Changia Mabadiliko Chalinze

Changia Mabadiliko Chalinze

Huyu Mwenye hii namba iliyosajiliwa kwa jina la AGNES BELA ni nani huko Chadema? Kwanini hii michango isiwasilishwe kwa Katibu mkuu moja kwa moja?

Mkuu tutashukulu ukichangia ila isiwe na ya pembe za ndovu au za madawa ya kulevya...kuhusu jina usiwe na wasiwasi hii ni chadema mitandaoni...
 
Pamoja sana tupo pamoja... kama uko A TOWN ni PM niwakilishe mchango wangu
 
Mnaomba michango huku mnasindikiza thread na porojo za hapa na pale.

MSALANI , wewe huwa unapost ukiwa bar... Sikuhizi umeacha? Hii thread ni ya wapenda mabadiliko wewe sio miongoni mwao manake tunakujua umeshikiwa akili na wanaume wenzio.... Hapa unafanya nini? Inakuhusu?
 
Last edited by a moderator:
Kuthibitisha mambo mawili muhimu ktk maisha ya wanadamu ambayo Jk pamoja na kuwa mbunge miaka 15, kina Bwanamdogo marehemu kina kawambwa angalia matatizo ya maji na elimu ilivyo jimbo hilo. Ni baadhi tu ambayo picha zake mziangalie, ni ajabu mtoto wa JK eti atatatua matatizo haya,

Kweli jimbo hili lina hitaji ukombozi...
 
wapenda mageuzi na mabadiliko ya kweli ningependa kuwashirikisha katika uchaguzi mdogo wa ubunge chalinze utakaofanyika chalinze tarehe 6th-april 2014. Lengo kubwa ni kufikishia ujumbe wanachalinze kuwa nchi yetu haina mfumo wa kurithishana madaraka (chiefdom).
Iwapo rais jakayakikwete licha ya kuwa mbunge na waziri katika kipindi cha miaka 15 na rais miaka 8 sasa-wanachalinze bado wamechoka shida za maji, elimu na ardhi bado wanazo, itakuwa ajabu ridhiwani kuweza wasaidia. Wale wanaoweza kuja chalinze karibuni kwenye kampeni ila wale mlio mbali basi manweza kuchangia kusaidia kampeni kwa kupitia nambari hii 0765 076788 michango yenu itawasilishwa kwa katibu mkuu wa chama cha demokrasia na - maendeleo tarehe 31 march 2014.
Michango hii itasaidia kuwapa elimu ya uraia wanachalinze. Ukombozi wowote ni gharama ewe mwanamtandao jione sehemu ya mabadiliko..
ni takuwa na weka update kwa yoyote aliyetoa kama utapenda kuficha jina kwasababu zako..nijulishe...
chalize hawadanganyiki.unajisumbua kawape elimu hiyo cdm wajue umuhimu wa demokrasia ndani ya chama chao
 
Chalinze,GADO FUKAYOSI ni Majanga Tutachangia CDM kuwapa elimu ya uraia wana chalinze!!
 
Huyu Mwenye hii namba iliyosajiliwa kwa jina la AGNES BELA ni nani huko Chadema? Kwanini hii michango isiwasilishwe kwa Katibu mkuu moja kwa moja?

Ficha upumbavu wako lakini usifiche hekima yako
 
MSALANI , wewe huwa unapost ukiwa bar... Sikuhizi umeacha? Hii thread ni ya wapenda mabadiliko wewe sio miongoni mwao manake tunakujua umeshikiwa akili na wanaume wenzio.... Hapa unafanya nini? Inakuhusu?

Unajiita mwanamke mtamu halafu kinywa chako kinatema kashfa kama hizi kwa wadau. Nipe namba yako nikuchangie kodi ya nyumba kwanza, Halafu hawa matapeli wenzio nitawachangia baadaye!
 
Ficha upumbavu wako lakini usifiche hekima yako

Acha uhuni wewe, kama huu ushauri umeuona ni upumbavu si ungenyamaza tu? Mara nyingi watu hawana imani ya kutuma fedha kwa mtu wasiyemfahamu. Kama wewe unamjua huyo AGNES BELA misukule wenzio hawamjui. Bora wamtumie BABU direct!
 
Unajiita mwanamke mtamu halafu kinywa chako kinatema kashfa kama hizi kwa wadau. Nipe namba yako nikuchangie kodi ya nyumba kwanza, Halafu hawa matapeli wenzio nitawachangia baadaye!

Huna sababu kuwa kwenye hii thread
 
Chadema ni kama maji hata kama hupendi utayanywa tu.
 
Back
Top Bottom