Changia Mabadiliko Chalinze

Changia Mabadiliko Chalinze

Kwani zile pesa za Chopa Kalenga nani alikuwa anatoa, mimi tachangia 50,000 lakini nataka kujua mchanganuo wa matumizi.

nitaomba kujua kama ushatoa utapotoa huo mchango. taarifa hii itakuwa na significance fulani kwangu kuhusu mustakabali wa nchi. hivi ni kweli ccm anaweza kuchangia ufanisi wa chama kingine? au hii ni kauli kutoka kiwanda kingine cha.....
 
Crashwise nimetuma laki mbili kwa ajili ya kukomboa nchi, hawa voda wanasema imetumwa kwa AGNES BELA, ndio wewe nini?
 
Last edited by a moderator:
Acheni mambo yenu ya ajabu sisi tuchange halafu nyie mkatumie na wake zenu.
 
Tuambiwe kwanza ile michango inayotolewa kwenye mikutano ya hadhara inatumikaje kwa maana ya mchanganuao vinginevyo tuheshimiane na tuishi kwa adabu.
 
namagamba mnao poromosha matusi karibuni nitawajibu..
1...0786091314
2...
 
Chadema si muende ubalozi wa UK mkachukue za David
 
Tuambiwe kwanza ile michango inayotolewa kwenye mikutano ya hadhara inatumikaje kwa maana ya mchanganuao vinginevyo tuheshimiane na tuishi kwa adabu.

hatutaki pesa ya meno ya tembo, sembe, ufisadi hiyo pelekeni ccm...mahesabu wewe ni mkaguzi tuwekee za epa zilirudishwa ngapi na zilipeekwa wapo na kwanini..
 
Back
Top Bottom