Channel mpya ya TV1 inajiachia, raha tupu

Channel mpya ya TV1 inajiachia, raha tupu

Ambiente Guru

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
2,623
Reaction score
1,097
Ina mafunzo ya uwazi kwa vijana/wadada na kiburudisho cha ukweli kwa wenye msongo wa mawazo (stress) na wapendao mambo ya kujiachia.

Kampuni inayoirusha iko Stockholm nchini Sweden. Inatazamwa na watanzania Millioni 16.

Ina burudani nyingi na habari. Inaelemea mambo ya jinsia hususani rika la kati la wamama.
Ni mwisho wa barabara kwa Wizara ya Utamaduni/TCRA kwani hawataweza kuidhibiti.
 

Nimeitazama TV hii mpya (Viasat 1), nimeikubali !

Ni mafunzo ya uwazi kwa vijana/wadada na kiburudisho cha ukweli kwa wenye msongo wa mawazo (stress) na wapendao mambo ya kujiachia.

Kampuni inayoirusha iko Stockholm nchini Sweden. Tayari inatazamwa na watanzania Millioni 16. Ni Mageuzi makubwa ya TV nchini.

Ina burudani nyingi na habari. Inaelemea mambo ya jinsia hususani rika la kati la wamama.

Ni mwisho wa barabara kwa Wizara ya Utamaduni/ TCRA kwani haitaweza kuidhibiti.


Source: http://www.mtg.se/en/media/press-re...the-groups-first-free-tv-channel-in-tanzania/
 
Embu funguka vizuri. Andika kama Great thinker.

Ni Television ya wapi? Ina kitu gani special? Ina program gani hasa?
 
Mkuu twende taratibu. Ipo wapi hiyo tv? Inarusha vipindi gani?
 
Embu funguka vizuri. Andika kama Great thinker.

Ni Television ya wapi? Ina kitu gani special? Ina program gani hasa?

Wadau, Itapatikana kwenye vingamuzi vyote (ardhini au terrestrial), Star Times io No. 103.
 
Nimeitazama TV hii mpya nikabakia na maswali mengi bila majibu.
Ni mafunzo ya uwazi kwa vijana/wadada na kiburudisho cha ukweli kwa wenye msongo wa mawazo (stress) na wapendao mambo ya kujiachia.
Kampuni inayoirusha iko Stockholm chini Sweden. Inatazamwa na watanzania Millioni 16.
Ina burudani nyingi na habari. Inaelemea mambo ya jinsia hususani rika la kati la wamama.
Ni mwisho wa barabara kwa Wizara ya Utamaduni kwani haitaweza kuithibiti.

umelipwa buku ngapi ili uitangaze tv1
 
mada na maelezo hayaeleweki kabisa. hizi bangi za kuvutia chooni ni mbaya sana
 
Back
Top Bottom