Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,623
- 1,097
- Thread starter
- #21
television ya nani hiyo aisee, nimeiona kwa wiki sana, ni nzuri ila wanatangaza only 12 hours, hawajaanza 24.
Inaushwa moja kwa mojatoka Sweden. Fungua source hapo juu.
television ya nani hiyo aisee, nimeiona kwa wiki sana, ni nzuri ila wanatangaza only 12 hours, hawajaanza 24.
USISEME hawawezi kuidhibiti, TCRA ni serikali, startime ni ya wachina ambao hawawezi kuisaliti serikali ya tz hata siku moja, ni suala la kupiga simu tu kwa wachina wa startime na kitu kinapigwa off. kama kuna mambo mazuri yaonyeshe ila kama yapo mabaya, usijekujidanganya. hapo ndipo utaona tz na wachina ni dugu moja.Ina mafunzo ya uwazi kwa vijana/wadada na kiburudisho cha ukweli kwa wenye msongo wa mawazo (stress) na wapendao mambo ya kujiachia.
Kampuni inayoirusha iko Stockholm nchini Sweden. Inatazamwa na watanzania Millioni 16.
Ina burudani nyingi na habari. Inaelemea mambo ya jinsia hususani rika la kati la wamama.
Ni mwisho wa barabara kwa Wizara ya Utamaduni/TCRA kwani hawataweza kuidhibiti.
Channel inapatikana king'amuzi gani
mada na maelezo hayaeleweki kabisa. hizi bangi za kuvutia chooni ni mbaya sana
mada na maelezo hayaeleweki kabisa. hizi bangi za kuvutia chooni ni mbaya sana
Ipo kwenye king'amuzi au ni aje??
Wengine BWana!
Wasipoelewa thread HOJA hapa JF hukimbilia MATUSI NA MANENO YA VIROBA,
BANGI, NA DIV5. FUNGUKA MKUU AND THINK POSITIVELY
Blogs nayo ni chanel mmmh ile rahatupu du apana kuona ni nzuri sana cjui kwaajili yakiswaili kile cha shimoni? Ndo inafanya inakua safi sana
Sasa uwaeleweshe umemaanisha nini, mie mwenyewe sijakuelewa
Ipo startimes channel 103. Inaitwa Viasat 1 au Tv1. Jiachie. Ipo free.
umelipwa buku ngapi ili uitangaze tv1
kweli kabisa mkuuIssue hapa ni mageuzi mapya katka TV. Huoni wana JF wameifagilia ni nzuri?
Tumechoka na TV zenu za ... matangazo/ taarabu/ mahubiri/ kuuza sura za mabosi/ CCM/ kipima joto kisicho cha kisayansi/ cinema za Kichina/wakalimani . Hazina tija asubuhi mpaka usiku. Miaka nenda hakuna mabadiliko. Ona hii ya International!
Ndugu kimaslahi otherwise unajidanganya.USISEME hawawezi kuidhibiti, TCRA ni serikali, startime ni ya wachina ambao hawawezi kuisaliti serikali ya tz hata siku moja, ni suala la kupiga simu tu kwa wachina wa startime na kitu kinapigwa off. kama kuna mambo mazuri yaonyeshe ila kama yapo mabaya, usijekujidanganya. hapo ndipo utaona tz na wachina ni dugu moja.