Chatanda azua tena mvutano CCM, Chadema Arusha

Chatanda azua tena mvutano CCM, Chadema Arusha

Mshaanza na conspiracy zenu kama mlivyotaka jamii ikuaminini kuhusu Zitto kwendeni huko kama ni Jasusi kimpango wake kama yeye ni Zuhura sasa kuna ana ajabu gani akiitwa Mary sasa. Halafu mnafurahisha mnadai alishiriki katika kumuua John Garang halafu kaja CCM na kuwa diwani!!!! yaani hata kuitengeneza habari ikae vizuri umeshindwa .

wewe ndio MR/MS CONSPIRACY KUWA JASUSI NA UDIWANI KWANI KUNA UGUMU GANI WACHA WATU WANAOFIKIRIA VIZURI WALIJADILI KAMA VIP KUNA JUKWAA LA UDAKU ...KAJIMWAGE KULE
 
...Mhhh sitaki kuamini maana namjua huyu dada tangu miaka ya 90s alianzia mbali sana ktk chama chake. Kitu kimoja ambacho hakijatajwa na ambacho huenda ndiyo kinamfanya aonekane anatisha sana watu ni UMALAYA wake. Huyu ameliwa sana, na nadhani alishagawa hadi huko juu, na huwaGa inasemekana ana kamzizi flan flan.

Ni mmoja wa watu ambao Lukuvi aliwainua sana, baada ya ofkoz kupagaishwa. Wengine ni marehemu Mama Bakari, ambaye alikuwa DAS iringa, na then akapata u-DC sumbawanga. Alifariki kwa ajali ya gari alipokuwa amekuja kusalimia iringa, akiwa njiani kurudi swanga na inasemekana ni kipapai cha Mary. Wengine ktk kundi la wana CCM wilayani iringa ambao lukuvi aliwainua ni pamoja na Musa Chang'a ambaye aliukwaa U-DC.

..Huyu ni kihiyo mkubwa, hana jeuri yoyote ya ujasusi, kusomea urusi ect. Tena ngoja nitamtafuta nimkumbushie ile siku tuliyokaa kiti kimoja ktk basi, na likaharibika usiku akiwa njiani kwenda morogoro 🙂
 
Hivi tunaweza kupata c.v ya huyo mama?inabidi akapimwe akili,tusije kua tunalaumu kumbe kichwa chake si sawa,ana mume kweli huyu?ila ki ukweli s.s.m ina cartoons si mchezo,huku Tambo Hizo,huku Makambale huku Mary Kitanda yaani ni burudani tu kila kona ya s.s.m
 
uhatari wake sijauona. kwa mtazamo wangu ni kuwa hana hata elimu kama Tambwe hiza.

Ndie anae wapa kiburi CCM Arusha, hivi unataka uniambie mbunge Januari anaweza ingia kwenye kikao cha Halmashauri ya Mwanza?
 


.....

Ni aibu cham kinapisha matamko kila kukicha inamaaana hapo tayari chama kina mgawanyiko mkubwa sana ila wanajifanya hawauoni ila siku ikifika wasije kimbia


Mkuu chama kimeshaharibikiwa sana hicho. Hakina mwenyewe na mafiosi wamepata jukwaa maridhawa la kufanyia kila aina ya hujuma kwa raha zao. Hatari kubwa tuliyo nayo ni kwamba sasa kinaelekea kuangamiza taifa katika kuanguka kwake. Hapo ndipo inabidi tufanye kazi ya ziada kujinusuru. Bahati mbaya sana taasisi zote muhimu za kutegemewa na taifa zimeshaathirika; zinaenda mrama kila kukicha.
 
Hakuna Jasusi wala mama yake Jasusi. Huyo demu ana nyege tu zinamsumbua hajapata wa kumshughulikia!:smile-big:
 
NILIKUWA NAFUATILIA MAELEZO YAKO HAPA MARA KWA MARA NIKAJUA LABDA UNA AKILI KIDOGO KUMBE NILIKUWA NAKOSEA SANA,

SIKILIZA JASUSI NI JASUSI ANAWEZA AMUA KUWA CHIZI KWA MIAKA MINANE ILI TUU AlIPUE UBALOZI WA MAREKANI HAPA,HAIJALISHI NAFASI ALIYO NAYO ISSUE NI NANI,TANGA HAWAMJUI VIZURI,ARUSHA HAJULIKANI KABISA,SUDANI KUSINI KATIKA JIMBO LA WARRAP ZUHURA AKBARI HAJI ANAJULIKANA SANA NA HUYU INASEMEKANA NDIO MARRY CHATANDA

Teh teh teh teh Pole sana mkuuu nadhani bado unanichukulia vibaya pia ila nakuambia hivi huyo Chitanda ni hovyo na wala si mtetei kokote kule kwani tunavyomjua ni kibaraka pia wa Sophia simba na anakihelehele kupita maelezo unakumbuka sakata la UWT mpaka JK akamwamisha mmoja wa akina mama nadhani anaitwa Fatma kama sijakosea na kuwa mkuu wa wilaya, ambako Chitanda na Sophia walisingizia huyo mambo mengi sana, na hapo Arusha alisha wakela sana baadhi ya viongozi kwa taarifa tulizo nazo.

Me i dont care yeye kuwa jasusi maana najua mwisho wake utafika tuuu na anachokifanya ndicho nae atafanyiwa kuitokomeza chadema pale Arusha ni ngumu sana. na kama CCM wanamtumia yeye kwa ujasusi wake nao wameloba step sana amabae is very smart hawezi kufanya upuuzi kama wa huyo Mary Chitanda nakuleza mkuu.

 
Ndie anae wapa kiburi CCM Arusha, hivi unataka uniambie mbunge Januari anaweza ingia kwenye kikao cha Halmashauri ya Mwanza?

Impossible kabisa si akionekana huku Jijini mwanza watamzamisha kwa ziwani
 
Huyu mama kachanganyikiwa kwa sababu jimbo la arusha mjini limepotea chini ya uongozi wake.
 
....Nimechangia kuhusu huyu mama ktk thread nyingine inayoongelea ujasusi ect. Mliosema kuwa anawashwa na kutaka kubanjuliwa hamjakosea..
 
jamani naombeni tu picha ya huyu mama/ baba mary chatanda kama ipo wadau plz am desperate!!!!
 
Hakuna ulevi mbaya kama ulevi wa madaraka, heri kulewa bangi itakuwehusha mwenyew lakini ulevi wa madaraka ni hatari kwa usalama wa raia namali zao kama ilivyotokea hukoArusha,huyu pashkuna Mary Chatanda amefika gatua mbaya mno. NGOMA IKILIA SANA KARIBU ITAPASUKA

Hawa watu sijui hawajifunzi!! Yule mwenzake aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni (Hawa Ngulume) yupo wapi sasa? Yeye alikuwa anawatishia kuwachapa vibao wanafunzi wa UDSM walipokuwa wanaenda kusainisha form zao za mikopo pale bomani.
 
Damu ya waliouawa arusha inamulilia mary chitanda !!!
Sasa kapata laana na sasa anasaidia kupomoa ccm faida kwa upinzani!!!
 
Huyu First Lady Mary Chatanda anakaa mtaa gani mjini Arusha na picha yake naomba.

JF nimesikitishwa kwamba pamoja sisi kua na mtandao mpana kiasi hiki hakuna hata mmoja wetu aliye na majina halisi wa picha za askari wa Arusha ambao hasa ndio waliovuta triger na kuachia risasi kuua wenzetu.

Kesho tunavyowazika wahanga wa mauaji ya Arusha na hapo hapo tutakua tunazika rasmi ushirikiano wa aina yoyotena polisi kitaifa.
 
Sasa kwanini wewe unayejifanya kumjua vema huyo Mary Chatanda usiweke CV yake hapa badala ya kumkosoa mtoa mada?How on earth would you brand a story a conspirancy theory when you do not any facts to disqualify its worthness?

Sikiliza Mlalahoi unajua hapa JF mtu akiwa hapendwi lazima ataunganishwa na usalama wa taifa simply kwasababu hapendwi na huu ni ujinga sidhani kama kuna faida yeyote. Na ndio maana nikamuuliza muuanzishaji wa thread ujasusi upi huyu mama ameufanya acheni bwana kumwandama kwa vile amewaambia ukweli maaskofu. Kuweni wakweli maana mmezidi sana JF mpaka inakera.
 
Back
Top Bottom