nani kaiona picha ya mary chatanda?msaada plz ili iwe rahisi tutakapoanza zoezi la kumtenga katka kila nyanja ndani ya jamii kwani ndiye muhusika mkuu wa yote ya liyotokea arusha,hivi makazi yake haswa yapo wapi?
She used to be a night hawker pale maeneo ya Equator Hotel.
Nahisi kuna mkubwa aligonga ndo akapewa ukatibu wa Mkoa. Ana sura mbaya usiombe kuona picha yake.
wakuu jokes aside, hivi kweli mtu akisoma hiyo heading hapo ataelewa nini? mbona tukiingia kwenye thread yenyewe inakua kama udaku tena?? and how many threads regarding Mary can we open??
simpendi huyo dada lakini tukienda mtindo huu, ataishia kutudharau mazee
Mary Chitanda sio jina lake halisi! Sitatoa details nyingine kwa sasa!