CHADEMA Mitandaoni Wafanya Makubwa Kalenga na Chalinze

Elizabeth Dominic

Platinum Member
Dec 7, 2007
4,555
3,649
Leo umoja wa Wanachadema wanaoendesha siasa zao kupitia mitandao ya kijamii wamekabidhi michango yao mbele ya Viongozi wakuu wa Chama hicho. Akizungumza na waandishi wa habari mwakilishi wa wanachadema hao Bwana Yericko Nyerere amesema, "Mara yakwanza zilipoanza kampeni za Kalenga tulipenda kushiriki siasa za majukwaani moja kwa moja lakini walibuni njia mujarabu yakushiriki kikamilifu kwa kila mmoja kuchanga kiasi chochote alichonacho na kukileta kwenu viongozi ili kisaidie ushindi Kalenga na Chalinze. "Ninawashukuru makamanda kwakujitolea kuchanga kiasi cha laki tano ambazo leo nitazikabidhi hapa, niwahakikishie wanahabari kuwa Kalenga tutashinda, hilo halihitaji mjadala, sasa tunakwenda Chalinze, tutahakikisha tunalibeba jimbo hilo kwakuwa tumempata mgombea imara Kamanda Mathayo"
Nae Mh John Mrema ambe amepokea mchango huo kwa niaba ya Katibu Mkuu amepongeza juhudi za wanachama wanaohudumu siasa mitandaoni kwa kuwahimiza kupambana kukijenga chama na kukitetea bila kuchoka, Kundi la wanachadema mitandaoni kupitia M4C PAMOJA DAIMA ni mjumuiko wa makamanda wote wa Chadema.
cc
Ben Saanane, Mungi, Shark, Masanilo, sweetlady, 'Valentina', The Name, Crashwise, Filipo, chadema kote, Molemo, Babu Jitu na wengine wengi.....
View attachment 143994
 
Last edited by a moderator:
Akamdanganya freelad siyo sisi SAA name pesa ya kula ni shida alafu unasema eti yeye na yeriko wametoa laki tano jamani jamani
 
Leo umoja wa Wanachadema wanaoendesha siasa zao kupitia mitandao ya kijamii wamekabidhi michango yao mbele ya Viongozi wakuu wa Chama hicho. Akizungumza na waandishi wa habari mwakilishi wa wanachadema hao Bwana Yericko Nyerere amesema, "Mara yakwanza zilipoanza kampeni za Kalenga walipenda kushiriki siasa za majukwaani moja kwa moja lakini walibuni njia mujarabu yakushiriki kikamilifu kwa kila mmoja kuchanga kiasi chochote alichonacho na kukileta kwenu viongozi ili kisaidie ushindi Kalenga na Chalinze. "Ninawashukuru makamanda kwakujitolea kuchanga kiasi cha laki tano ambazo leo nitazikabidhi hapa, niwahakikishie wanahabari kuwa Kalenga tutashinda, hilo halihitaji mjadala, sasa tunakwenda Chalinze, tutahakikisha tunalibeba jimbo hilo kwakuwa tumempata mgombea imara Kamanda Mathayo"
Nae Mh John Mrema ambe amepokea mchango huo kwa niaba ya Katibu Mkuu amepongeza juhudi za wanachama wanaohudumu siasa mitandaoni kwa kuwahimiza kupambana kukijenga chama na kukitetea bila kuchoka, Kundi la wanachadema mitandaoni kupitia M4C PAMOJA DAIMA ni mjumuiko wa makamanda wote wa Chadema.
cc
Ben Saanane, Mungi, Shark, Masanilo sweetlady 'Valentina' na wengine wengi.....

Pamoja sana Makamanda...Tupo pamoja....
 
Back
Top Bottom