Chatanda azua tena mvutano CCM, Chadema Arusha

Kwa tetesi nilizo nazo,CCM wamempeleka Merry Chitanda Arusha kwa sababu maalum za kuchunguza na kutafuta jinsi ya kuua upinzani pale.

Mama huyu ambaye anatumia jina la kikristo maalumu ili kuifluence na kupata huruma ya wananchi wa mikoa ya kaskazini ambao wengi wao ni wakristo ana historia mbaya sana

Kwanza jina lake halisi ni Zuhura Akbari Haji,na inasemekana ni raia wa Sudani Kusini katika kitongoji cha Kian katika jimbo la Warrap.

Merry Chatanda alisoma katika chuo cha Ujasusi Misri miaka ya 90 na kujiunga na mafunzo maalumu huko Urusi na Yugoslavia

Huyu mama ni hatari na CHADEMA mumuangalie vizuri hapa Arusha

kama kuna mtu ana details zaidi za huyu mama tafadhali azimwage hapa nitaendelea kuwapa jinsi nitakavyopata.

Ahsante mkuu. Kumbe ni mkimbizi Jasusi? Ndio anawapeleka Watz kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe? Kweli Makamba na Jk hamna aibu. Afadhali tunajua adui yetu ni nani? Hivi yule Mkimbizi mwingine KINANA naye yuko wapi?
 
Ziko tetesi kuwa,CCM wamempeleka Zuhura Akbari Haji aka Merry Chitanda Arusha kwa sababu maalum za kuchunguza na kutafuta jinsi ya kuua upinzani pale.

Mama huyu ambaye anatumia jina la kikristo maalumu ili kuifluence na kupata huruma ya wananchi wa mikoa ya kaskazini ambao wengi wao ni wakristo ana historia mbaya sana

Kwanza jina lake halisi ni Zuhura Akbari Haji,na inasemekana ni raia wa Sudani Kusini katika kitongoji cha Kian katika jimbo la Warrap.Na alishiriki katika mauaji ya John Garang aliekuwa kiongozi wa SPLA Julai 30 2005

Merry Chatanda alisoma katika chuo cha Ujasusi Misri miaka ya 90 na kujiunga na mafunzo maalumu huko Urusi na Yugoslavia

Huyu mama ni hatari na CHADEMA mumuangalie vizuri hapa Arusha

kama kuna mtu ana details zaidi za huyu mama tafadhali azimwage hapa nitaendelea kuwapa jinsi nitakavyopata.
Jomba we niwekee picha yake tu hapa(snap or group photo)..
Nimeitafuta kwa muda mrefu sana siipati!
Kitakachofuata mtakiona!
 
nI NGUMU SANA KUPATA PICHA YAKE NAFIKIRI NI MASUALA YA KIJASUSI HAYO HATA KWENYE MITANDAO HAMNA PICHA YAKE NI HATARI SANA NIMEPATA DETAILS NYINGI ZAIDI NAZIFANYIA KAZI KABLA YA KUZIPOST HAPA
 
Mkuu zifanyie kazi ili utupatie habari timilifu na sio tetesi
Thanks
 
Mkuu hivi hii ni kweli??? Sababu kuna siku kuna mtu alinidanganya kwamba Rostam ameshikwa Malaysia mpaka nikampa Thanks yangu alafu haikuwa kweli...

JE MKUU HII NI KWELI NIAMBIE NIKUPE THANKS.......,
 
Ziko tetesi kuwa,CCM wamempeleka Zuhura Akbari Haji aka Merry Chitanda Arusha kwa sababu maalum za kuchunguza na kutafuta jinsi ya kuua upinzani pale.

Mama huyu ambaye anatumia jina la kikristo maalumu ili kuifluence na kupata huruma ya wananchi wa mikoa ya kaskazini ambao wengi wao ni wakristo ana historia mbaya sana

Kwanza jina lake halisi ni Zuhura Akbari Haji,na inasemekana ni raia wa Sudani Kusini katika kitongoji cha Kian katika jimbo la Warrap.Na alishiriki katika mauaji ya John Garang aliekuwa kiongozi wa SPLA Julai 30 2005

Merry Chatanda alisoma katika chuo cha Ujasusi Misri miaka ya 90 na kujiunga na mafunzo maalumu huko Urusi na Yugoslavia

Huyu mama ni hatari na CHADEMA mumuangalie vizuri hapa Arusha

kama kuna mtu ana details zaidi za huyu mama tafadhali azimwage hapa nitaendelea kuwapa jinsi nitakavyopata.

Mshaanza na conspiracy zenu kama mlivyotaka jamii ikuaminini kuhusu Zitto kwendeni huko kama ni Jasusi kimpango wake kama yeye ni Zuhura sasa kuna ana ajabu gani akiitwa Mary sasa. Halafu mnafurahisha mnadai alishiriki katika kumuua John Garang halafu kaja CCM na kuwa diwani!!!! yaani hata kuitengeneza habari ikae vizuri umeshindwa .
 
Nadhani watu wa Tanga wanaweza kuwa wa msaada zaidi kwakuwa ndiko anakosemekana kuishi na kupatia ubunge wa viti maalum na kuhamishiwa arusha kwa kazi maalum.

Wanatanga tusaidieni kutatua huu utata, kuna mtu yeyote anamfahamu marry chatanda a.k.a zuhura haji?
 
Ziko tetesi kuwa,CCM wamempeleka Zuhura Akbari Haji aka Merry Chitanda Arusha kwa sababu maalum za kuchunguza na kutafuta jinsi ya kuua upinzani pale.

Mama huyu ambaye anatumia jina la kikristo maalumu ili kuifluence na kupata huruma ya wananchi wa mikoa ya kaskazini ambao wengi wao ni wakristo ana historia mbaya sana

Kwanza jina lake halisi ni Zuhura Akbari Haji,na inasemekana ni raia wa Sudani Kusini katika kitongoji cha Kian katika jimbo la Warrap.Na alishiriki katika mauaji ya John Garang aliekuwa kiongozi wa SPLA Julai 30 2005

Merry Chatanda alisoma katika chuo cha Ujasusi Misri miaka ya 90 na kujiunga na mafunzo maalumu huko Urusi na Yugoslavia

Huyu mama ni hatari na CHADEMA mumuangalie vizuri hapa Arusha

kama kuna mtu ana details zaidi za huyu mama tafadhali azimwage hapa nitaendelea kuwapa jinsi nitakavyopata.

Jasusi gani anakuwa na mambo ya kijinga hivyo, Unataka kuniambia na kisomo chake hicho anakuja lilia udiwani wa kulazimisha huko Arusha? basi atakuwa ni punguani huyo dada ni juha nae.

Kwa mwana siasa makini hawezi kuja lazimishia huo udiwani wa kutaka kupiga kura kwani yeye sasa anatakiwa piga kura Tanga sasa CCM watuambie kama Chitanda ana haki kikatiba kupiga hiyo kura ya kumchagua diwani.

Yeye hapo alipo ni mbuge sidhani anahaki tena kuwa Katibu wa CCm huko Arusha, eg Dar mpaka sasa sijui kama ina mkuu wa mkoa na Lukuvi ndio kisha kuwa waziri je anastahili kuja kujibu hijo pale oficen kwa mkuu wa mkoa? nini maana ya ukaimu wa cheo fulani? CCM wasitake kuwafanya wana CCM wengini ni mapunguani wanachokifanya hao viongozi wa juu ndani ya CCM wasijifanye wao ndo wenye chama hicho wanaharibu kabisa kwa wale wano kipenda na kukifanya watu wakikimbie sababu ya maozo yao kama haya ya akina jasusi Chitanda

Ni aibu cham kinapisha matamko kila kukicha inamaaana hapo tayari chama kina mgawanyiko mkubwa sana ila wanajifanya hawauoni ila siku ikifika wasije kimbia
 
Mshaanza na conspiracy zenu kama mlivyotaka jamii ikuaminini kuhusu Zitto kwendeni huko kama ni Jasusi kimpango wake kama yeye ni Zuhura sasa kuna ana ajabu gani akiitwa Mary sasa. Halafu mnafurahisha mnadai alishiriki katika kumuua John Garang halafu kaja CCM na kuwa diwani!!!! yaani hata kuitengeneza habari ikae vizuri umeshindwa .

KWANI UMESIKIA jASUSI ANACHAGUA KUWA DIWANI AU MBUNGE???YEYE TAYARI NI JASUSI NA ANAKULA KUTOKANA NA UJASUSI HAYAO YA UDIWANI NA UKUU WA NYUMBA KUMI HAUMUHUSU SANA YEYE KAZI YAKE INAMLISHA,FUNGUA UBONGO KWANI JOHN GARANG NI NANI ?YULE ALIYEMUUA CHACHA WANGWE ALIKUWA NANI KWENYE JAMII SI TAKATAKA TUU KWA ZUHURA AKBARI HAJI?

WA WAPI WEWE?? EMBU USIJE MJINI UTALETA SHIDA HAPA.
 
Ni kweli wengi au ukiwa katika harakati za kijasusi au usalama wa Taifa hutakiwi uonekane kwenye picha , uwe mgumu sana kupigwa picha au ukiona picha inapigwa ukimbie mbali au ugeuze uso.
 
62d80062-ad3e-4b87-8895-3b85c50a1fa4.jpg

MASSELE MABUMBA SYLVESTER DOLE-CCM

d2dbc946-41c1-4739-b765-b94010318521.jpg

MATHIAS MEINRAD CHIKAWE NACHINGWEA-CCM

Records 211 to 220 of 343 First Previous Next Last

Huyu Mary Pius Chatanda ni mwanamke hatari sana kwa mstakabali wa Taifa letu.
Yeye NDIYE CHANZO CHA MGOGORO NA MAUAJI YA WATU WALIOKUFA JUZI kwenye maandamano ya CHADEMA kupinga Uchaguzi bandia wa Meya Jiji la ARUSHA.

Huyu mwanamke ni mamluki wa CCM. Amekodishwa na amelipwa kwa kazi maalumu pale Arusha mjini. CHADEMA watch out. Huyu anaweza kuhatarisha hata maisha ya Viongozi waandamizi wa CHADEMA.

Kuthibisha kuwa huyu MWANAMKE NI HATARI HATA PICHA YAKE(sura) bado haijawekwa kwenye mtandao wa Website ya Bunge. Inaonekana kuna kusudi maalumu. Hataki kujulikana kwasababu za KI-ITELINJENSIA kama alivyotaka kutuaminisha IGP mwema.

CCM/KIKWETE naomba URAIA wa huyu mwanamke uchunguzwe na ikibainika si raia halali basi atimuliwe kazi ya Ukatibu Mkuu wa CCM Mkoa wa Arusha na apewe repatriation. Hafai na ni wa kuogopa kama UKOMA.
 
huyu mama hana hatia she was right for what she did, so tuache kujazana ujinga na uongo tujenge nchi
 
Jasusi gani anakuwa na mambo ya kijinga hivyo, Unataka kuniambia na kisomo chake hicho anakuja lilia udiwani wa kulazimisha huko Arusha? basi atakuwa ni punguani huyo dada ni juha nae.

Kwa mwana siasa makini hawezi kuja lazimishia huo udiwani wa kutaka kupiga kura kwani yeye sasa anatakiwa piga kura Tanga sasa CCM watuambie kama Chitanda ana haki kikatiba kupiga hiyo kura ya kumchagua diwani.

Yeye hapo alipo ni mbuge sidhani anahaki tena kuwa Katibu wa CCm huko Arusha, eg Dar mpaka sasa sijui kama ina mkuu wa mkoa na Lukuvi ndio kisha kuwa waziri je anastahili kuja kujibu hijo pale oficen kwa mkuu wa mkoa? nini maana ya ukaimu wa cheo fulani? CCM wasitake kuwafanya wana CCM wengini ni mapunguani wanachokifanya hao viongozi wa juu ndani ya CCM wasijifanye wao ndo wenye chama hicho wanaharibu kabisa kwa wale wano kipenda na kukifanya watu wakikimbie sababu ya maozo yao kama haya ya akina jasusi Chitanda

Ni aibu cham kinapisha matamko kila kukicha inamaaana hapo tayari chama kina mgawanyiko mkubwa sana ila wanajifanya hawauoni ila siku ikifika wasije kimbia

NILIKUWA NAFUATILIA MAELEZO YAKO HAPA MARA KWA MARA NIKAJUA LABDA UNA AKILI KIDOGO KUMBE NILIKUWA NAKOSEA SANA,

SIKILIZA JASUSI NI JASUSI ANAWEZA AMUA KUWA CHIZI KWA MIAKA MINANE ILI TUU AlIPUE UBALOZI WA MAREKANI HAPA,HAIJALISHI NAFASI ALIYO NAYO ISSUE NI NANI,TANGA HAWAMJUI VIZURI,ARUSHA HAJULIKANI KABISA,SUDANI KUSINI KATIKA JIMBO LA WARRAP ZUHURA AKBARI HAJI ANAJULIKANA SANA NA HUYU INASEMEKANA NDIO MARRY CHATANDA
 
Mkuu,
Punguza ukali wa Maneno!
Huyu mzee anaheshimika sana bana..
Naamini hayo ni maoni yake binafsi na si ya Hlmashauri ya mwili wake, na habari hizo ni kwa mujibu wa Intelijensia ya jirani zake!
 
Mshaanza na conspiracy zenu kama mlivyotaka jamii ikuaminini kuhusu Zitto kwendeni huko kama ni Jasusi kimpango wake kama yeye ni Zuhura sasa kuna ana ajabu gani akiitwa Mary sasa. Halafu mnafurahisha mnadai alishiriki katika kumuua John Garang halafu kaja CCM na kuwa diwani!!!! yaani hata kuitengeneza habari ikae vizuri umeshindwa .

Sasa kwanini wewe unayejifanya kumjua vema huyo Mary Chatanda usiweke CV yake hapa badala ya kumkosoa mtoa mada?How on earth would you brand a story a conspirancy theory when you do not any facts to disqualify its worthness?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom