Changia Mabadiliko Chalinze

Changia Mabadiliko Chalinze

Unajiita mwanamke mtamu halafu kinywa chako kinatema kashfa kama hizi kwa wadau. Nipe namba yako nikuchangie kodi ya nyumba kwanza, Halafu hawa matapeli wenzio nitawachangia baadaye!

za wanyama wetu na za sembe cdm ni mwiko huelewi?
 
Tunashukuru sana kwa kuweka utaratibu mzuri kama huu, tupo pamoja makamanda, tusaidie ukombozi wa kifikra uenee Charinze.
 
Wapenda mageuzi na mabadiliko ya kweli ningependa kuwashirikisha katika uchaguzi mdogo wa ubunge chalinze utakaofanyika Chalinze tarehe 6th-April 2014. Lengo kubwa ni kufikishia ujumbe wanachalinze kuwa nchi yetu haina mfumo wa kurithishana madaraka (chiefdom).
Iwapo Rais JakayaKikwete licha ya kuwa mbunge na waziri katika kipindi cha miaka 15 na rais miaka 8 sasa-wanachalinze bado wamechoka shida za maji, elimu na ardhi bado wanazo, itakuwa ajabu Ridhiwani kuweza wasaidia. Wale wanaoweza kuja Chalinze karibuni kwenye kampeni ila wale mlio mbali basi manweza kuchangia kusaidia kampeni kwa kupitia nambari hii 0765 076788 Michango yenu itawasilishwa kwa katibu Mkuu wa chama cha demokrasia na - Maendeleo Tarehe 31 March 2014.
Michango hii itasaidia kuwapa elimu ya Uraia wanachalinze. Ukombozi wowote ni gharama ewe mwanamtandao jione sehemu ya mabadiliko..
Ni takuwa na weka update kwa yoyote aliyetoa kama utapenda kuficha jina kwasababu zako..nijulishe...


UPDATE:
Mungu anazidi kutubariki...
Masanilo - 20,000/= Teamo - 20,000/=


Mpaka sasa tumepata 40,000 tu. Makamanda mnatuangusha. Badala ya kuchagia ukombozi ninyi mnatoa matusi tu.
 
Last edited by a moderator:
Nahisi harufu za Wizi sasa Agnes Bela ndio nani? Crashwise? Duu chagadema mnaleta hata uchaga kwenye mambo ya msingi!

Kweli wajinga ndio waliwao!
 
Wizi mtupu tena sasa tunakoelekea sasa ni balaa! Chadema tunawapa kodi zetu lakini cha maana hatukioni maana hamna mtandao wa uongozi kila wilaya au kata na vijiji! Sasa hiyo ruzuku zaidi ya mil 300 kila Mwezi mnapeleka wapi? Acheni kuwanyonya wananchi, pia kwenye mikutano yenu munafanya changizo!
 
ruzuku ya chama imeenda wapi.mpaka mtuchangishe?

Kwan wewe si upo ACT au umeshatusaliti? Act inapendwa sana na kwa kuwa sisi act hatuna ruzuku ndo tunatakiwa tuchangiwe. Weka number tukichangie chama chetu cha act. Act hoyeeee
 
Back
Top Bottom