DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
Makamanda nipo nanyi,elimu lazima ifikishwe.
Acha uhuni wewe, kama huu ushauri umeuona ni upumbavu si ungenyamaza tu? Mara nyingi watu hawana imani ya kutuma fedha kwa mtu wasiyemfahamu. Kama wewe unamjua huyo AGNES BELA misukule wenzio hawamjui. Bora wamtumie BABU direct!
Unajiita mwanamke mtamu halafu kinywa chako kinatema kashfa kama hizi kwa wadau. Nipe namba yako nikuchangie kodi ya nyumba kwanza, Halafu hawa matapeli wenzio nitawachangia baadaye!
Makamanda nipo nanyi,elimu lazima ifikishwe.
Ficha upumbavu wako lakini usifiche hekima yako
Wao wana pesa Chadema tuna Mungu aliye hai
ccm hoyeeee
Weka namba ya BABU "wapenda mabadiliko" wachangie.
Huyu Mwenye hii namba iliyosajiliwa kwa jina la AGNES BELA ni nani huko Chadema? Kwanini hii michango isiwasilishwe kwa Katibu mkuu moja kwa moja?
Ridhiwani hana dhamira ya dhati kusaidia wanachalinze
Hata kama Ccm itashinda lakini Elimu ya Uraia wataipata.
Go on Chadema.
ACT imekushinda au ? Sajilini hicho chama chenu hata Chaumma waliweza kutimiza masharti mapema kuliko ACT ......kweli mkuu, chadema tukishinda chalinze hatuwezi kuwaletea maendeleo wana chalinze kwa sababu hatuna dola!!!