Mungu yupi kamanda?
Wapenda mageuzi na mabadiliko ya kweli ningependa kuwashirikisha katika uchaguzi mdogo wa ubunge chalinze utakaofanyika Chalinze tarehe 6th-April 2014. Lengo kubwa ni kufikishia ujumbe wanachalinze kuwa nchi yetu haina mfumo wa kurithishana madaraka (chiefdom).
Iwapo Rais JakayaKikwete licha ya kuwa mbunge na waziri katika kipindi cha miaka 15 na rais miaka 8 sasa-wanachalinze bado wamechoka shida za maji, elimu na ardhi bado wanazo, itakuwa ajabu Ridhiwani kuweza wasaidia. Wale wanaoweza kuja Chalinze karibuni kwenye kampeni ila wale mlio mbali basi manweza kuchangia kusaidia kampeni kwa kupitia nambari hii 0765 076788 Michango yenu itawasilishwa kwa katibu Mkuu wa chama cha demokrasia na - Maendeleo Tarehe 31 March 2014.
Michango hii itasaidia kuwapa elimu ya Uraia wanachalinze. Ukombozi wowote ni gharama ewe mwanamtandao jione sehemu ya mabadiliko..
Ni takuwa na weka update kwa yoyote aliyetoa kama utapenda kuficha jina kwasababu zako..nijulishe...
UPDATE:
Mungu anazidi kutubariki...
Masanilo - 20,000/= Teamo - 20,000/=

Hii haikubariki.
Huu ni utaperi.
Wandugu mchaga katumwa hela.
Chadema imeshapoteza mvuto kwa wananchi mmeshajulikana janja yenu ni kutumia udhaifu wa raia na kuwapora wananchi wanyonge kwa style hii.
Unaibia wananchi
Huyu Mwenye hii namba iliyosajiliwa kwa jina la AGNES BELA ni nani huko Chadema? Kwanini hii michango isiwasilishwe kwa Katibu mkuu moja kwa moja?
wewe mini-kabang (lema) na mleta mada mnafanana upeo wenu, ila kwa hili la kuchangisha lazima Lema aje charinze hapo mmemkuna penyewe mpiga deal.
Uliowataja wote Museveni anawatafuta sana .....sheria inawahusu .......wanapaswa kuutekeleza bila shuruti......
Michango yenu itawasilishwa kwa katibu Mkuu wa chama cha demokrasia na - Maendeleo
Mtaa wa congo umehamia jf wizi wa m hana huu unatoka wapi? Eti changia siku zote ulikuwa wapi? Ukiona nchi ina vita juwa ni kipindi ambacho pesa uhamishwa sana katika nchi husika kwenda ughaibuni, sasa technic hiyo matapeli wanataka kuitumia kuwatapeli wenzao, anachangisha kwa kibali cha nani? Kwani ziende kwa mtu binafsi? Hamkeni.
Vipi zile alizojikopesha amesharudisha?
Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
Nasikia kuna kata mtoto mwenye nchi alienda kuhutubia alivyofika akagoma eti kisa jua linawaka na hakuna hema, daaah... Nmejiuliza sana nikakosa majibu.... Wapiga kura wasimame juani afu yeye ahutubie akiwa kivulini khaaa.... Hii ni dharau ya hali ya juu kwa watu wa chalinze
Mungu ni mmoja tu!
Huna hela ya kuchanga wewe hivyo kaa kimya, mchango ni wa hiyari huu.... Watachangia wapenda mabadiliko wewe tupishe.. Endelea kulamba wenzio miguu huko! Mxiiiiiiiiiu