Channel mpya ya TV1 inajiachia, raha tupu

Channel mpya ya TV1 inajiachia, raha tupu

Kwakweli naipenda Nigerian idol.. yaani kumbe bss ni utumbo kwa hao jamaa
 
Kwakweli naipenda Nigerian idol.. yaani kumbe bss ni utumbo kwa hao jamaa
Kama walivyosema kuwa wanakuja kuleta Mapinduzi katika Mambo haya ya Burudani kwa Luninga basi Nakupa Taarifa kuwa hiyo Nigerian Idol ni imewekwa tu while wanafanya Mchakato wa kuwa na Show kama hiyo lakini ya Kibongo. Jamaa wana Kampuni yao wenyewe ya production INaitwa MAP TV search Google utaona mambo yao au go WELCOME TO MAP TV hii ni kampuni kubwa sana ya production hapa Africa. so soon BSS inafundishwa how things zinafanya kazi na sio kubabaisha babaisha. Infact jamaa waliona BSS wakasikitika sana Jinsi Madam anavyo haribu the BSS while ni kitu kikubwa sana. Stay tuned.
 
Wana jf jamani hii tv station ipo juu sana bado changa lakin inajitahidi sana ukiangalia vpnd wamevipangilia vizuri.so wanaojiita brand cjui nini waangalie sana.
 
Inapatkana vp?, ya wap?, tutajie vipindi v2 vizuri

Kwenye king'amuzi cha startimes wapo cjui kwenye ving'amuz vingine.
vpind vilivyonivutia,
Habari
kuna movies ( tz, nigerie,us,uk etc)
laugh a minute hapa utacheka mpaka bac.
na vingine ving kwa kifupi wapo poa sana.
 
Sio kama tv za kibongo unaweza kuangalia kuanzia asubuh had usiku na usicheke kabsa hawajui kupanga vpnd
 
Nimeona neno 'rahatupu' nikakimbilia mbiombio kumbe mnaongelea TV? rekebisheni title yenu
 
Nimeona neno 'rahatupu' nikakimbilia mbiombio kumbe mnaongelea TV? rekebisheni title yenu

hahahaaaa umenichekesha sana... dirty mind always make ordinary conversation very interesting.
 
Issue hapa ni mageuzi mapya katka TV. Huoni wana JF wameifagilia ni nzuri?
Tumechoka na TV zenu za ... matangazo/ taarabu/ mahubiri/ kuuza sura za mabosi/ CCM/ kipima joto kisicho cha kisayansi/ cinema za Kichina/wakalimani . Hazina tija asubuhi mpaka usiku. Miaka nenda hakuna mabadiliko. Ona hii ya International!
mkuu nisaidie jinsi ya kuipata kwenye Easy tv nataka niingize manualy
 
Mwonekano, sauti ziko vizuri

Ila waweke vipindi vya kitanzania sio kucopy vipindi vya tv za nje

Ila wananikosha kweny newz ni za kipekee
Na moviez.
 
bora hii watazamaji wanaisifia wenyewe sio hizi zingine pumba tupu, kupata watazamaji kwenye tv si rahisi waulizeni wale wengine wanapata taabu sana kuifanya tv iwe kama redio
 
Kwenye king'amuzi cha startimes wapo cjui kwenye ving'amuz vingine.
vpind vilivyonivutia,
Habari
kuna movies ( tz, nigerie,us,uk etc)
laugh a minute hapa utacheka mpaka bac.
na vingine ving kwa kifupi wapo poa sana.

mkuu hyo lough a time inakuaga lini na sa ngp
 
Back
Top Bottom