Kuthibitisha mambo mawili muhimu ktk maisha ya wanadamu ambayo Jk pamoja na kuwa mbunge miaka 15, kina Bwanamdogo marehemu kina kawambwa angalia matatizo ya maji na elimu ilivyo jimbo hilo. Ni baadhi tu ambayo picha zake mziangalie, ni ajabu mtoto wa JK eti atatatua matatizo haya,
Mgombea wa Chadema Chalinze yeye kasema wazi hata akishindwa uchaguzi lakini lazima apande Chopa.

Kwani katiba inakataza mtoto wa rais kugombea ubunge.Ukomo wa Ubunge usiwepo lobbying Ridhiwani awe mbunge wa Maisha. lobbying wabunge wateuliwa uwaziri uchakachuzi rasimu ya Katiba. wapi Makongoro wapi watoto wa Mkapa.
Angalia ulichochangia
Mgombea wa Chadema Chalinze yeye kasema wazi hata akishindwa uchaguzi lakini lazima apande Chopa.
Itabidi mgombea mwenyewe atoe pesa zake mfukoni nasikia ana bucha mbili pale Chalinze.Hela ya chopa hakuna mkuu, chama hakina hela hata iliyotumika Kalenga deni halijaisha, hela ya kampeni hakuna ndiyo maana ya kuwekwa kwa bakuli hili kuchangisha, kidogo mgombea angekuwa jinsia tofauti viongozi wa juu wangemsaidia kidogo.
Nasikia hawa makamanda nao wamechangia ukombozi.
Mag3 50,000
Matola 5000
Mohamedi Mtoi 10,000
Yericko Nyerere 3000
Mwita Maranya 5000
Mungi 10,000
matumbo 3000
Mkuu Ritz sidhani ataweza kukujibu.Kwani katiba inakataza mtoto wa rais kugombea ubunge.
Umeishajiuliza kwa nini mtoto wa Ndesamburo yeye na baba yake ni wabunge.
Umeishajiuliza kwa nini mkwe wa Ndesamburo ni mbunge.
Umeishajiuliza kwa nini dada yake Tundu Lissu ni mbunge.
Umeishajiuliza kwa nini mzazi mwenzake Dr.Slaa ni mbunge.
Umeishajiuliza kwa nini demu wa Mbowe aliyezaa nae ni mbunge.
Endeleeni kuwachangia hiyo pesa yako uliotoa bora ungewapelekea jamaa zako wangekushukuru.
Toka jana jioni mpaka sasa makamanda wamechangia elfu sabini tu. Hii nchi itakombolewa kweli?
Toka jana jioni mpaka sasa makamanda wamechangia elfu sabini tu. Hii nchi itakombolewa kweli?