Chatanda azua tena mvutano CCM, Chadema Arusha

Leo hatimaye nimemuona huyu mary chatanda walau picha yake nilikua na shauku sana...mshababishaji wa vurugu kule Arusha. BINGE1.JPG
 
Mumependeza sana! Mimi huwa najiuliza watu ambao husababisha maafa na vifo huwa wanapata wapi ujasiri wa kufurahi hadharani
 
kaka ansante ndo mwenyewe mwanamkea anajina zuri ila roho,tabia na matendo hata shetani anaafadhali.1:malaya,makamba ktb ccm taifa,semi kiondo ktb mwenezi arusha mjini,felex mrema,na huko korogwe kamnyanganya mume wa m2.ndie aliyekuwa kiongozi wa kuakikisha ccm inashindwa arusha na alilipwa na chenge hela.chenge ni bfriend wa felex mrema.mwanamke mwana. ,
 
jamani huyu wh...ore si tulishamjadili siku nyingi hapa JF,aaaaaaaaahhhh hadi kichefuchefu,m out
 
Kitanda cha Vigogo siyo kibaya kiasi hicho, mpeni haki jamani.

Wengine wanapenda Nyangumi na wengine wanapenda Vidigidigi.......
 
Ndo nani jamni halafu ajifunze kupaka lipstick :twitch:

Ndiyo yule mama alikuwa na majibu mbofumbofu wakati wa sakata la Arusha. Tutamfunza namna ya kupaka lipstick labda ndio maana maneno yanateleza teh teh teh
 
Ndiyo yule mama alikuwa na majibu mbofumbofu wakati wa sakata la Arusha. Tutamfunza namna ya kupaka lipstick labda ndio maana maneno yanateleza teh teh teh

Ahaa ndo huyu halafu anaonekana mtu wa mipasho sanaa heh hehe na kuchana nywele itabidi tumpe darasa :coffee::coffee::coffee:
 
Kwa sisi wataalam siyo kila mdomo hupendeza ukipakwa lipstick. Mfano mzuri ni huyu mama. Angejua kwamba modomo wake haukubali lipstick asingediriki kupaka. Pamoja na hayo hakuna kisichofaa duninai. Midomo isiyokubali lipstick ni mizuri sana kwa porojo, uropokaji, longolongo, umbea na upayukaji. Sisiem ina sera ya kuwaenzi watu wa aina hiyo ndiyo maana mama wa watu kajipatia cheo kutokana na domo lake. Wapo wengi waliofaidika na maumbile hayo, mojawapo wakiwa ni tambwe hiza na mzee makamba. Ebu chunguzeni midomo yao. Wangekuwa ni wanawake wangepaka liptstick ingekuwaje???!!!
 
Sasa nimetambua kwanini haka kamama kanaroho mbaya. KUMBE HATA LISURA LAKE LIBAYA NAMNA HII? NA HILO UMBO KAMA MICHELLINI KICHEKESHO KABISA. What an ugly b****

Ubaya wa sura!!! jaribu kazi, ahaa uwa hatari hao kazini, mhmm sijui kama umenielewa
 
Kwa ambao tulikuwa hatumjui Mh huyo ambaye ni Mbuge wa viti Maalumu toka Jiji la Tanga na katibu wa CCM mkoa wa Arusha,hii ni fursa yetu kumuona hata katika picha.
 
Heshima kwako Vitendo,

Mkuu sina uhakika sana lakini nadhani huyu si Mary Chitanda.
 
Huyo tumemsamehe kwani alikuwa hajui analolitenda Mungu amsamehe.Pia mijadala ya huyu mama tuiacha tujadili mambo ya muhimu kama suluhisho la mgao wa umeme na nani ametuingiza huu mgao na tumwajibishaje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom