kuthumiwa haule
Member
- Dec 27, 2010
- 23
- 0
Katika viongozi wote wa kisiasa na kidini waliozungumza kuhusiana na tukio la mauaji ya arusha, ni hawa viongozi watatu ndiyo walionekana kuwa na mtazamo finyu na uwezo uwezo mdogo wa kufikiri ,kwani haiingii akilini eti tu kwa sababu ya maslahi binafsi ya kisiasa unakuwa mtu usiyejali hata utu wa mwenzio,Chatanda na makamba wakishiorikiana na Tambwe wanachimba kaburi la pamoja la chama cha mapinduzi,ccm kama kweli ccm ina nia ya dhati kubaki kwenye siasa ni vema ikazisoma alama za nyakati na kuwastaafisha mamluki hawa ndani ya ccm haraka iwezekanavyo, kwa sababu sura zao hawa viongozi watatu ni hasira ya umma kwa ccm.