Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,623
- 1,097
- Thread starter
- #41
Ndugu kimaslahi otherwise unajidanganya.
Nakubali Mkuu; Hapa patawepo na mkataba wa kimatafa na Mchina atalipwa Euro/ $ na si madafu. Suala la kuminya, kuweka chengachenga na kukaba koo vipaza sauti litabakia kwa channel za Wa-TZD.

