa na vyama vyao – Halmashauri ya Manispaa ya Arusha.

nimekupata vizuri mkuu. bahati nzuri ccm arusha wamesema wanasubiri tamko la ofisi ya waziri mkuu ambaye ndo mwenye dhamana ya serikali za mitaa.
 
huyu mama akili zake haizipo sawasawa, hata kidogo, atakuwa anamatatizo makubwa
 
Nafikiri inabidi tuwe makini na lugha iliyotumika pia. Kuruhusiwa kutumika kwenye halmashauri haikupi ticketi ya kupiga kura au kufanya maamuzi fulani. Kuna watu wengi wanatumika kwenye halmashauri lakini wanaoruhusiwa kupiga kura au kufanya maamuzi/chaguzi ni wale tu wanaotajwa kwenye sheria hizo.


maelezo mazuri sana. Hivi ndo inabidi tujibizane kwa ufahamu wa kanuni, mazoea n.k. Katika maelezo umesema sheria inaruhusu mbunge wa VM kuchagua halmashauri ya kutumikia, ni sheria gani hiyo mkuu?
 
Mary Chitanda kiboko, ha ha ha haaaaaa.

Kama nawaona vile hao waandishi wa habari wanavyotimua mbio baada ya kutimuliwa. hahahaaaaaa. Waandishi wa habari.

Waandishi wa habari nao wana umoja feki. Kwanini wenzao walipofukuzwa hawakuamua kukisusia hicho kikao na kuondoka wote? Waandishi wa habari wenyewe wanajidharirisha kwa kutokuwa na umoja. Au waliogopa wakiondoka basi watazikosa hizo bahasha za rangi ya udongo?

Tiba
 
Mimi wa hapahapa mjini tena naujua mji kupita wewe pengine mmezidi kutengeneza conspiracy theory zisizo na msingi just kujenga chuki kwa watu msiowapenda. Wewe unawajua majasusi au unawasikia? Hebu tuondolee thread za kijinga kama hizi lete vitu vya maana otherwise kama unadata za maana ndio tudiscuss venginevyo naona kama mnamuandama dada asiye nahatia tu.

we wa mji gani?nilikuwa sina maana hiyo usije mjini maana yake ni pana sio kama akili yako ilivyokutuma kichakani ,kweli wewe wa mjini
 
ni chakula ya nani mbona jeuri hivi?

hii ni tashtiti, kwani ni nani kidudu dinda kwenye serikali anawafanya hawa waakina mama kuwa na jeuri baada ya kutembea nao????
mbona anajulikana jamani
 
Huyu mama kachanganyikiwa kwa sababu jimbo la arusha mjini limepotea chini ya uongozi wake.

SAFI hujakosea ni kuwa sasa anataka kuionyeshea kuwa CCM haiwezi kushindwa na udiwani pia ni kisebusebu huyo Chitanda jamani.Eti anataka kujitakasa huku mbingu zishafungwa uliona wapi hiyo. huyu mama anatafuta umaarufu amabao hato upata ni bali kuaibika ndio kutakuwa kwingi sana.


 
Mkulima said:
Taarifa yenyewe ni kama hapa chini:

Naibu Katibu wa Bunge Bw. Eliakim P. M. Mrema alitoa ufafanuzi kwa barua yake Kumb. Na. CEB.77/155/01/79 ya Desemba 17, 2010, akiarifu kuwa kwa mujibu wa Kanuni ya 23 na 30(4) ya Kanuni za Bunge (2007); Ibara ya 59(1) na 66(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; kifungu cha 44, 81 na 86A(6) cha Sheria ya Taifa ya uchaguzi Sura ya 343 na kifungu cha 24(1)(d) cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Miji) sura ya 288 na Sheria Na.13 ya mwaka 2006, wabunge hao wawili ni wajumbe halali wa Halmashauri ya Manispaa ya Arusha baada ya kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi na kupangiwa na vyama vyao – Halmashauri ya Manispaa ya Arusha

Kwa mujibu wa taarifa hiyo Chitanda ni mbunge Halali wa Halmashauri ya Tanga sasa anatafuta nini huko Arusha??? au
 
Mkuu inabidi usome vizuri hayo maneno "wabunge hao wawili ni wajumbe halali wa Halmashauri ya Manispaa ya Arusha baada ya kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi na kupangiwa na vyama vyao – Halmashauri ya Manispaa ya Arusha"

Ina maana CCM walichokifanya nao ni KUMPANGIA Chatanda Halmashauri ya Manispaa ya Arusha.

Ila Keil ndiye anachanganya watu na maelezo yake kuwa huyu Mama alichaguliwa na UWT mkoa wa Tanga. Inabidi aende akawawakilishe akina mama wa Tanga na sasa hatafanya hivyo ila atakuwa akiwakilisha Arusha. Hapa inakuwa kama tunataka kutumia KANUNI za Bunge katika kuwalazimisha CCM.

Kila chama kina UTARATIBU wake wa kupata Wabunge wa Kuteuliwa. Sasa wakishapatikana ndiyo wanatambulishwa na kupewa HALMASHAURI zao watajazofanyia kazi. CHADEMA walijiwekea POINT zao na CCM wanapigiana KURA.

Dawa ni KUWAWEKA chini hawa Wabunge na Madiwani wa KUTEULIWA.

Kama kuna utaratibu wa NYONGEZA za Madiwani au Wabunge basi walau itumike kigezo kama "Waliopata ASILIMIA nyingi kwenye uchaguzi ila wakashindwa basi hawa wapatiwe Ubunge wa Kuteuliwa au Udiwani. Mfano unakuta TOFAUTI ya kura ni kama 0.5% au 1% basi huyu ndiye anakuwa mbunge wa KUTEULIWA.

Siyo mtu anafungua Miguu kitandani na anaTEULIWA. Mtu anakubali kuwasaidia Mafisadi na anateuliwa. Waufanyie kazi walau.


Kwa mujibu wa taarifa hiyo Chitanda ni mbunge Halali wa Halmashauri ya Tanga sasa anatafuta nini huko Arusha??? au
 
Back
Top Bottom